Simba SC tafuteni Uwanja kwa Mechi zenu za Ligi na FA, New Amani Complex kiwe tu kwa Mechi zenu za CAFCL

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC kwakuwa Uwanja wenye Vigezo vya CAF na hata FIFA kwa sasa kwa Michuano ya Kimataifa ni wa New Amani Complex pekee kwa hapa Kwetu nchini Tanzania.

Hivyo basi GENTAMYCINE narejea Kuwashaurini kama nilivyofanya majuzi hapa hapa JamiiForums kuwa kwa sasa kwa Mechi zenu za Ligi Kuu na FA chagueni Kiwanja Kimoja tu kati ya hivi Viwili cha Sheikh Amri Abedi (Arusha) au Mkwakwani (Tanga), ila msiende Morogoro au Dodoma au Mwanza tafadhalini.

Na hoja Kubwa ambayo Bodi ya Ligi (TPLB) na hata TFF wataitumia Kuwakatalia Kucheza Zanzibar Mechi zenu za Ligi ni ile ambayo ipo katika Kanuni za Ligi ambayo hata Simba SC yenyewe pia ilishiriki na Kubariki ambayo hairuhusu Klabu hiyo ya Ligi Kuu kwenda kucheza Mechi zake za Ligi Kuu na FA huko Kisiwani Zanzibar ila kwa hapa Tanzania popote pale unaweza Kuchagua na Kwenda ilimradi tu hivyo Viwanja vimekidhi Vigezo.

Na pia sababu yangu Binafsi kama GENTAMYCINE ambayo najua itafanya Ombi lenu la kwenda kucheza Mechi zenu za Ligi Kuu na FA Zanzibar likataliwe ni kwamba Bodi ya Ligi (TPLB) na hata TFF wanajua Simba SC ukienda huko Mapato mengi yataenda kwa ZFA (Zanzibar) na Wao watapata Mapato/Mawokoto Kidogo/Kiduchu sana.

Kanwe hata iweje nawaomba Simba SC msirejee kabisa kwenda kucheza Azam Complex kwani huo Uwanja umeshafanyiwa mno Mambo mabaya ya Kufuru na Kumuudhi Mwenyezi Mungu na Kitu kibaya sana ambacho Simba SC imefanyiwa katika huo Uwanja kwa Ushirikiano wa Marafiki Wanafiki Wawili Mmoja wa Ilala na mwingine wa Mbagala.

Kazi Kwenu fanyeni nilichoshauri Ok?
 
Kuwaza ushirikina muda wote ni dalili bado unaishi old stone age.

Mbona Benin hawana timu Yao kwenye Afcon wala club zao halijurikani kwenye CAF championship?
Unajisikiaje kuchangia Uzi wa Mtu ambaye kwa muda mrefu ulikuwa ukiwataka JamiiForums Moderators na hata JamiiForums Founder Mwenyewe WASINIFUNGULIE tena GENTAMYCINE hili Jukwaa la Michezo?
 
GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu ( NBC ) na FA ( ASFC ) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC kwakuwa Uwanja wenye Vigezo vya CAF na hata FIFA kwa sasa kwa Michuano ya Kimataifa ni wa New Amani Complex pekee kwa hapa Kwetu nchini Tanzania.

Hivyo basi GENTAMYCINE narejea Kuwashaurini kama nilivyofanya majuzi hapa hapa JamiiForums kuwa kwa sasa kwa Mechi zenu za Ligi Kuu na FA chagueni Kiwanja Kimoja tu kati ya hivi Viwili cha Sheikh Amri Abedi ( Arusha ) au Mkwakwani ( Tanga ), ila msiende Morogoro au Dodoma au Mwanza tafadhalini.

Na hoja Kubwa ambayo Bodi ya Ligi ( TPLB ) na hata TFF wataitumia Kuwakatalia Kucheza Zanzibar Mechi zenu za Ligi ni ile ambayo ipo katika Kanuni za Ligi ambayo hata Simba SC yenyewe pia ilishiriki na Kubariki ambayo hairuhusu Klabu hiyo ya Ligi Kuu kwenda kucheza Mechi zake za Ligi Kuu na FA huko Kisiwani Zanzibar ila kwa hapa Tanzania popote pale unaweza Kuchagua na Kwenda ilimradi tu hivyo Viwanja vimekidhi Vigezo.

