myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 150,786
- 667,436
👍👍👍Wabongo aisee kwani hiyo Oryx sio oil? Ukute Huna hata baiskel halafu unajidai unatoa ushaur humu. Mtoa mada kwa gari ya 2003 hiyo oil ipo sawa kabisa italinda engine yako vzr tu
👍👍👍Wabongo aisee kwani hiyo Oryx sio oil? Ukute Huna hata baiskel halafu unajidai unatoa ushaur humu. Mtoa mada kwa gari ya 2003 hiyo oil ipo sawa kabisa italinda engine yako vzr tu
👍🙏Achukue Oil yake na Orxy apeleke Lab afu aje atuwekee hapa Matokeo, Orxy amekosa Marketing strategy nzuri tu lakini Oil zake ni safi sana
👍👍Watu wengi hawajui hili ,wanahangaika na brand....inachekesha
Hongera. Karibu Puma Service StationsNimeachana mafundi chini ya mwembe
KabisaMafundi bongo wabahatishaji tu ('wapiga ramli')
Mm Nimeamua kuachana nao hai mafundi uchwaraKabisa
Hii oil huwa inabadilisha mlio wa engine,haikawii kuleta check engine symbol na inachelewa sana kusambaa20w-50 kwa nchi zetucza joto mwakemwake
MshaurKwann hukuuliza kabla hujafanya ulichokifanya lkn
Vipi kuhusu 5W-40? Km 42k?Bora choo cha kike bosi unaweza ukaona hata pichu ya mrembo...
Gari yenye mileage ya km 41k bado ni bikira kabisaa....
SAE VISCOSITY ya hiyo gari ni 5w30 au 10w30....
Hiyo 20w50 ni oil nzito sana mkuu..utachosha engine soon...hiyo ni special for high mileage engines na malori..
Mkuu umeniacha,View attachment 1698797
It is preferable to use fluids according to SAE 5w - 30, if the specified lubricant is not available, you need to select a lubricant depending on the ambient temperature of the region in which the car will be used. For example (according to scheme 2), in the temperature range from -30 ° С (and below) to +40 ° С (and above), oils with a viscosity of 5w - 30, 5w - 40 should be used. At temperatures from -10 ° С to +40 ° С (and above) it is recommended to pour 20w - 40, 20w - 50.
Copy and pest from authorised Nissan dealer
5w40 kwa mazingira ya kibongo bado ipo poa..kwa sababu ni mult grade...mbaya ni SAE40 kavu..