Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

Bora choo cha kike bosi unaweza ukaona hata pichu ya mrembo...

Gari yenye mileage ya km 41k bado ni bikira kabisaa....
SAE VISCOSITY ya hiyo gari ni 5w30 au 10w30....

Hiyo 20w50 ni oil nzito sana mkuu..utachosha engine soon...hiyo ni special for high mileage engines na malori..
ManufacturerKamigo Plant Shimoyama Plant Deeside Engine Plant North Plant Tianjin FAW Toyota Engine's Plant No. 1
Oil consumption , L/1000 km (qt. per miles)up to 1.0 (1 qt. per 750 miles)
Recommended engine oil5W-30 10W-30 15W-40 20W-50
Engine oil capacity, L (qt.)3.0 (3.2) – 5A-FE
 
Nitakuja kuyaandika yote hapa ila kwa ushauri, kama unamuliki gari lolote la petrol lililotengenezwa miaka ya 2000 kuja juu, zaidi ya 95% ya magari haya recommended SAE VISCOSITY ni 5w30 haswa pale unapokuta gari lilitengenezwa kulenga masoko ya sehemu zenye hali ya hewa tofauti tofauti...
Wewe wa 0w20 kibongo bongo huwezi kupata hiyo oil...oil hizo utazikuta nchi zenye baridi huko..

Hizo 20w50 zina engines zake especially high mileage engines na heavy duty vehicles hususan diesel engines
Toyota Corolla
2007 to 2013 Sedan / 2010 to 2013 Hatch and Sedan

Oil Grade*
20W-50 and 15W-40API grade SL or SM multigrade engine oil
10W-30, 5W-30, 5W-20, and 0W-20API grade SL "Energy-Conserving", SM "Energy-Conserving" or ILSAC multigrade engine oil
 
"
  • You can use a higher grade engine oil (higher ‘y’) than the recommended if your kind of riding includes more ‘frying’ up of the engine. For eg: You can use xW50 even if your recommended grade is Xw40 in case you ride a lot in city traffic and your place is a lot hotter or you like (sensibly) ripping the bike more often than not.
  • Do not go below this figure of ‘y’ ie. You should not use any engine oil with a lower ‘y’ rating. If your manufacturer recommends engine oil of grade xW40, you should not use any oil below 40. An oil of xW30 would be ineffective in providing proper lubrication to your engine at higher temperatures."

Point
 
Hata alivyonunua hiyo kapata ushauri. So anajaribu kupata maelezo mengine, maana hizi oil zipo nyingi sana na mbaya zaidi zile zikizoandikwa kwenye Vitabu vya gari hazipo huku kwetu ndio maana mada za oil haziishi.

Mfano mm gari yangu inatakiwa oil 0W20 lakini Nchi nzima hii hakuna unahangaika na mafundi wakutajie Equivalent yake Mara uambiwe ni 5W30 mara 20W50 mambo ni mengi
Engine oil inategemea mambo mengi sana-Let's say kwa wanaojua Subaru forester model ya 2012 inayotumia new engine FB20 recommended oil ni 0W20 ambayo ni nyepesi.Based on the nature of the boxer engine ambayo ina generate alot of heat na kwa mazingira ya joto Africa-Lazima engine yako ikipata joto kali during hard acceleration oil iwe burned na top up ya oil itakuwa mara kwa mara ukilinganisha na mtu anayetumia oil yenye viscocity kubwa kidogo kwa mazingira yetu ya ujoto.
*Haya makampuni ya magari huwa yanatoa updates za recommended oil based on the feedback ya wateja wao sokoni,haimaanishi kwamba kama recommended oil ilikuwa 0w20 kwenye manual itakuwa ni hvyo forever-Manuals info. huwa zinakuwa updated.
 
Wewe na huyo wa Xtrail wote mpo nia moja....Gari zetu nyingi haswa za petrol za miaka ya 2000 kuja juu, nyingi SAE VISCOSITY ni 5w30 au 10w30.