Na pia sababu yangu Binafsi kama GENTAMYCINE ambayo najua itafanya Ombi lenu la kwenda kucheza Mechi zenu za Ligi Kuu na FA Zanzibar likataliwe ni kwamba Bodi ya Ligi ( TPLB ) na hata TFF wanajua Simba SC ukienda huko Mapato mengi yataenda kwa ZFA ( Zanzibar ) na Wao watapata Mapato / Mawokoto Kidogo / Kiduchu sana.

Kanwe hata iweje nawaomba Simba SC msirejee kabisa kwenda kucheza Azam Complex kwani huo Uwanja umeshafanyiwa mno Mambo mabaya ya Kufuru na Kumuudhi Mwenyezi Mungu na Kitu kibaya sana ambacho Simba SC imefanyiwa katika huo Uwanja kwa Ushirikiano wa Marafiki Wanafiki Wawili Mmoja wa Ilala na mwingine wa Mbagala.

Kazi Kwenu fanyeni nilichoshauri Ok?
Sasa uliporukia hili wazo la kuipeleka Simba Zanzibar haukuwa umefikiria haya yote? Leo hii unazijua kanuni zote za TFF, ZFF na BMT.

Embu kwanza rudi ukasome au kusikiliza walichosema bungeni miezi michache iliyopita kuhusu timu kuweza kucheza nje ya mipaka ya TFF.
 
Sina muda huo mchafu tafadhali Ok?
 
GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC kwakuwa Uwanja wenye Vigezo vya CAF na hata FIFA kwa sasa kwa Michuano ya Kimataifa ni wa New Amani Complex pekee kwa hapa Kwetu nchini Tanzania.

Hivyo basi GENTAMYCINE narejea Kuwashaurini kama nilivyofanya majuzi hapa hapa JamiiForums kuwa kwa sasa kwa Mechi zenu za Ligi Kuu na FA chagueni Kiwanja Kimoja tu kati ya hivi Viwili cha Sheikh Amri Abedi (Arusha) au Mkwakwani (Tanga), ila msiende Morogoro au Dodoma au Mwanza tafadhalini.

Na hoja Kubwa ambayo Bodi ya Ligi (TPLB) na hata TFF wataitumia Kuwakatalia Kucheza Zanzibar Mechi zenu za Ligi ni ile ambayo ipo katika Kanuni za Ligi ambayo hata Simba SC yenyewe pia ilishiriki na Kubariki ambayo hairuhusu Klabu hiyo ya Ligi Kuu kwenda kucheza Mechi zake za Ligi Kuu na FA huko Kisiwani Zanzibar ila kwa hapa Tanzania popote pale unaweza Kuchagua na Kwenda ilimradi tu hivyo Viwanja vimekidhi Vigezo.

Na pia sababu yangu Binafsi kama GENTAMYCINE ambayo najua itafanya Ombi lenu la kwenda kucheza Mechi zenu za Ligi Kuu na FA Zanzibar likataliwe ni kwamba Bodi ya Ligi (TPLB) na hata TFF wanajua Simba SC ukienda huko Mapato mengi yataenda kwa ZFA (Zanzibar) na Wao watapata Mapato/Mawokoto Kidogo/Kiduchu sana.

Kanwe hata iweje nawaomba Simba SC msirejee kabisa kwenda kucheza Azam Complex kwani huo Uwanja umeshafanyiwa mno Mambo mabaya ya Kufuru na Kumuudhi Mwenyezi Mungu na Kitu kibaya sana ambacho Simba SC imefanyiwa katika huo Uwanja kwa Ushirikiano wa Marafiki Wanafiki Wawili Mmoja wa Ilala na mwingine wa Mbagala.

Kazi Kwenu fanyeni nilichoshauri Ok?
Unaonaje wakitumia uwanja wako, elewa neno uwanja wako
 
rodrick alexander

Kwani zanzibar ndio waliomba hizo mechi zikachezwe kwao au Simba wenyewe ndio walionesha consideration kwenye hilo Jambo?

Na hata kama Zanzibar ndio waliomba basi ni pure Business proposal

Sasa Kwanini unakuwa na Chuki ?
 
Nyie ndio mlifanya yule mwanamama wa kuitwa Barbara G aondoke kwa sababu ya imani zenu za kishirikina

Uchawi hauchezi ndio maana zinatumika hela nyingi kununua wachezaji pro

Ingekuwa uchawi una athari yoyote kwenye soccer yasingetumika mabilioni kwenye usajili
 
Back
Top Bottom