Ni kitu gani...?!

Mkuu mimi napenda sana mwanamke mwenye vijimaneno vya ajabu ajabu hivi, infakti vinaniturn on kabisa, mimi waifu akinambia "utajijuuu" basi naomba gemu mida hiyo hiyo. sjui niko normal???

tupo wengi
si unaona nimesema navumilia
meaning hainisimbui lol

nikuombe tu ucjipe imani sana kwenye moyo wa mwenzio, we kaa 50-50......(usiusemee moyo wa mwenzio)...lolote laweza kutokea.....hata mie nilidhanigi" hataweza"...kwamapenzi tuliyokuwa nayo, kilitokea kmfarakano kdgo kila kitu kikawezekana....na cjui cri ya mafanikio mpaka nikamsamehe but nimekuta tu nimesamehe....nadhani linapotokea ndio unajua jinc ya kukabiliana nalo...kwasasa relax mae!

Sijausemea moyo dearest na sijasema nampa mia ya mia....
Najaribu tu kufikiria na naona chungu kumeza.

Anyways....naweza nisijue kweli ntalichukuliaje hilo kwa sasa, lakini hicho ndo ninachojiskia.

Sometime you cant really say how would you handle the situation till its before you....

Sina maneno ya kujifunga mpaka hapa!

Khaaa usiniambia Slaa ni kiwango cha kujipimia.....haya bana!

Klorokwini ndugu yangu.....si tunasomaga upendo huvumilia? Hauhesabu mabaya?

sasa kwanini Lizzy hataki kuvumilia?

Kuna kale ka kiapo utamvumilia ,utampenda ,utamtunza sijui na nini tena

Lizzy usinisahau kwa kadi siku utakapotangaza nia maana naona unaelekea ukingoni mwa research yako

Zaidi ni kuomba mungu akupe mme /mke mwema maana hivi vyote hutoka kwake.

Hivi matron, mke/mume mwema (ambaye tunaambiwa anatoka kwa Mungu) ni mkamilifu?

Na mke/mume mbaya na jambazi anatoka kwa nani?

nikuombe tu ucjipe imani sana kwenye moyo wa mwenzio, we kaa 50-50......(usiusemee moyo wa mwenzio)...lolote laweza kutokea.....hata mie nilidhanigi" hataweza"...kwamapenzi tuliyokuwa nayo, kilitokea kmfarakano kdgo kila kitu kikawezekana....na cjui cri ya mafanikio mpaka nikamsamehe but nimekuta tu nimesamehe....nadhani linapotokea ndio unajua jinc ya kukabiliana nalo...kwasasa relax mae!

Nyamayao ni kweli kabisa naunga mkono hoja.haya mambo acheni tu zaidi ni kuomba mungu aifanye ndoa yako iwe paradise ndogo kama alivyoahidi.

Kuna kale ka kiapo utamvumilia ,utampenda ,utamtunza sijui na nini tena

Lizzy usinisahau kwa kadi siku utakapotangaza nia maana naona unaelekea ukingoni mwa research yako

Zaidi ni kuomba mungu akupe mme /mke mwema maana hivi vyote hutoka kwake.

Mama wa kwanza mbona research ndo kwanza ipo mwanzo mwanzo?!Maana somo la uvumilivu nalo inabidi nipitie na kufaulu kabla sijaenda kuvunja viapo huko!!!

Hivi matron, mke/mume mwema (ambaye tunaambiwa anatoka kwa Mungu) ni mkamilifu?

Hivi my bestlady unaamini kabisa hakuna jambo linalomshinda mungu.Kama utaomba mungu akupe mke mwema na akakupa na si kwamba huyo mke mme atakuwa mkamilifu la hasha
Lakini atakuwa na hofu na mungu pale anapokosea ni mara moja atagundua amekosea na kuomba msamaha ,hatajikweza ,atakuwa mvumilivu ,siku zote atatafuta suluhu ya matatizo.. hatajihusisha na nyumba ndogo au masharobaro ..
atampenda na kumuheshimu mwenza wake .hata pale atakapojaribiwa atawezeshwa kushinda majaribu...

Na mke/mume mbaya na jambazi anatoka kwa nani?

teteteteteh..huyu hana hofu na mungu..siku atakapotambua neno na kumrudia mungu hakika atakuwa kiumbe kipya .
watu wote wanatoka kwa mungu..lakini ukiomba kwa imani utapata kizuri zaidi.Kumbuka shetani alikuwa malaika wa mungu lakini alitamani kuwa mkuu kuliko mungu.
Na mungu hatakutupa kamwe..
aaaaagh wewe mbona hivi..niko katika chuo cha bible hapa najifunza mistari.

nikuombe tu ucjipe imani sana kwenye moyo wa mwenzio, we kaa 50-50......(usiusemee moyo wa mwenzio)...lolote laweza kutokea.....hata mie nilidhanigi" hataweza"...kwamapenzi tuliyokuwa nayo, kilitokea kmfarakano kdgo kila kitu kikawezekana....na cjui cri ya mafanikio mpaka nikamsamehe but nimekuta tu nimesamehe....nadhani linapotokea ndio unajua jinc ya kukabiliana nalo...kwasasa relax mae!

,....sawasawa kabisa, tena ukitaka unafuu kwenye maisha haya, chukulia hivyo vitimbwi vya mwenzako kama mchezo wa kuigiza hivi....ndiyo majaaliwa yako hayo huyo mwenza awe 'akikustaajabisha na kukuchekesha!' na u-karikenya wake.

Kaka mkubwa kama mengi yanawakuta na bado mpo basi kunavumilika.....yepi ya kuvumilia? Tunarudi pale pale kuwa inategemea mtu na mtu....

hatuko wakamilifu hilo ni wazi, sasa sijui yepi na na nani atavumilia (hilo linabaki kuwa la binafsi)

Mdogo wangu,

Ukishavaa jezi na kuingia uwanjani, kisha mechi ikaanza utayajua yote. Hakuna nyota utaacha kuona...Sasa kama utaendelea kuona nyota za ndani au unataka kujaribu za nje hilo ni jambo jingine. Ila lisilopingika ni kwamba cha moto utakutana nacho tu ingawa si kila siku...Ni hali ya kawaida tu ya maisha...Leo mzima wa afya, kesho waumwa na kulazwa kwa daktari!!

teteteteteh..huyu hana hofu na mungu..siku atakapotambua neno na kumrudia mungu hakika atakuwa kimbe kipya .
watu wote wanatoka kwa mungu..lakini ukiomba kwa imani utapata kizuri zaidi.
Na mungu hatakutupa kamwe..
aaaaagh wewe mbona hivi..

Dah! skujua kama Festiledi akikasirika anamwaga neno la Mungu kiasi hiki!

BE nakupotezea tu...

Lizzy My dear,

1. Hakuna kitu KINACHOIMARISHA MAHUSIANO kama kuchapana makofi "once and a while"
2. Hakuna kitu KINACHODUMISHA NDOA kama "kutembea nje ya ndoa"
3. Hakuna kitu KINACHODHIHIRISHA U-BABA kama "kumkaripia mke wako"
4. Hakuna kitu KINACHOLETA USTAHIMILIVU katika mausiano kama "kutokujali"
5. Hakuna kitu KINACHOLETA UENDELEVU katika mahusiano kama "ubinafsi"
6. Ulalalmikaji ni ISHARA ya "KUTAFUTA" opinion ya mwenza wako!
7. Kutokujiamini ni "relative term"!

Jioni njema nawahi kufuturu -

Back
Top Bottom