Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Tatizo si ANNA Makinda , tatizo hapa ni Elimu yake... kama tungekuwa na CV yake hapa tungeweza kuchambua na kupata maana... Me nafikiri ni Elimu yake, hajasoma sheria , wala hana weledi wa sheria... vipi azijue sheria in details????
Me nafikiri kwenye kuchagua maspika, kungekuwa na kigezo lazima anaegombea awe amesoma sheria na yupo deep
 
Wanabodi, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mimi nilikuwepo Bungeni mwanzo/mwisho.

Ni kweli Spika Makinda alianza kwa uborongaji mkubwa kutokana na ugeni na emotions control yake iliyopelekea kutokuwa na confidence kulikoandamana na inferiority confidence iliyomfanya ku practise superiority complex hivyo kuminya demokrasia kulikopelekea kushindwa ku win respect ya wabunge.

Nilipost thread ya "Bunge la Miongozi ya Spika: Anna Makinda ni dictator au?.

Lakini kufikia siku ya mwisho ile juzi, Spika Makinda was in full controll. Kwa mliomsikiliza hotuba yake wakati akiliahirisha Bunge, alikiri udhaifu kiaina na kuomba msamaha kimtindo na mwisho kusisitiza anayafanya yote hayo kwa nia njema yaani in good faith with nothing personal na kusisitiza spirit ya reconciliation miongoni nwa wabunge na kuhimiza umoja na mshikamano nje ya bunge bila kujali wameparurana vipi ndani ya Bunge.
 
Wana JF na watanzania wote natumaini ni wazima wote. Leo hii nimeamua kuitafuta namba ya Spika wetu Mpendwa Mama Anna Makinda. Huyu Mama nasikia ana hasira za karibu na mbali, Kiherehere cha kuzima hoja muhimu zisizungumziwe, Sisi watu wa pwani tunasema anamunkari. Nataka nimsaidie Huyu mama apunguze munkari wa hasira kwa Wabunge wa Upinzani, kwa kuwa wabunge wa upinzani hawaimbi nyimbo za kumsifia Fisadi Wetu Kikwete kuwa ni Msafi kama Chenge. Ndugu zanguni Wana Jf na Watanzania wenzangu naomba namba ya Mama Makinda mwenye nayo anitupie hapa ili niwezekuwasiliana nae na kupanga appointment ya kuweza kumsaidia ili asiwe na Munkari, nitamuonyesha sisi watu wapwani tabia zetu zilivyokuwa nzuri, Hatuli Tigo asiogope
 
Wanabodi, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mimi nilikuwepo Bungeni mwanzo/mwisho.

Ni kweli Spika Makinda alianza kwa uborongaji mkubwa kutokana na ugeni na emotions control yake iliyopelekea kutokuwa na confidence kulikoandamana na inferiority confidence iliyomfanya ku practise superiority complex hivyo kuminya demokrasia kulikopelekea kushindwa ku win respect ya wabunge.

Nilipost thread ya "Bunge la Miongozi ya Spika: Anna Makinda ni dictator au?.

Lakini kufikia siku ya mwisho ile juzi, Spika Makinda was in full controll. Kwa mliomsikiliza hotuba yake wakati akiliahirisha Bunge, alikiri udhaifu kiaina na kuomba msamaha kimtindo na mwisho kusisitiza anayafanya yote hayo kwa nia njema yaani in good faith with nothing personal na kusisitiza spirit ya reconciliation miongoni nwa wabunge na kuhimiza umoja na mshikamano nje ya bunge bila kujali wameparurana vipi ndani ya Bunge.

Pasco, i beg to differ

Huyu alikua naibu spika kwahiyo hana ugeni wowote

Anna Makinda came with one objective, to control opposition and not to lead the bunge!! once you start like that, then you are bound to fail big time... she failed

If i may ask, ni nini utakumbuka kilichokua achieved kwenye hiki kikao zaidi ya kuahirisha, miongozo, na milioni 90?

