Nimeokota hela,je ninunue TV au DVD?

Mkuu nilidhani utamshauri profesional, kwamba ananunue Computer ili apige ndege watatu kwa jiwe moja, yaani atapata tv humo humo na dvd humo humo na JF humo humo.
Hamna noma nituchukua kompyuta ili niifaidi vizuri JF.Nalog off
 
japo ni yakwangu lakini nimekupa,
wahi kanunue chochote kwani unaweza
ukakuta haipo hata pale kibindoni ulipoiweka.
ushanitisha,ina maana utautuma msukule uje kuilamba? Mpaka sasa hivi imebaki R2000. Nalog off
 
ushanitisha,ina maana utautuma msukule uje kuilamba? Mpaka sasa hivi imebaki R2000. Nalog off

usiogope mkuu,
mimi sina huo ujanja,
mara nyingi kitu cha kuokota kinaisha hivyo hivyo bila utaratibu maalum,
ni sawa na hela ya kuhongwa mara nyingi hufanyii kitu cha maana mkuu.
 
Nimegundua kuna watu hapa Jf wanakuja ku-refresh minds baada ya kupata stress uko mitaani na makazini.
Mtoa thread anaulizwa R ni currency gani, Rand au Rupee, anabaki kuruka ruka tu.
 
Nimegundua kuna watu hapa Jf wanakuja ku-refresh minds baada ya kupata stress uko mitaani na makazini.
Mtoa thread anaulizwa R ni currency gani, Rand au Rupee, anabaki kuruka ruka tu.
Nafikiri wewe ndiye utakayekuwa na stress kwasababu hukusoma hii thread yote,nimekwisha jibu hilo swali kuwa ni South African Rand.Soma vizuri mkuu usikurupuke kupost,soma post #53,#58 na #63.Nalog off
 
Nimegundua kuna watu hapa Jf wanakuja ku-refresh minds baada ya kupata stress uko mitaani na makazini.
Mtoa thread anaulizwa R ni currency gani, Rand au Rupee, anabaki kuruka ruka tu.

ni mi nimetapeliwa izo pesa, na mnijeria nikaamua kuzitupa ni fek. Nakushauri zitupe utafungwa babangu.
 
Mie ningekushai=uri ukatoe sadaka, utoe hata hospitali, kwa wazee wasiojiweza au vituo vya kulelea watoto kama fungu lako la kumi ila kwakua umesema ndio unaanza maisha (kama ni kweli) TV ya nini Kitanda unacho?? nunua sehemu ya kuweka ubavu kijana ndipo ufate vingine
 
ushanunua, kama bado nna deki ya VHS nausa hapa. Na ntakupa bonas ya mkanda wa rambo first blood.
nimeshanunua tv mkuu,na nimeazima dvd machine kwa jirani naangalia picha la cho ko mwenye nuksi ah samahani nimekosea kuandika ni Chuck Norris.Nalog off
 
Back
Top Bottom