Ni masikini pekee na walioumizwa huamini kutafuta hela ndo mbadala wa mapenzi.

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu niwastue au niwaache? Jpl ya leo mnapgaje huko yanga na prisons kule fainal ya afcon.
Narudia tena maskini ndo huwa wanaamin ukiwa na hela basi huitaji mahusiano tena au uktafuta hela bs ndo mbadala wa mahusiano au ukiumizwa na mpenz wako bs utaskia tafuta hela tafuta hela as if matajiri hawana mahusiano au hawaitaji mahusiano au hawaumizwi na wapenzi wao au utaskia wapumbavu humu eti ukiwa na hela watakuja wenyewe tu hata hutumii nguvu huo ni unanga huo mafala nyie wenye mtazamo huo. Marehemu ruge kademu kake ka zamaradi kalivujsha clip akikalilia kasmuache kwan ruge hakuwa na hela au alikosa nn? Jaman mahusiano n ktu natural kama kula kwa kiumbe hai hakuzuiliki Aliyetuumba ndiye Alituumbia mahusiano sasa we umeshba zako makande huko umeumizwa na bwana ako au demu wako unakmbilia kusema hela ndo utakuwa mbadala wake hlo haliwezekan na kamwe haitokuja kuwa mbadala. marehemu mengi alipoachana na mkewe alivuta mtoto mbichi kbs jack mnadhan alikuwa hana hela au? shaaabash....
MUNGU WA MBINGUNI NI MWEMAA
 
Msisitizo ule ule uzingatuvu wa kutafuta hela, tutafute hela aisee!
Mapenzi ni upuuzi .
 
Watu wenye akili kubwa wengi hawakuwahi kuendeshwa na Mapenzi.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wakuu niwastue au niwaache? Jpl ya leo mnapgaje huko yanga na prisons kule fainal ya afcon.
Narudia tena maskini ndo huwa wanaamin ukiwa na hela basi huitaji mahusiano tena au uktafuta hela bs ndo mbadala wa mahusiano au ukiumizwa na mpenz wako bs utaskia tafuta hela tafuta hela as if matajiri hawana mahusiano au hawaitaji mahusiano au hawaumizwi na wapenzi wao au utaskia wapumbavu humu eti ukiwa na hela watakuja wenyewe tu hata hutumii nguvu huo ni unanga huo mafala nyie wenye mtazamo huo. Marehemu ruge kademu kake ka zamaradi kalivujsha clip akikalilia kasmuache kwan ruge hakuwa na hela au alikosa nn? Jaman mahusiano n ktu natural kama kula kwa kiumbe hai hakuzuiliki Aliyetuumba ndiye Alituumbia mahusiano sasa we umeshba zako makande huko umeumizwa na bwana ako au demu wako unakmbilia kusema hela ndo utakuwa mbadala wake hlo haliwezekan na kamwe haitokuja kuwa mbadala. marehemu mengi alipoachana na mkewe alivuta mtoto mbichi kbs jack mnadhan alikuwa hana hela au? shaaabash....
MUNGU WA MBINGUNI NI MWEMAA
Bado una utoto mwingi sana.
Hujakua
 
Back
Top Bottom