Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,032
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa.

Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo Kisababishi Kikuu cha Mshambuliaji HATARI Moses Phiri kutopangwa Kimakusudi na Kocha Mkuu Roberto Oliveira.

GENTAMYCINE ukiniuliza ni Mshambuliaji gani ambaye kwa Simba SC hii ya sasa ana Namba yake ya Kudumu na anatakiwa Kuanza kutokana na Uwezo mkubwa ( hasa katika Ufungaji ) haraka bila ya Kuchelewa nitamtaja Mshambuliaji Mzambia Moses Phiri.

Muda si mrefu GENTAMYCINE nimetoka kumsikia Mmoja wa Waandamizi ndani ya Yanga SC ( mwenye Kuheshimika ) kote kote ( Uraiani na Bungeni ) akiwa amekuja katika Ofisi za Kampuni Moja Mikocheni akimthibitishia niliyekuwa na Miadi nae Saa 2 hii Asubuhi kuwa mpaka sasa wana 85% za Kumsajili Mshambuliaji Moses Phiri na kwamba hata Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi 'Master' anamuhitaji akiamini kuwa kwa Mpira mwingi wa Pacome Zouzoua, Aziz Ki, Max Zengeli huku nyuma yao akiwepo Doctor Khalid Aucho basi Mshambuliaji Moses Phiri atafunga Magoli mengi hadi mengine Kuyakinai na kuwapa akina Onana, Boko na Baleke nao wawe nayo.

Moses Phiri kwa Upuuzi ulioko Simba SC na kwa Chuki Kubwa ya huyo Kiongozi ndani ya Simba SC na kwa Unafiki mkubwa anaokufanyia Kocha Mkuu Roberto Oliveira Mimi GENTAMYCINE nimebariki kwa Moyo Mmoja na Mkunjufu Wewe kwenda / Kusajili Yanga SC Mkataba wako ukiisha na nimedokezwa kuwa unaisha au Wiki hii au Mwezi huu kama sijakosea.

Nikiwaambia Mimi ni Nabii msibishe.
 
Aendea Azam

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kama unashindwa kumtaja huyo kiongozi unabaki Tu mwandamizi mwandamizi basi huo ni umbea kama umbea mwingine.
Ina maana kocha anapangiwa kikosi? Kama hapana huu ni umbea
 
Try Again ni kirusi ndani ya simba hajui mpira kakaa kama mwanasiasa,kajaa chuki tu na ushamba.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Na ndiyo Kiongozi anayeiharibu Simba SC huku akiwa na Chuki na Mshambuliaji Moses Phiri kwakuwa tu Phiri alidai amaliziwe Pesa yake na hapo hapo Jamaa ( Kiongozi huyu Uliyemtaja hapa ) akitaka 10% yake tena hapo hapo.
 
Anatuvurugia club yetu kwa chuki na porojo zake ambazo hazina maana,na kutusajilia wachezaji wa hovyo na kuacha wachezaji wazuri kisa % zake anazopata.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa.

Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo Kisababishi Kikuu cha Mshambuliaji HATARI Moses Phiri kutopangwa Kimakusudi na Kocha Mkuu Roberto Oliveira.

GENTAMYCINE ukiniuliza ni Mshambuliaji gani ambaye kwa Simba SC hii ya sasa ana Namba yake ya Kudumu na anatakiwa Kuanza kutokana na Uwezo mkubwa ( hasa katika Ufungaji ) haraka bila ya Kuchelewa nitamtaja Mshambuliaji Mzambia Moses Phiri.

Muda si mrefu GENTAMYCINE nimetoka kumsikia Mmoja wa Waandamizi ndani ya Yanga SC ( mwenye Kuheshimika ) kote kote ( Uraiani na Bungeni ) akiwa amekuja katika Ofisi za Kampuni Moja Mikocheni akimthibitishia niliyekuwa na Miadi nae Saa 2 hii Asubuhi kuwa mpaka sasa wana 85% za Kumsajili Mshambuliaji Moses Phiri na kwamba hata Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi 'Master' anamuhitaji akiamini kuwa kwa Mpira mwingi wa Pacome Zouzoua, Aziz Ki, Max Zengeli huku nyuma yao akiwepo Doctor Khalid Aucho basi Mshambuliaji Moses Phiri atafunga Magoli mengi hadi mengine Kuyakinai na kuwapa akina Onana, Boko na Baleke nao wawe nayo.

Moses Phiri kwa Upuuzi ulioko Simba SC na kwa Chuki Kubwa ya huyo Kiongozi ndani ya Simba SC na kwa Unafiki mkubwa anaokufanyia Kocha Mkuu Roberto Oliveira Mimi GENTAMYCINE nimebariki kwa Moyo Mmoja na Mkunjufu Wewe kwenda / Kusajili Yanga SC Mkataba wako ukiisha na nimedokezwa kuwa unaisha au Wiki hii au Mwezi huu kama sijakosea.

Nikiwaambia Mimi ni Nabii msibishe.
Yaani kilichobaki, hamia tu Yanga. Ili usionekane kirusi, kama kweli Phiri atahamia Yanga, basi jifanye tu unahama naye..!! Kwani Diamond si alihama na Manara..!!! Hutakuwa wa kwanza.
 
