Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
una GPA ya ngapi. kama huna GPA ya kuanzia 3.8 au wastani wa B utasubiri sana
 
Hapa nakusudia nikawe machinga tu Dar maana mimi ni GEOGRAPHY AND HISTORY teacher .nimehemwa tu na GPA yangu hii huku HESLB wananidai milioni 12 ambayo hata sijui nitaipata lini Najuta kumpigia kampeni magufuli SITOJIHUSISHA NA SIASA TENA unaemwamini anatusaliti
 
Kumbeeee lakini ajira sio lazima serikalini, jaribu kupitisha bahasha kwenye NGOs na sekta binafsi.
 
Ni Ushauri tu!

Wale walimu ambao hamjakidhi sifa za kuajiriwa (Masomo ya Sanaa & Sayansi) unganeni mtengeneze vikundi, mtafute sehemu mfundishe masomo ya ziada.

Pia humo kwenye kikundi mnaweza kusaidiana mawazo namna ya kujitoa kimaisha. Wapo ambao ualimu ulikuwa plan A ila sasa wako plan F.

Naamini mkishirikiana na kutobagua kazi (Muhimu iwe ya Halali) mtatoka tu!!!!!

Aidha hii iwe fundisho kwa wale waliovyuoni kwa fani Mbalimbali, somo la Ujasiriamali lizingatiwe sana.
 
Serikali hii inawaficha tu ila uhalisia ni kuwa hali ni mbaya huko hazina so vijana changamkieni fursa la sivyo mtasubiri ajira mpaka muote mvi
 
Hapa nakusudia nikawe machinga tu Dar maana mimi ni GEOGRAPHY AND HISTORY teacher .nimehemwa tu na GPA yangu hii huku HESLB wananidai milioni 12 ambayo hata sijui nitaipata lini Najuta kumpigia kampeni magufuli SITOJIHUSISHA NA SIASA TENA unaemwamini anatusaliti
pole
 
Back
Top Bottom