bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
<br />so point hapa ni kwamba yafanyike mara moja moja ndio mtu anaweza kuvumilia? mnajua kila binadamu ana mapungufu yake? unajua kuna wakati binadamu alivyi ndivyo alivyo huwezi kumbadilisha? hayo yapo sana humu ndani tunachofanya ukiona yamekuzidi we jipangue tu but mcdhani ha2yapitii baadhi ya hayo kwa namna moja au nyingine..tunayapitia sana ishu ni kwamba ukiona yamezidi unajipangua tu.
<br />
Ndio maana nikasema inategemea mtu na mtu mae....wengine mara moja anasepa, wengine tango waingie yanayavumilia hayo.
Umegusia suala la tabia ya mtu....wengi huwa tunang'ang'ana kubadili tabia za wenzi wetu ziwe tupendavyo sisi (utadhani sisi ni malaika) lakini je hata kama mwenzio anafanya vitu vinakuumiza unyamaze tu kwa vile ni tabia yake? Uumie ndani kwa ndani mpaka muda wa kupangua ufike?