Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Serikali imesitisha ajira zote kwa muda usiojulikana.
Ukumbuke mwezi ujao wengine wanamaliza chuo halafu kuna ziada ya walimu 17000 wa masomo ya arts
 
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
Dah Siasa hizi ni sheedha!
 
si ndio hizo tetesi kuwa ajira zimesimamishwa kwa muda, tafuta shule ya binafsi ujishikize
 
Hii itakuwa mpaka January nn? Duuuuuuuu magufuli kanikomesha kwelkwel hamu yakisomo changu chote imeisha
 
Back
Top Bottom