Nimeokota hela,je ninunue TV au DVD?

Mie ningekushai=uri ukatoe sadaka, utoe hata hospitali, kwa wazee wasiojiweza au vituo vya kulelea watoto kama fungu lako la kumi ila kwakua umesema ndio unaanza maisha (kama ni kweli) TV ya nini Kitanda unacho?? nunua sehemu ya kuweka ubavu kijana ndipo ufate vingine
nimeshatoa fungu la 10 jana,nilikwenda hospitali na kuwaongezea fedha wale waliuokuwa wamepungukiwa,ila kuhusu kitanda sina ila ninalala kwenye godoro tupu.Nalog off
 
Riyal maybe... Wenzake huandika code, kama ni Rand angeandika ZAR, kama ni Rupia ya Hindustan angeandika INR...
Nimejibu kuwa ni South African Rand kwenye post #53,#58 na #68,halafu sisi tuliokulia RSA,huwa hatuandiki ZAR 2800/=,bali tunaandika R 2800/=,kwahiyo ni mazoea ya nchi na nchi. Nalog off
 
Nimejibu kuwa ni South African Rand kwenye post #53,#58 na #68,halafu sisi tuliokulia RSA,huwa hatuandiki ZAR 2800/=,bali tunaandika R 2800/=,kwahiyo ni mazoea ya nchi na nchi. Nalog off

Nimeishi Mbombela kwa kipindi fulani, unachokisema hakipo huko... Halafu ni nyie mliokulia huko, mimi nikileta swagger za nilikokulia sijui kama mutakalika humu ndani...
 
Mambo kama hayo mpeleke facebook kuna wachangiaji wazuri tu kule tena hasa kinadada
 
Nimeishi Mbombela kwa kipindi fulani, unachokisema hakipo huko... Halafu ni nyie mliokulia huko, mimi nikileta swagger za nilikokulia sijui kama mutakalika humu ndani...
Duh! Basi yaishe,usije ukapafanya pakawa hapatoshi hapa kwa swaga zako,ila ndugu usiwe unabisha kila kitu,nakuwekea websites za RSA ujionee mwnyewe.
1.http://www.makro.co.za/c/3759/soccer/
2.http://www.afrihost.com/site/product/linux_home_hosting
3.https://www.pnponline.co.za/ProductList.aspx?CategoryName=Groceries
nyingine kumbuka mwenyewe.
Nalog off
 
Duh! Basi yaishe,usije ukapafanya pakawa hapatoshi hapa kwa swaga zako,ila ndugu si umeshaelewa kuwa ni Rand au bado? Nalog off

Mantakhof alhabiby washawasha! Nimeshaelewa, tulikuwa twawekana sawa.
BTW: Umeamua kununua nini sasa na hiyo pesa iliyobaki?
 
Mantakhof alhabiby washawasha! Nimeshaelewa, tulikuwa twawekana sawa.
BTW: Umeamua kununua nini sasa na hiyo pesa iliyobaki?
hakuna shaka,nimenunua tv hapa naangalia bonge la movie nimeazima dvd ya mashine kwa jirani.Nalog off
 
Mambo zenu wakuu,leo katika pita pita zangu nimeokota R2800/= ila kwasababu ndio nayaanza maisha naomba ushauri wenu nahitaji vitu viwili hivi kati ya Tv na DVD,je mnanishauri nianze kununua nini? Nitashukuru kwa ushauri wenu.Nalog off

Hiyo kama upo SA hauwezi nunua kideo kama hiki:LC-S32D400 Samsung rose black 32'' wide LCD=R3525/=Naona tu kaatumie wazazi wako kwa ajili ya kununua pamba za Krismas.
TV - LED - LCD - Plasma televisions Computer hardware South Africa - Computers, laptops and software sales to the Public.
 
Back
Top Bottom