Nimeokota hela,je ninunue TV au DVD?

Rand, Rupia? Na leongo lako nini? Tujue uko nje unachezea pesa za mzazi wako?
Mambo zenu wakuu,leo katika pita pita zangu nimeokota R2800/= ila kwasababu ndio nayaanza maisha naomba ushauri wenu nahitaji vitu viwili hivi kati ya Tv na DVD,je mnanishauri nianze kununua nini? Nitashukuru kwa ushauri wenu.Nalog off
 
Tukajenge heshima bar kwanza.

Mambo zenu wakuu,leo katika pita pita zangu nimeokota R2800/= ila kwasababu ndio nayaanza maisha naomba ushauri wenu nahitaji vitu viwili hivi kati ya Tv na DVD,je mnanishauri nianze kununua nini? Nitashukuru kwa ushauri wenu.Nalog off
 
Jamani viburudisho vipya vipya vingi sasa hivi, kuna mgodi gani unatema warembo?

Karibu bibie japo hujapiga hodi, mie nimejichagua kuwatembeza tembeza hapa jf.

Teh teh teh, kitu kinalipa hiki afu kijanja janja au kuna kibibi cha zamani kimejivua gamba kwa jina na sura hii.

Hizo ni riali, rupees au rands?
 
Back
Top Bottom