Nimeokota hela,je ninunue TV au DVD?

Jamani viburudisho vipya vipya vingi sasa hivi, kuna mgodi gani unatema warembo?

Karibu bibie japo hujapiga hodi, mie nimejichagua kuwatembeza tembeza hapa jf.

Teh teh teh, kitu kinalipa hiki afu kijanja janja au kuna kibibi cha zamani kimejivua gamba kwa jina na sura hii.
Sijafikia kujivua gamba bado...
Nilibisha hodi na wenye mapenzi mema wakanikaribisha.Ulikuwa wapi?
 
Jamani viburudisho vipya vipya vingi sasa hivi, kuna mgodi gani unatema warembo?

Karibu bibie japo hujapiga hodi, mie nimejichagua kuwatembeza tembeza hapa jf.

Teh teh teh, kitu kinalipa hiki afu kijanja janja au kuna kibibi cha zamani kimejivua gamba kwa jina na sura hii.
ujanja kuwahi wahi fasta kabla wengine hawajatia timu.Nalog off
 
Unalog of unahofia tutakuomba?
Afu weye si upeleke hiyo hela ITV watangaze nani kapoteza?
kuhusu kukugawia nusu ya hizo fedhwa wala usihofu bi dada,wewe nibipu mie nitakupigia kwenye Tigo Pesa. Mie sijaiokota ITV kwanini niipeleke huko ili wao waitangaze?Nalog off
 
Kama ni Rand mkuu nenda pretoria street kule hillbrow kuna Night club inaitwa Summit Club uka enjoy kuwatazama strippers. Ukishindwa nenda News Cafee yoyote kaweke heshima!
ni South African Rand mkuu,hapana mkuu sichezei hela zao nachezea hela zangu.Nalog off
 
Kama ni Rand mkuu nenda pretoria street kule hillbrow kuna Night club inaitwa Summit Club uka enjoy kuwatazama strippers. Ukishindwa nenda News Cafee yoyote kaweke heshima!
kule mbali mkuu,kabla hujafika kule pitia hapa Nugget str ipo moja inaitwa Royal hotel kiingilio karibu na bure halafu unaangalia matusi live bila chenga.Nalog off
 
Mambo zenu wakuu,leo katika pita pita zangu nimeokota R2800/= ila kwasababu ndio nayaanza maisha naomba ushauri wenu nahitaji vitu viwili hivi kati ya Tv na DVD,je mnanishauri nianze kununua nini? Nitashukuru kwa ushauri wenu.Nalog off
Mkuu bora ununue TV ukinunua DVD wakati huna TV utaangalia kivipi? Nalog On
 
japo ni yakwangu lakini nimekupa,
wahi kanunue chochote kwani unaweza
ukakuta haipo hata pale kibindoni ulipoiweka.
 
Back
Top Bottom