Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.

Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua.

Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri aachwe Simba SC atanisamehe ila niseme tu kuwa HANA AKILI.

Bingwa wa NBC Premier League na hata wa ASFC kwa Msimu huu wa 2023/2024 ni ama Yanga SC au Azam FC na Simba SC hatuna chetu mpaka pale Mashariki na Viongozi wetu AKILI zitakapotukaa sawa..

Nitasema UKWELI DAIMA hata kama utanifanya NICHUKIWE au nionekane NATUMIKA au nina CHUKI na Uongozi wa Simba SC.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Wewe ni rafiki yangu lakini unqnishangaza kitu kimoja. Kwa nafasi uliyonayo Simba Kwa nini unaacha Jaribu Tena awapige kwenye usajili? Maana Kwa hawa wa Jana na Tembo mhh labda.
 
Huyo atakuja kukataa uzi wake...uzuri huwa anajirudi yakimfika hapaa...kaeni kwa kutulia muone mambo...
Kuna ukweli,umeachwa points ngapi na bingwa mtetezi? Game ya Azam huna uhakika wa points tatu,na unatimu baadhi ya wale unao waona bora ni wageni nchini,story za bado hawajazoea mazingira hatutaki 😀,pia jiulize ni timu gani Bongo itaizuia timu inayoitwa The Citizens 💛💚💪
 
Tulia acha papara..hao wote wa mbele tunawafunga kuanzia huyo Azam na huyo Uto...
 
Ninachoweza kusema ni hiki hapa.
Nimekuwa shabiki wa mpira wa miguu kwa miaka 45 sasa. Ni mshabiki wa Simba toka nimezaliwa.
Kama mshabiki wa mpira wa miguu, kuna kipindi cha mazao (kuchukua ubingwa) na kipindi cha ukame (kukosa ubingwa). Hii haikuanza miaka ya hivi karibuni.
Kuna kipindi cha miaka ya 80, Simba alichukua ubingwa mara moja tu (kama kumbukumbu yangu iko sawa). Lakini miaka ya 90, alichukua ubingwa mara tatu mfululizo. Young Africans naye kuna kipindi alikuwa na ukame wa ubingwa lakini kuna kipindi akachukua ubingwa mfululizo.
Ninachotaka kusema ni hichi. Kwa miaka ya karibuni, Simba alichukua ubingwa mara nne mfululizo. Nakumbuka Young Africans alikuwa anahangaika na usajili wa wachezaji wengi lakini mwisho wa msimu, Simba anachukua ubingwa. Kila timu inapitia kipindi kigumu. Nakumbuka wapenzi wa Simba tukawa tunawatania sana wapenzi wa Young Africans (maneno ya jengeni timu acheni kulalamika, etc). Ni sehemu ya mchezo. Huwezi kuchukua ubingwa kila msimu (with the exception of Mamelodi Sundowns in South Africa lol!!!).
Nakumbuka zamani nilikuwa naumizwa sana na hili. Lakini kadri ninavyozeeka, ninaangalia katika mtizamo tofauti. Kuna kupanda na kushuka. Kuna wakati una kazi nzuri sana inakupatia kipato mnono na kuna wakati unajiuliza nitapata wapi pesa ya kula. Ni sehemu ya maisha.
Nafikiri ukijiandaa kuangalia katika mtizamo huu (haijali wewe ni mshabiki wa Simba au Yanga), utaweza kuchukulia vitu (whether unapata ubingwa au hapana) vizuri zaidi.
My 2 cents.
 
Uko sahihi kabisa. Kuna hawa walioanza kushabikia Simba baada ya ujio wa Mo na upande wa pili kuna walioanza kushabika Yanga wakati wa Manji hawa ndiyo hawana uvumilivu kabisa siku zote ni kulaumu uongozi,wachezaji na benchi la ufundi kinazi zaidi ya kimpira. Timu haiwezi kushinda mechi zote na kuwa bingwa kila msimu.
 
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.

Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua.

Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri aachwe Simba SC atanisamehe ila niseme tu kuwa HANA AKILI.

Bingwa wa NBC Premier League na hata wa ASFC kwa Msimu huu wa 2023/2024 ni ama Yanga SC au Azam FC na Simba SC hatuna chetu mpaka pale Mashariki na Viongozi wetu AKILI zitakapotukaa sawa..

Nitasema UKWELI DAIMA hata kama utanifanya NICHUKIWE au nionekane NATUMIKA au nina CHUKI na Uongozi wa Simba SC.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
ok
 
Naungaa hoja

Hana Akil

Benchika atoke SSC haraka
Ataharibiwa CV
 
Mleta mada hivi ulicheza timu gani ndugu yetu maana unatuaminisha ulicheza mpira sana ila timu hutaji na jina lako ili tuone ulivyokuwa unalisakata ball kuliko wachezaji wa Simba wa sasa
Bunda Musoma Kiabakari FC tu Mkuu.
 
Back
Top Bottom