Namrudisha Mke wangu kwao

dah mwana! Kwa staili hii lazima ukute friend zako wakila makombo yako kila kiwanja utakachoibuka,
siamini haya ila kama ni hivi nakushauri ukae chini ujiulize hasa nini shida yako mpaka utafne kwa fujo kiasi hicho,
zaidi tulia kaka ulenge mmoja utakayeridhika naye utulie,
nimejipa miaka miwili ya kufanya vurugu halafu ndio nitulie.Nalog off
 
Mlete kwangu nikae nae mimi kukupunguzia mzigo,
Kwa tabia ulizoziaja nahisi tunaendana sana!!
Nimfuate lini sasa, na wapi???
acha kupenda vya dezo,mie nakwenda kumwacha na wewe upeleke mahali ili umuoe,nitamrudisha kwao Pemba.Nalog off
 
unastahili pongezi! wengine maamuzi hayo magumu hawayawezi, wanapenda kula nje na kutesa ndani,utoe na talaka kabisa ok
nashukuru mkuu kwa pongezi zako maamuzi magumu ndio yanayotakiwa:poa,nitampa talaka mbili.Nalog off
 
Habari yako Washawasha.... Nalog out!
Sub hana llah,bi dada mbona mie nimeshafanya tatu yako baada ya kusikia msiba wako uliotangazwa hapa JF!,haya imekuwaje tena bado upo? Nalog off
 
nakushauri ivi wakati unamrudisha, unda kamati ya maandaliz, na uhalike wa2 km ulivyowahalika kwny harusi then ndo uwaambie raia kwamba huzitaki mbichi iz! na michango ye2 u2rudshie! mxinifanye nsiwachangie ata wema watakaonipa kadi!
endelea kutoa michango yako bila chenga,mie nisikukatishe tamaa katika hilo,sintomrudisha kwa sherehe ila mpunga watu watakula.Nalog off
 
Nyumba yenyewe ya kupanga huo "mpunga" wa nguvu uutoe wapi? Unanchekesha, au upo NHC na huku una nyumba nyingine umewekeza?
Nina nyumba 3 za urithi ila kutokana na mambo ya kishirikina siwezi kukaa ktk nyumba hizi mie napokea kodi tu halafu na mie nimeenda kupanga,nina mpango wa kumpa Tsh 1,000,000/= au ni ndogo hiyo fedhwa?
 
1.Nahisi kama MUNGU wako ni tofauti na wengine au na mkeo.2, Ulimuoa kwa ndoa au alijiuza kwako? 3. Una unafananaje na avator yako? 4. Huyo shangazi yako ana sura nzuri sana mpaka amwite mkeo bundi.

Wewe na shangazio kama hambadilishi hayo maneno yenu ya kifedhuri,5. nakuapia utakuja humu na neno la kumtafuta mkeo na hutamuona wenye sura za bundi watakuwa wamemchukua hapa ndiyo ukurasa wa maisha yako utakuwa umefunguka ki umaskini.

Usicheze na MUNGU wewe.
1,Mungu wa manyani ndio Mungu wangu.
2,Halafu huyu mke wangu nilimuoa kwa fedha za michango kama wanavyooa watu wengine.
3.Kuhusu mimi kufanana na avatar yangu tofauti zetu ni kwenye hiyo helmet ya tikitimaji na mimi nina mustachi tofauti na hiyo avatar lakini vilivyobakia vyote tunafanana.
4.Shangazi yangu ni bomba kuliko maelezo.
5.ukarasa mpya utaanza kesho nitakapomrudisha kwao huyu my wife wangu.Nalog off
 
Ongea nae kwanza. Maybe anampenzi wake na yeye, anakuja kulala wewe ukiwa haupo. Sasa ukimpeleka kwa wazazi utakua umemkosea sababu hawataweza kuonana kwa muda (she will have to pretend kwanza kabla hajam-introduce). kwa hiyo we ongea nae tu, kama vipi umpeleke kwa boyfriend wake...
Kha! :A S embarassed:,mie mbona sikuletewa itakuwaje nimpelekee mtu K? kama wanapendana watatafutana wenyewe,mie mchanga wa pwani huo.Nalog off
 
Sasa ww ushasema mutu ya wanawake mingi, na hurudi home. Ukija nashati yamefuliwa unaenda zako tena. Unahangaika nae wa nn mtoto wa watu? Muache ajilie vyake,si unafaidi nje banaa! Acha hasira za joka la mdimu, ndimu hutaki na wenzio hutaki wazichume!
mie nimeliwaza sana hilo suala na ndio maana nimeona bora nimtie chaka tu,maana isiwe small hausi anajimegea kisela,kwahiyo kama wanapendana basi wataoana mie siwezi kuubeba msalaba wa wengine.Nalog off
 
Sasa ww ushasema mutu ya wanawake mingi, na hurudi home. Ukija nashati yamefuliwa unaenda zako tena. Unahangaika nae wa nn mtoto wa watu? Muache ajilie vyake,si unafaidi nje banaa! Acha hasira za joka la mdimu, ndimu hutaki na wenzio hutaki wazichume!
mie namwacha ili awe huru zaidi na yeye afurahie maisha yake.Nalog off
 
Kabla hujamrudisha kwao, nenda mkapime afya zenu maana kwa tabia yako hiyo labda tayari umekwisha kumwambukiza gonjwa na unakwepa wajibu wako wa kumuuguza.
 
Back
Top Bottom