If she had come to be spika, basi alikua na the best parliament ya kuonyesha quality and maturity yake kwani hata baadhi ya wabunge wa CCM walikua wamevolunteer kuleta heshima halisi ya bunge na sio siasa chafu

I AM DISAPPOINTED WITH ANNE MAKINDA

AND ON A SEPARATE NOTE, WAANDISHI WAACHE KUTOA MAPICHA YAKE ANAKAGUA NYUMBA ANAYOJENGEWA NA BUNGE (SHE HAS ENOUGH HOUSES IN THIS COUNTRY) WHILE OTHER ARE DYING FOR LACK OF ACCESS TO HEALTHCARE AND BASIC SOCIAL SERVICES
 
Ichukue humo mkuu, umpigie.

Nakushukuru sana ndugu yangu kwa msaada wako nimeichukuwa na nimepiga inaita tu haipokelewi lakini sitachoka kumpigia mpaka nimpate na nitawahabarisha wana JF kitu gani kilichoendelea kwenye mazungumzo yetu na Spika Makinda
 
Mchape kwa ile bakora laini ashike adabu,aache mtindo wa kutusomea kanuni za bunge!bunge limekua muhimili wa ccm
 
Wanabodi, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mimi nilikuwepo Bungeni mwanzo/mwisho.

Ni kweli Spika Makinda alianza kwa uborongaji mkubwa kutokana na ugeni na emotions control yake iliyopelekea kutokuwa na confidence kulikoandamana na inferiority confidence iliyomfanya ku practise superiority complex hivyo kuminya demokrasia kulikopelekea kushindwa ku win respect ya wabunge.

Nilipost thread ya "Bunge la Miongozi ya Spika: Anna Makinda ni dictator au?.

Lakini kufikia siku ya mwisho ile juzi, Spika Makinda was in full controll. Kwa mliomsikiliza hotuba yake wakati akiliahirisha Bunge, alikiri udhaifu kiaina na kuomba msamaha kimtindo na mwisho kusisitiza anayafanya yote hayo kwa nia njema yaani in good faith with nothing personal na kusisitiza spirit ya reconciliation miongoni nwa wabunge na kuhimiza umoja na mshikamano nje ya bunge bila kujali wameparurana vipi ndani ya Bunge.

Sidhani kama ni kweli kuwa alichosema mwisho wa kikao cha bunge ndicho anachokiamini. Alisema vile baada ya kusikia au kusoma nini wananchi wanamlalamikia jinsi anavyoliendesha bunge. Kifupi ni kuwa yupo pale kwa mission maalum ya kuhakikisha hakuna issue yoyote inayotokea Upinzani kwa maana ya Chadema inakatisha. Angalia Swali alilouliza Mbowe kwa Waziri mkuu na baada ya majibu ya waziri mkuu Lema aliomba mwongozo wa Spika!!! Cha ajabu Makinda ali react vipi???. Angalia alivyoiminya hoja ya Tundu lisu juu ya kujadili matukio ya mabomu, sote twajua alichokijibu ni nini. Lakini hapohapo alifanya nini mara hoja ya akina Hamadi Rashidi na juu ya Tafsiri ya NENO KAMBI RASMI ya Upinzani. Makinda aliisimamia hoja hiyo na kuhakikisha inajadiliwa na kupitishwa, kwanini?? Ili tu kuwadhibiti Chadema. Anavyofanya Makinda kwa mtazamo wangu ni kuwa badala ya kuwadhibiti Chadema, NDIO ANAWAPA CHATI YA JUU SAANA NA Kwa bunge hili lililokaa wiki mbili tu kwa mtazamo wangu limewapandisha chati chadema mara mbili zaidi ya masuala ya ufisadi yalivyofanya.
 
makinda ni jeuri na kada lisilokuwa na maslahi ya umma nguvu ya umma itamshukia. Hatumtaki huyu mama jeuri
 
Back
Top Bottom