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa.

Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo Kisababishi Kikuu cha Mshambuliaji HATARI Moses Phiri kutopangwa Kimakusudi na Kocha Mkuu Roberto Oliveira.

GENTAMYCINE ukiniuliza ni Mshambuliaji gani ambaye kwa Simba SC hii ya sasa ana Namba yake ya Kudumu na anatakiwa Kuanza kutokana na Uwezo mkubwa ( hasa katika Ufungaji ) haraka bila ya Kuchelewa nitamtaja Mshambuliaji Mzambia Moses Phiri.

Muda si mrefu GENTAMYCINE nimetoka kumsikia Mmoja wa Waandamizi ndani ya Yanga SC ( mwenye Kuheshimika ) kote kote ( Uraiani na Bungeni ) akiwa amekuja katika Ofisi za Kampuni Moja Mikocheni akimthibitishia niliyekuwa na Miadi nae Saa 2 hii Asubuhi kuwa mpaka sasa wana 85% za Kumsajili Mshambuliaji Moses Phiri na kwamba hata Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi 'Master' anamuhitaji akiamini kuwa kwa Mpira mwingi wa Pacome Zouzoua, Aziz Ki, Max Zengeli huku nyuma yao akiwepo Doctor Khalid Aucho basi Mshambuliaji Moses Phiri atafunga Magoli mengi hadi mengine Kuyakinai na kuwapa akina Onana, Boko na Baleke nao wawe nayo.

Moses Phiri kwa Upuuzi ulioko Simba SC na kwa Chuki Kubwa ya huyo Kiongozi ndani ya Simba SC na kwa Unafiki mkubwa anaokufanyia Kocha Mkuu Roberto Oliveira Mimi GENTAMYCINE nimebariki kwa Moyo Mmoja na Mkunjufu Wewe kwenda / Kusajili Yanga SC Mkataba wako ukiisha na nimedokezwa kuwa unaisha au Wiki hii au Mwezi huu kama sijakosea.

Nikiwaambia Mimi ni Nabii msibishe.
Mchukue wewe kama anakufaa.
 
Kama Kuna wakati viongozi na kocha wa Simba walinikera, basi ni pale walivyomtendea HAMIS TAMBWE na kisha baadae jamaa akatimkia YANGA. Yaani walimwacha top scorer kwa sababu za kijinga, na mimi nilifurahi alivyokuwa akitunyoosha alipoenda Yanga ambako nako aliibuka top scorer.

Jambo hili linaenda kujirudia kwa MOSES PHIRI. Namtakia kila la heri kokote kule atakakoenda (hata kama haitakuwa Yanga). Na ikikupendeza Mwenyezi Mungu nakuomba umsaidie ili aje kuinyoosha Simba, maana wewe ni Mungu usiyependa uonevu na dharau.

Hata akina SHABAAN CHILUNDA watafute pa kwenda kulinda vipaji vyao maana wachawi akina Bocco wana kila dalili ya kuongezewa mikataba mingine.
 
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa.

Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo Kisababishi Kikuu cha Mshambuliaji HATARI Moses Phiri kutopangwa Kimakusudi na Kocha Mkuu Roberto Oliveira.

GENTAMYCINE ukiniuliza ni Mshambuliaji gani ambaye kwa Simba SC hii ya sasa ana Namba yake ya Kudumu na anatakiwa Kuanza kutokana na Uwezo mkubwa ( hasa katika Ufungaji ) haraka bila ya Kuchelewa nitamtaja Mshambuliaji Mzambia Moses Phiri.

Muda si mrefu GENTAMYCINE nimetoka kumsikia Mmoja wa Waandamizi ndani ya Yanga SC ( mwenye Kuheshimika ) kote kote ( Uraiani na Bungeni ) akiwa amekuja katika Ofisi za Kampuni Moja Mikocheni akimthibitishia niliyekuwa na Miadi nae Saa 2 hii Asubuhi kuwa mpaka sasa wana 85% za Kumsajili Mshambuliaji Moses Phiri na kwamba hata Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi 'Master' anamuhitaji akiamini kuwa kwa Mpira mwingi wa Pacome Zouzoua, Aziz Ki, Max Zengeli huku nyuma yao akiwepo Doctor Khalid Aucho basi Mshambuliaji Moses Phiri atafunga Magoli mengi hadi mengine Kuyakinai na kuwapa akina Onana, Boko na Baleke nao wawe nayo.

Moses Phiri kwa Upuuzi ulioko Simba SC na kwa Chuki Kubwa ya huyo Kiongozi ndani ya Simba SC na kwa Unafiki mkubwa anaokufanyia Kocha Mkuu Roberto Oliveira Mimi GENTAMYCINE nimebariki kwa Moyo Mmoja na Mkunjufu Wewe kwenda / Kusajili Yanga SC Mkataba wako ukiisha na nimedokezwa kuwa unaisha au Wiki hii au Mwezi huu kama sijakosea.

Nikiwaambia Mimi ni Nabii msibishe.
Sawa nabii
 
Back
Top Bottom