Nimechoka kusubiri ajira za walimu

tetesi; ajira zenu mwezi 8 katikati.
Haa, kumbe wewe! wewe huna lolote, huna msimamo na hujui lolote, maana uliwahi kuuhakikishia umma kuwa ajira za walimu zngetoka February 25 mwaka huu. lakn hakuna lolote. Tulia kijana, unaposema kitu uwe na kumbukumbu, mwingne ataaminika lakini wewe hamna!
 
Haa, kumbe wewe! wewe huna lolote, huna msimamo na hujui lolote, maana iliwahi kuuhakikishia umma kuwa ajira za walimu zngetoka February 25 mwaka huu. lakn hakuna lolote. Tulia kijana, unaposema kitu uwe na kumbukumbu, mwingne ataaminika lakini wewe hamna!
INAMANA NA WEWE KUSEMA WA8 UNAAMINI? NAKUTANIA TU ILA ULISIKILIZA LEO KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI?. WATATOA MWEZI HUU WA6 KAKA.
 
INAMANA NA WEWE KUSEMA WA8 UNAAMINI? NAKUTANIA TU ILA ULISIKILIZA LEO KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI?. WATATOA MWEZI HUU WA6 KAKA.
Broo, pia ktk maswali na majibu hawakutaja specific time kama unavosema ww.
 
pole kwa kukata tamaa ila sasa unatakiwa utambue kwamba haujasoma ili ukae kulalamika mda wote kama wew ni mwalim kweli umeshindwa hata kupanda mboga za majani kwa mda huo wote ambao umelalamika hapa jukwaani ndug jiongeze maisha sio kilalamika kila siku
 
pole kwa kukata tamaa ila sasa unatakiwa utambue kwamba haujasoma ili ukae kulalamika mda wote kama wew ni mwalim kweli umeshindwa hata kupanda mboga za majani kwa mda huo wote ambao umelalamika hapa jukwaani ndug jiongeze maisha sio kilalamika kila siku
Hata hizo mboga za majani unazosema zinahitaji mtaji na muda wa uhakikaa!...

Na mfano ukipanda mboga hizo na Ajira zikatoka kabla mazao hayajakomaa hiyo hasara atafidia nani!?....

Hatakama hawatatoa Leo!...
Wangametoa muda specifically tungefanya miradi mbalimbalij...

Maana kila Mara TAMISEMI hutoa muda na wasitekeleze!..(mfano kwenye bajeti tareh 27 April simbachawene alisema watatoa may na halijatimia neno lake).

Unafikiri nani angepanda hizo mbogamboga zako kwa kauli zao hizi....
 
ha!ha!ha! Katikati ya mwezi wa sita ushafika unaweza kuta mwezi wote unaisha huku kukiwa hakuna jipya zaidi ya kauli tupo kwenye mchakato au tuwe wavumilivu huku ni sawa na kutokuthaminiwa na serikali ya hapa kazi
 
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
Anzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji kwa kuwa unalipa zaidi kuliko huo uawalimu
 
..Kwa sasa.. Punguza mchecheto.. Habar iliyopo ni mpka bajeti ya serikal ipite

Maana yake basi.... Siku ukisikia.. Bajet serikal imepitishwa.. Bungen... Ndani ya wiki moja mpka mbili post zitatoka....

Mtaani kugumu we acha.. Tu
 
Tatzo muwapo vyuon mnajisahau hamkumbuk kwamb kuna maisha baada ya boom sasa matokeo ndo hayo by the way mm nipo chuo na nasoma education lkn nkimaliza hata nicpopata ajira life litasonga2 bcz i have plan b already

maliza kwanza kelele za nini,
 
Wakati mwinginee watuu tunashindwa kuelewa kuwaa maishaa unayoishi wewe ni tofauti na mwenzio daimaa hatuwezi kulinganaaa......oooh mtoa madaa hakuwaa na plan B ooooh mlitumiaa vibaya boom mlipokuwa chuoo ooo sijuiii niniii!...

Malawamaaa meeengiii!...

Mfano mie since nimeenda shule karibu NNE za private......ja kilaa mmoja anakwambiaa tukupee mkatabaa tenaa sio chinii ya mwakaaa maana ukifanya kazii miezii miwilii utaharibuu mipangoo yaoo maana wanafunzii kucop na mwalimu mpyaa inahitaji mudaaa!......

Na hataaa ukisemaa ufanyee biasharaaa!...
BIASHARA MTAJI REMEMBER!.....

Na kwa u-delicate wa ualimu ni vizuri mwalimuu aingie kazin fresh from school akiwa na harii yoooteee!....

Ni kwelii mamlakaa husikaa hawakututendeaa hakii kabisaaa ilaa namshaurii mwalimu tarajali mwenzangu......
Tulichaguaaa huu #witoo tunahitajikaa kuwa wavumilivuu na naamin hakunaaa wa kutuzuiaa kufanyaaa kilee tunachostahilii hataaa wakitoaa this month kamaaa wasemavo akina Jafo na Simbachawene au hata wa sabaa kama alivosemaa P.M na hataa wakitaka next year!....,

Tuvumiliee tuu na wakati huo tutengeneze mawazo (proposal) zitakazotusaidiaa kufikia malengo kimaishaaaa..

NAAMINI WALIMU TUNA UPEO MKUBWA WA KUFIKIRI NA IT'S GONA BE ALRIGHT.

bora umewafungua
 
Ajira zote zimesitishwa hadi zoezi linaloendelea la usahakiki wa watumishi kubaini watumishi hewa litakapokamilika
 
7b13ae23aa34dc1c56fa8e74f4b70e27.jpg
 
Back
Top Bottom