Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

Mazoezi ni kampani kivyovyote vile ili uone matokeo lazima ukajumuike na wenzio gym
 
Mazoezi yanahitaji kujitoa sana...kufanya mwenyewe nyumbani ingewezekana kama ungekuwa umefikia kiwango cha kuweza kujisimamimia mwenyewe na kuyafahamu mazoezi yenyewe.
Kwa kuanza tena wewe mwenyewe ni UONGO utaishia kuyafanya kwa maneno hapa hapa JF.
Sijakuvunja moyo nimekuambia ukweli..uchawa siuwezi.
 
Kama hauna namna kabisa unataka kufanyia nyumbani, kuruka kamba itakusaidia..ukiweza kuskip kuanzia 1,000 na kuendelea kwa siku utakuwa pazuri. Ongezea na 'fast walk at home' videos utazipata YouTube zipo nyingi tu za 30minutes hadi 1hour.

Usisahau kuwa na kiasi kwenye kula. All the best
 
Back
Top Bottom