Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
kanunue mlupo ukakamue kijana
eh bana eh! sasa hiyo pub si wanaingia wapinzani wa Simba tu?kanunue mlupo ukakamue kijana
ni kweli siwezi kukupingia ila kama ni ya kwako,je? zilikuwa coins au noti.Nalog off
unauliza tena,
si hizo hizo hela,
kwani kuna nyingine tena
una utani wewe mkuu wangu.
Namuogopa Ekselent,hivi wewe ni TV au DVD?Nalog offNipe mimi
mie nataka kujua zake zilikuwa ni coins au noti?Nalog offkama kweli ni fedhwa ya kwako mkomalie mpaka akupe.
nauliza ili nipate kujua.Nalog offunauliza tena,
si hizo hizo hela,
kwani kuna nyingine tena
una utani wewe mkuu wangu.
Nashukuru kwa ushauri wako chanya.Nalog offnunua National Panasonic bendi nne
oabibie hizi ni za kuokota sio za kutafuta.Nalog offNipe nikuweke zikitimia ununue vyote wakati mmoja..
nashukuru sana mkuu,nitafanya hivyo.Nalog offnunua kideo ujionee laivu.
hamna noma nitakuja naye kwenye hii pub yenu.Nalog offkanunue mlupo ukakamue kijana
Mkuu hapa unaamanisha Rupee au Rand?
hakuna shaka mkuu ngoja nikachukue kideo kesho.Nalog offNashkuru kwa kukubali ushauri wangu.
Kati ya DVD na TV bora ununue TV ili ushuhudie challenges zinavyoendelea bungeni.
Umepata nauli ya yule shangazi yako! Mrudishe home asijesema na ww wafanana na bundi bure!!nalog off!!
Rupee, Rand,................... Ndiyo maana aliposema ana log off na mimi nikataka ku log off nikaona nisubiri nione atasema ni currency gani?Ushamba mwingine ni mzigo, hivi unajuwa ni currency ngapi zinaanzia na R?