Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 5,696
- 13,251
Okay kila la kheri mkuu.. nimekuwekea nyimbo hii kama huna kwenye playlist yako 😃Nilishaanza muda kidogo mkuu
Okay kila la kheri mkuu.. nimekuwekea nyimbo hii kama huna kwenye playlist yako 😃Nilishaanza muda kidogo mkuu
dahSungura ana ruka ruka ila anaishi miaka miwili tu ,wakati kobe ananyata ila anaishi miaka miatatu.
Mimi I am late 30's naelekea ile wanasema life start at......Wakuu am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona Ni vyema niwe Na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi......Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym...naombeni muongozo Nini vya kuzingatia Na nifanye mazoezi ya aina gani
🤣🤣🤣🙌🏿jinsia yako tukushauri?isije ikawa wakike nikakushauri ukachana kinembe bure😕😕
Kamuone Prof. Janabi atakushauri vizuri.Wakuu am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona Ni vyema niwe Na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi......Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym...naombeni muongozo Nini vya kuzingatia Na nifanye mazoezi ya aina gani
Daaa umenipatia kweli😉🙏🏽✌Okay kila la kheri mkuu.. nimekuwekea nyimbo hii kama huna kwenye playlist yako 😃
View attachment 2963688
🤗🤝 Itakusaidia mazoezini ndugu✌️Daaa umenipatia kweli😉🙏🏽✌
Asante sana mkuu🙏🏽 Bravo✌️🤗🤝 Itakusaidia mazoezini ndugu✌️
Kuimarisha afya ya mwili Na kucontrol uzitoGoals matter, Be specific unahitaji mazoezi ya nini?
AhsanteOkay kila la kheri mkuu.. nimekuwekea nyimbo hii kama huna kwenye playlist yako 😃
View attachment 2963688
Kama ni hivyo tuu, Zingatia Joggin na Kuruka kamba, Maji yenye chumvi kidogo ni muhimu sana wakati wa hayo mazoezi.Kuimarisha afya ya mwili Na kucontrol uzito
Sawa....niruke Kamba mara ngapiKama ni hivyo tuu, Zingatia Joggin na Kuruka kamba, Maji yenye chumvi kidogo ni muhimu sana wakati wa hayo mazoezi.
Kwa Nini ufanyie mazoezi nyumbani!?
Utakuwa unajihurumia sana mi nashauri zoezi zuri la kuanza nalo ni kutembea angalau 1hr Kila siku inakuwa casual walk but with purpose
Mahitaji
1.Raba zenye soli kubwa(Nike)
2.track suit ndefu.
3.Skin tight
4.Jacket itakuwa poa
5.Kofia nzuri kwa ajili ya jua.
6.Kibegi( rasket)
7.Chupa ya maji safi.
8.Saa ya mkononi
9.Usivae earphone
10.Uelekeo (hapa lazima uchague maeneo rafiki ya kutembelea eg uwanjani au unaweka target kama kuifikia shule ,hospital,Bomba la maji,soko n.k)
11.Usipende sana kutembea kando ya barabara though kwa Dar ni ngumu kuepuka.
Shukran MkuuKwa Nini ufanyie mazoezi nyumbani!?
Utakuwa unajihurumia sana mi nashauri zoezi zuri la kuanza nalo ni kutembea angalau 1hr Kila siku inakuwa casual walk but with purpose
Mahitaji
1.Raba zenye soli kubwa(Nike)
2.track suit ndefu.
3.Skin tight
4.Jacket itakuwa poa
5.Kofia nzuri kwa ajili ya jua.
6.Kibegi( rasket)
7.Chupa ya maji safi.
8.Saa ya mkononi
9.Usivae earphone
10.Uelekeo (hapa lazima uchague maeneo rafiki ya kutembelea eg uwanjani au unaweka target kama kuifikia shule ,hospital,Bomba la maji,soko n.k)
11.Usipende sana kutembea kando ya barabara though kwa Dar ni ngumu kuepuka.
Pamoja MaryShukran Mkuu
Don't forget walking is good jogging is better sex is best do all of them for your physical and mental healthShukran Mkuu
Kwa ninavyoelewa mimi Kamba hazihesabiwi, unaruka hadi uone huwezi kumudu mikupuo. Cha kushauri tumia stop watch.Sawa....niruke Kamba mara ngapi
Sawa MkuuDon't forget walking is good jogging is better sex is best do all of them for your physical and mental health