Kuhusu hizo dawa, hiyo ya kusafisha injectors wanashauri uweke kichupa kimuja kwa kila lita 50 za petrol....niliwahi kuifuatilia revies zake mitandao ya nje, wengi walisema wameona matokeo mazuri..

Hiyo injini oil flush sina info zaidi..

Ushauri kwa Hii Rav 4 na Xtrail ya mleta...
Mwageni hizo oil muweke oil recommended
engine oil flush inatumika pale tu unapotaka kubadilisha oil na unatakiwa uiweke kwenye engine oil tank dakika 15 kabla hujamwaga oil na hii inasaidia kusafisha slug zote ambazo zimegandana huko kwenye engine ili wakati wa kumwaga zitoke kwa pamoja

kumbuka unaiweka kwenye oil chafu unayotaka kuimwaga dakika 15 na kuendelea kabla hujamwaga na mda huo huo unaoiweka hakikisha gari haijazimwa
 
Engine oil inategemea mambo mengi sana-Let's say kwa wanaojua Subaru forester model ya 2012 inayotumia new engine FB20 recommended oil ni 0W20 ambayo ni nyepesi.Based on the nature of the boxer engine ambayo ina generate alot of heat na kwa mazingira ya joto Africa-Lazima engine yako ikipata joto kali during hard acceleration oil iwe burned na top up ya oil itakuwa mara kwa mara ukilinganisha na mtu anayetumia oil yenye viscocity kubwa kidogo kwa mazingira yetu ya ujoto.
*Haya makampuni ya magari huwa yanatoa updates za recommended oil based on the feedback ya wateja wao sokoni,haimaanishi kwamba kama recommended oil ilikuwa 0w20 kwenye manual itakuwa ni hvyo forever-Manuals info. huwa zinakuwa updated.

nimekuelewa boss
 
engine oil flush inatumika pale tu unapotaka kubadilisha oil na unatakiwa uiweke kwenye engine oil tank dakika 15 kabla hujamwaga oil na hii inasaidia kusafisha slug zote ambazo zimegandana huko kwenye engine ili wakati wa kumwaga zitoke kwa pamoja

kumbuka unaiweka kwenye oil chafu unayotaka kuimwaga dakika 15 na kuendelea kabla hujamwaga na mda huo huo unaoiweka hakikisha gari haijazimwa
Lkn awe makini kama engine iko weak akiflush ndipo anaenda kuimalizia kabisa.

Pia engine ikiwa weak akiweka engine oil light kama 5w-30 ndipo anaenda kuimalizia kabisa,bora atumie nzito zile slug zitamsaidia saidia kusogeza siku mbele.

Ila umetoa ushauri mzuri kuanzia matumizi ya engine oil mpk engine oil flash.
 
Engine weak inaonyesha viashiria gani kutambua hii ni weak???
 
Engine ambayo imeanza ku-smoke i.e(yenye kuhitaji overhauling).

Engine ambayo kwa muda mrefu mtumiaji wake hakuwahi kuijali (kwa mfano kwa kutoipa service kwa wkt).,kwa kuweka oil zisizo sahihi.

Pia unakuta engine imeshaanza kutoa mlio flani hivi(knocking sound)

Lkn pia gari zenye km/miles nyingi sana ukiweka hio light engine oil kama 5w-30 utaona baada ya muda inaanza kutoa moshi,ukija na kui flash ndipo unaimaliza kabisa maana engine iko weak tayari,so hapo ni bora kutumia heavy engine oil i.e 20w50,sae 40 n.k
 
Huu uzi umefanya nikubali kubadili oil leo.
Niliweka castrol 20w50 imetembea km 500 pekee.
Gari rav 4 kill time 2003 Awd
Nimeweka 5w30 ambayo ni recomended.
Kulingana na michango toka kwa wadau
Jamiiforums ni sehemu pekee kwa tunakumbushana na kufundishwa madini
Muhimu sana.
 
JF ndo penyewe
 
Gari ya zamani hio 5w30 nyepesi sana haifai. Tumia 5w40 au SAE40 kabisa.
Oil nyepesi zinafaa gari zenye umri mdogo.
 
Back
Top Bottom