Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

huyu mama hakianani atatuuwa kwa pressure, kila kukichwa lazima atuumize moyo!! safari hii wapenda haki tumekwisha!!
 
Atatumia tu busara kama bado anazo kinyume chake atakuwa anawakilisha hisia za wale waliomtuma
 
Anatambua kuwa hakuna swali atakalo ulizwa Waziri liwe na jibu lake sahii: hivyo anawaambia mawaziri wajibu kwa kifupi kwamba wakitoa maelezo marefu uhongo unaweza kujulikana dhahiri machoni mwa watu.
 
Jamani hilo sio tatizo kwani hata wakati wa sitta yalikuwa yanatokea,huo ni mfumo mbovu wa katiba yetu yanampa mamlaka makubwa spika kuamua kila kitu hata kama hoja ni ya msingi unapewa dk.10.
 
Issue hapa ni weak leadership ya Speaker! Nasema weak leadership/unafiki kwa sababu Speaker anauwezo wa kutoa maelekezo/angalizo kwa wabunge kuwa waliowachagua hawakuwatuma waje bungeni kuleta mipasho ikiwa ni pamoja na kusifia viongozi wa juu bali wametumwa kuwakilisha changamoto zilizopo majimboni kwao.

Hivyo Speaker angeonyesha kuwa ana-expect wabunge wawe objective and constructive ktk michango yao. As it is ni kama naye anashabikia hasa pale wa-chama chake wanapokiuka kanuni. Mfano ni michango kwa hotuba ya raisi JK wakati anafungua bunge. To be honest sidhani kabisa kama raisi alitoa hotuba ile ila asifiwe yeye au hotuba yenyewe. Ni wazi kuna mambo mengi aliyosema raisi yanahitaji mikakati ktk utekelezaji wake, hivyo nilidhani (nahisi pia na JK) kuwa wabunge watatoa michango itakayo toa mwelekea wa namna ya kutekeleza hotuba ya raisi na sio mbunge anasimama na kutumia 5m kuwashukuru wapiga kura na 10min anasifia hotuba ya raisi bila hata ya kuona kama kuna changamoto na jinsi ya kuzitatua. SHAME kwa spika. Lakini ukweli ni kuwa Speaker Makinda yuko ktk nafasi nzuri ya kuwaongoza wabunge ili wawe na tija zaidi.
 
Hivi Mama Spika anapomuomba waziri ajibu kwa kifupi sana huwa anamaanisha nini?
Binafsi naona maana yake ni kuwa ama waziri ajibu haraka kwa sababu muda ni kidogo, au waziri ajibu kwa kufunika hata asipoeleweka au swali lililoulizwa ni la kipuuzi hivyo waziri aburuze tu na atalindwa.
Naomba mchango wenu tafadhali.

Hapo kwenye red ndipo aliposimamia huyo kinda. Na hii ni kutokana na jinsi alivyoanza anaonekana wazi wazi kuwa amewekwa na RA (mkuu wa mtandao wa mafisadi na ndiye rais wa kikwete).
 
Inaamana hata CCM kama hawako kwenye 18 za EL na RA inakula kwao au? Tusubiri siku RA au EL wakiwa wanachangia, ili tuone her response and attitude...................

Kama itatokea RA akatoa mchango bungeni basi pengine huo utakuwa ni mchango wake wa kwanza. Hata bwana mamvi toka alipotemeshwa unene sijawahi kumsikia akichangia pia.
 
Na mungu naye Ana akili ndo maana hajampa watoto

ohhh! kumbe hana watoto??? Sasa naelewa kwa nini ana hasira za hovyo na kitu kama roho mbaya hivi!!!!! Mungu amjalie apate mtoto kama bado anatafuta!!!!! Mafisadi wana kaujanja flani, wanafahamu ni jinsi gani mama asiyezaa alivyo na roho mbaya ndo maana waliamua kumtumia yeye!!!! Du! Shetani ana hila.............
 
Kama itatokea RA akatoa mchango bungeni basi pengine huo utakuwa ni mchango wake wa kwanza. Hata bwana mamvi toka alipotemeshwa unene sijawahi kumsikia akichangia pia.

Kweli sijawahi kumsikia huyu jamaa akitoa mchango ama hoja yeyoye bungeni tangia nianze kulifuatilia bunge. Yeye anachofanya ni kusaka michongo ya kulamba vya walalao halafu anamega asilimia 0.002 anapeleka kwa wapiga kura wake ili waendelee kumwona mtu. Ubaya wake nafikiri hata LUSIFA yule mkuu wa uovu huwa anashangaaaaaa!!!
 
Na mungu naye Ana akili ndo maana hajampa watoto

Mmmh Chezo unauhakika? Sometimes chuki ikizidi inakuwa uonevu...I am sure she has a child tena mwenye heshima zake na may be a member here in JF try to find out...
 
Ni aina hii ya viongozi na watawala ambao wameifanya Tz kuwa taabani, kuwa genge la wahuni, wezi wa mali za umma, na utawala mbovu usio na tija. Nahisi naona machungu ya WaTz wengi katika mamilioni yao.
 
Alichokifanya yule mama kinatia hasira.Ina-provoke hali ya ugomvi ndo sababu Nyerere jnr(musoma mjini)alikuwa jeuri wakati anachangia hata akakataa taarifa kabla hajaickia inasema nini cause inafikia stage ukiporwa haki unareact negatively ilimradi na we ujiridhishe nafsi
 
Tunakoelekea bunge litakuwa la watu walioshindwa kutumia akili zao katika kuendesha maisha yao na hivyo njia rahisi ni kuwa mbunge. Bunge chini ya mama huyu ni aibu tupu
 
Ana maanisha waziri ajibu BORA LIENDE siku iishe......hana muda wa kumsikiliza na ku-follow up shida za wananchi
 
Back
Top Bottom