Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,290
Habari Mwana-Jukwaa La Sports.

Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana.

Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa Mengi ya Ulaya Ligi zao zina Ligi ngumu kwelikweli,

Kila Team ni shindani na mtu hata akizidi Point 10 anakua bado hajiamini hadi iishe,Mifano ipo hai na inaishi,Msimu uliopita Aseno alikua anaongoza gap kubwaa sana akashushwa na Msimu huu ilikua vile ila hadi saiv tunaona mambo hayaeleweki tena.

Sasa Nirudi kwenye Maada haraka,YANGA TEAM YA WANACHI KAMA Wanavyopenda Kujiita wao Ninawapa Ubingwa wa Msimu huu kwa sababu hizi.

1,Point; Yanga ana mzidi point 7 Simba ambazo ni Nyingi sana kwa Mfumo wa soka la Afrika.
Yanga anamzidi mpinzani wake Mkubwa Simba ambapo ili Yanga aweze kua na kibarua kikubwa cha kuhofi kupoteza ubingwa wake lazima apoteze games 2 na Moja adroo..Kitu ambacho ni kigumu sana hakiwez tokea.

Kwanini nasema hivo ni kwa sababu Ili Simba awe na hio nafasi Lazima Yanga apoteze Consecutive games 2 na Adroo hio moja ila ukisema apoteze leo halaf aje apoteza baaadae kwa Simba hii mbovu ambayo haipitishi game 3 bila Droo, nayo itakua ishapoteza tu so gap litaendelea kuwepo tu.

Na kingine huu ni ukwel ukubali ukatae msomaji ni hivi;

Ni ngumu sana kwa Team kubwa hapa Tanzania kama Simba na Yanga kupoteza game mbili mfulululizo kwa Ligi yetu hii yani itapoteza moja then inayofata itafanya juu chini ishinde kama alivyofanya jana Simba,Yan kwa Jana asingekubali Simba apoteze na hio game.

So hio hoja imekaaa hivo kua Yanga ili afikiwe na awe kwenye Hofu ya kutokubeba ubingwa ni Lazima apoteze game mbili mfulululizo na Simba ashinde wakati huo kitu ambacho ni kigumu kwa Yanga hii yenye Consistency na Simba hii ya Kuungaunga...
Ukisema sio lazima iwe game 2 Mfululizo kumbuka maelezo ya juu niliyotoa.

2,Point;Ligi Yetu haina Team Nyingi zenye ushindani,
Point nyingine inayonifanya niseme Yanga bingwa msimu huu ni kua Ligi yetu haina Team nyingi zenye ushindani na hili niseme ni tatizo la Ligi Nyingi za Ligi za Afrika,Unakuta Ligi Team zenye ushindani ni 2 au 3 tu sio kama Ligi za Ulaya nilizo taja hapo mwanzo naanza huu uzi,Ulaya Kila Team ni ngumu au huwez kukosa Zaidi ya Team 7 zenye ushindani hapo unaongelea match zaidi 10 ngumu ambazo bingwa anazicheza.

Je Tanzania kuna Match ngapi ngumu Yanga hii Bora anacheza kwa Ligi?
ambazo unasema Yanga hapa lazima atanasa tu, Jibu hazipo zaidi ya 4.

So ingekua Ligi ina Team Nyingi shindani tungesema ngoma bado Mbichi kabisa ila saiv kama wewe ni MwanaSimba na Unawaza Ubingwa Basi una Tatizo Mahali.

HITIMISHO; PARADE JINGINE ANZENI KUANDAA WANANCHI UBINGWA MSHABEBA.

#Shabiki LiaLia Wa Kolo Was Here✍️
 
Mkuu usitutoe kwenye reli sisi tunachojua bado ligi haijaisha na tuna game 11+ ili kumaliza kabisa. Kwa hiyo sisi tunasema ubingwa bado
Sawa Mkuu ila hii ni Afrika usihisi huku Yanga atakutana na Team kama AstonVilla,Newcastle au Chelsea zinavyomchallenge City.
 
Hivi Yanga akichukua awamu hii ndo mara ya 3 mfululizo? Na simba alichukua mara 4 mfululizo si ndiyo?

Nadhani ligi imepangwa hivo,kwamba na Yanga naye achukue mara 4 au 5 mfululizo hah
 
Mashabiki wengi wa Yanga ni wapiga ramli wazoefu. Kamba hukatikia pembamba
Kamba haikatiki hadi uwe na kisu au nyenzo ya kukatia kamba au ukute nayo hio kamba imeoza ila kama KAMBA(YANGA) haitatokuja kukatika(Kuangusha Point I mean) humubebi na kingine Je Kisu(SIMBA) ni kikali? Simba sio wa kali lishaonekana zaid ya mara 5 saiv.
 
Back
Top Bottom