Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

Wakuu am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona Ni vyema niwe Na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi......Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym...naombeni muongozo Nini vya kuzingatia Na nifanye mazoezi ya aina gani
Mimi I am late 30's naelekea ile wanasema life start at......

Nafanya mazoezi mara kwa mara tangu zamani.

Mazoezi ni moyo na mindset yako.
Ili uweze kufanya mazoezi kila mara zingatia yafuatayo.
1. Fahamu malengo yako kwenye mazoezi ni nini.
2. Pangilia muda wako sahii kwa ajili ya mazoezi.
3. Chagua aina za mazoezi kutokana na malengo na mwili wako.
4. Nunua nguo/outfit ambazo zitakukaa vyema ili mazoezi yasikupe maumivu. Viatu, bukta, t shirt....
5. Kama ni mvivu tafuta mwenza wa mazoezi.
6. Weka alamu ya muda wa mazoezi.

Mazoezi ni mazuri. 2022/23 nilipunguza uzito kutoka 99kg mpaka 79kg. Ila baadae nikaona nmepungua sana nikamaintain 83kg.

Kama mnywaji kama sie itakusaidia kupunguza na gambe kidogo.
 
Wakuu am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona Ni vyema niwe Na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi......Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym...naombeni muongozo Nini vya kuzingatia Na nifanye mazoezi ya aina gani
Kamuone Prof. Janabi atakushauri vizuri.
 
Kuimarisha afya ya mwili Na kucontrol uzito
Kama ni hivyo tuu, Zingatia Joggin na Kuruka kamba, Maji yenye chumvi kidogo ni muhimu sana wakati wa hayo mazoezi.
Zingatia;-

Cha kwanza uwe unamuomba Mungu abariki matokeo yawe kama unavyohitaji kutokana na mazoezi yako.

Cha pili mpangilio wa vyakula na muda wa kulala ni vya muhimu sana.

Consistency is a major key, Mazoezi sio kitu rahisi maana yanaenda na mood ya mwili, Unaweza ukafanya week moja usirudie tena ila ukiwa na consistency itakufanya ujilazimishe na kukufanya iwe sehemu ya maisha yako.

Tengeneza ratiba ya week nzima na siku utakazokuwa unahakikisha ni lazima ufanye mazoezi.

Jiwekee muda wa masaa au dakika za kudumu kwenye mazoezi hayo katika siku husika.

Jiwekee idadi ya sets za kila zoezi na uhakikishe unakuwa unatimiza hesabu unazojiwekea.
 
Kwa Nini ufanyie mazoezi nyumbani!?
Utakuwa unajihurumia sana mi nashauri zoezi zuri la kuanza nalo ni kutembea angalau 1hr Kila siku inakuwa casual walk but with purpose
Mahitaji
1.Raba zenye soli kubwa(Nike)
2.track suit ndefu.
3.Skin tight
4.Jacket itakuwa poa
5.Kofia nzuri kwa ajili ya jua.
6.Kibegi( rasket)
7.Chupa ya maji safi.
8.Saa ya mkononi
9.Usivae earphone
10.Uelekeo (hapa lazima uchague maeneo rafiki ya kutembelea eg uwanjani au unaweka target kama kuifikia shule ,hospital,Bomba la maji,soko n.k)
11.Usipende sana kutembea kando ya barabara though kwa Dar ni ngumu kuepuka.
 
Shukran Mkuu
 
Ni pm hapa tuwe tunafanya wote pamoja kwa video call . Tunaamshana muda wa kufanya , kila set ya tizi ni ngapi tunafanya mwenyewe nafanyiaga home. Sema Kuna Ile kampani inatoa amshamasha kidogo
 
Back
Top Bottom