GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,552
Yanga SC ni Wajanja na wana akili sana kwani kwa Miaka hii Miwili kila Kipindi cha Usajili kikifika tu Wanajifanya Kutangaza kumtaka Mchezaji fulani na Simba SC kwa Upumbavu wetu (narudia tena kwa Msisitizo kabisa kwa Upumbavu wetu) tunaingia Mkenge na Kukurupuka kuwahi Kumsajili huyo Mchezaji huku Yanga SC 'Waliotujambisha' wanaenda Kumsajili Mchezaji mzuri waliyetuficha na hata hawakumtangaza na Matokeo yake Wachezaji wao Wote Waliowasajili ni Wazuri, wa uhakika, hatari na wameshaingia katika Mfumo.
W akati huku Kwetu ( Simba SC ) aliyetuonyesha Uwezo ni Beki tu Chemalone huku Wengine wakiishia tu Kutusukia Mirasta yao na Kuvaa Mihereni na Mwingine Aubin Kramo akilalamika Kulogwa Kende ( Pumbu ) zake kila Kocha akimpanga katika Mechi.
Msimu ujao Dirisha la Usajili likifika Simba SC tuacheni kukubali 'Kujambishwa' na hawa Yanga SC kisha Kukurupuka Kuwasajili Wachezaji waliowataka Kiuwongo Uwongo ( Kujambisha)
Kisha Wao wanaenda Kuwasajili wale Mahiri 'Waliowapointi' wao kisha wanakuja Kuunganika na Mafundi waliowakuta na Timu zinaanza kula Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na wana Simba SC tunabaki Kusonya tu huku tukidai kuwa Yanga SC wanacheza na Timu dhaifu ( nyepesi ) na sijui Wanazihonga wakati hata Sisi kule Tanga katika Fainali ya Community Shield muda wote walikuwa Wanatuhemea tu hadi Wengine kila mara Kubana Kende ( Pumbu ) zetu Miguuni ili tusifungwe ns Shukran nyingi ziende kwa Mganga wetu tuliyetafutiwa na Kocha ( sasa Mkurugenzi wa Soka la Vijana Simba SC ) Juma Mgunda kwani kwa hali ilivyokuwa Siku ile hata Sisi ( Simba SC ) tulikuwa tunaenda Kula ( Kufungwa ) hizi hizi Tano Tano ( Hamsa Hamsa ) wanazokula Wenzetu kwa sasa.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu Ok?