BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
nalog off
Habari zenu waheshimiwa,nimeamua kumrudisha mke wangu kwao.
Sababu kuu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba mie ni mtu wa wanawake wengi nje,kula nyumbani ni kwa mbinde kulala nako kwa week naweza nikalala nyumbani mara moja na yeye kutonifanya chochote,namuonea huruma huyu binti wa watu,nataka nimrudishe kwao naona kama nambania kwa kuwa nami bora nimrudishe kwao anaweza akapata mume muadilifu atakayefanana naye tabia.
Ila mpaka sasa sijamwambia kitu,nataka jumapili hii nimwambie twende kwao tukawatembelee wazazi na ndio hapo nitakapolilipua hili bomu.Nalog off
Hapana bi dada sijafuata maneno ya Shangazi ila mie namuonea huruma huyu binti wa watu kwa kweli,naomba unisamehe kama nimekukera Sweet lady,mie naona kama vile namzibia rizki na pia naogopa nisije nikamwambukiza nami nikiambukizwa huko nje ninakokwenda.Nalog off
story zako ni za uwongo
Vp mbona unaguna? Nalog offMh!Washawasha bwana!
Ndio mkuu bado yupo single. Nalog offYule dada wa jirani pale bado yupo na bado yuko single?
Usihofu mkuu ujue huyu ninakaa naye nyumba,nikisema niombe mzigo atakuja kunisumbua siku za usoni,kwahiyo huyu bi dada sintomgusa. Nalog offhongera sana kwa uamuzi huo mkuu. mwanaume lazima uwe na roho ya kaba, na ktk hili umeonyesha uanaume wako. wasiwasi wangu ni huyo uliyemfulia chupi ataishia kukukamata jumla jumla!
Yashakuwa hayo tena mkuu? Ila binafsi sina uwezo wa kukuaminisha. Nalog offhuyu jamaa ni mwongo sana, story yake ya chupi nayo ilikuwa uwongo tu
Sikubishii kwasababu ya Kisukari chako,we endelea tu kuamini hivyo. Nalog offstory zako ni za uwongo
Mie bado niko bomba sijaukwaa. Nalog offkwenye rangi hapo siilikuwa jana tu mmeshauriwa au wewe haikuhusu..:target:
hajaniambia kama anachukizwa ila mie naona bora nimrudishe tu wajanja wasiwe wanamega kisela.Nalog offkwani mkeo amekuambia kwmba anachukizwa na tabia zako.. kama kashazoea hiyo taabu ... kwanin umrudishe?
aisee ni vingi mno,ila kwa imani ya dini yangu sitakiwi kumfanyia hivyo mke wangu wa ndoa.Nalog offkwani hao mabinti unaopiga nje naniliuu zao zina Gold...?? fafanua wapata nin nje ambacho mkeo hana
mie nimeliwaza sana hilo suala na ndio maana nimeona bora nimtie chaka tu,maana isiwe small hausi anajimegea kisela,kwahiyo kama wanapendana basi wataoana mie siwezi kuubeba msalaba wa wengine.Nalog offKumrudisha kwao ndo kumuonea sasa! Unadhani ile small house yake atakua anonana nayo vipi? Manake kwao babake atakuwepo kila siku, kwako ukiwepo hiyo siku moja kwa wiki unamkera kera tu anavumilia anajua kesho haurudi? Unadhani yeye hana akili kubaki hapo na visa unavyomfanyia!? Unanchekesha(FF, 2011)