Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,640
Hiyo namba ya oil kwa tz sio pahala pake..... 0W20 ni kwa mataifa yenye baridi kali sana.Hata alivyonunua hiyo kapata ushauri. So anajaribu kupata maelezo mengine, maana hizi oil zipo nyingi sana na mbaya zaidi zile zikizoandikwa kwenye Vitabu vya gari hazipo huku kwetu ndio maana mada za oil haziishi...