Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

engine oil flush inatumika pale tu unapotaka kubadilisha oil na unatakiwa uiweke kwenye engine oil tank dakika 15 kabla hujamwaga oil na hii inasaidia kusafisha slug zote ambazo zimegandana huko kwenye engine ili wakati wa kumwaga zitoke kwa pamoja

kumbuka unaiweka kwenye oil chafu unayotaka kuimwaga dakika 15 na kuendelea kabla hujamwaga na mda huo huo unaoiweka hakikisha gari haijazimwa
Engine oil tank ndio sehemu gani hiyo ya gari?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu nimesoma nimepata elimu kubwa sana ila me bado nina swali lakuuliza, me natumia Premio 2009 engine ZRT 261 mara ya mwisho niliweka 5w 30 total wakati huu wakat nabadili fundi kanishaur hata 5W 40 kwa mazingira yetu pia inafaa so nikanunua castrol 5W 40 je ni sawa? Pia swala la oil filter me nilikua nanunua tsh.15000 akaniambia hizo ni fake akanipa ya tsh.48000 anasema ndo original na ukiangalia box zake kweli ni tofauti naambatanisha picha muangalie muone kama ni kweli fake na original
Ya kushoto ni fake niliyonunua na ya kulia ndio og ambazo wanazo

16211486501490.8859420358205078.jpg
 
View attachment 1786723
Nunua OG
 
Weka 15w-40 ndo mwake mwake kwa 4x4...epuka mafundi wa mtaani nenda kwenye petrol station (eg. TOTAL/PUMA) eg. Nimeenda TOTAL ya pale Mbezi afrikana (kubadilisha oil /oil yenyewe=47,000/=, filter=15,000, ufundi=10,000/=) wanatengeneza fresh Bei poa
Shukrani mkuu, kabla sijabadili oil from 20w50 to 15w40 nliamua kuipeleka garage moja kubwa maeneo ya kijitonyama ikachekiwa kwenye machine tatizo hasa litakuwa ni nini mpaka gari kuwa nzito na kutobadili gia hata ukikanyaga mafuta, ikaonekana Hamna tatizo Ila fundi alipofanya uchunguzi ikajulikana tatizo ni airmass sensor imekufa, kubadili tuu iyo gari imekuwa safi bila hats kubadili oil.
Sasa tatizo sasa hivi nikiwasha tuu gari, kuna hizi taa zinawaka wakati mwanzoni hazikuwa zikiwaka, na hii ni baada ya service.

IMG_20210519_151612.jpg
 
View attachment 1797749
Tanzania kuna vituko sana,yaani unapeleka gari garage likiwa na tatizo la kutokubadili gear halafu tatizo linatibiwa ila unarudishiwa gari likiwa linawaka taa ya check engine.Bongo sihami,nalog off!

Halafu kamwe usiendeshe gari ambalo taa ya check engine inawaka red.Hiyo gari unaiua engine muda mfupi sana ujao.
 
Tanzania kuna vituko sana,yaani unapeleka gari garage likiwa na tatizo la kutokubadili gear halafu tatizo linatibiwa ila unarudisha gari likiwa linawaka taa ya check engine.Bongo sihami,nalog off!
Hahahaha sorry mkuu kwa kutomalizia maelezo hili tatizo limeanza baada ya siku kama mbili mbeleni baada ya kutoka garage.
 
Hahahaha sorry mkuu kwa kutomalizia maelezo hili tatizo limeanza baada ya siku kama mbili mbeleni baada ya kutoka garage.
Kama hiyo taa inawaka red usiendeshe hiyo gari kwa sababu itakufa engine muda mfupi sana ujao.Tafuta fundi aje kucheki gari yako nyumbani au ivute bila ya kuiwasha uipeleke garage.

Unapoamua kumiliki gari hakikisha yafuatayo:

1.Hakikisha kuwa wewe unakuwa fundi namba moja halafu fundi wako anakua fundi namba mbili kwa sababu asilimia 99 ya mafundi wetu ni vilaza.Yaani unapaswa kulijua gari nje ndani na hii ni lazima wala siyo hiari.

2.Kabla ya kununua gari hakikisha kuwa tayari una fundi alieenda shule(NIT,DIT) na ambae ni professional

3.Manual ya gari yako iwe ndiyo biblia yako.

4.Akili za kiafrika za kufanya vitu kwa mzaha kama vile kubahatisha oil au kuweka ATF fulani au kuweka oil filter fulani au kuweka plug fulani au kuweka chochote kile kisa fundi kasema weka pembeni.
 
Back
Top Bottom