Namrudisha Mke wangu kwao

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,076
Habari zenu waheshimiwa,nimeamua kumrudisha mke wangu kwao.
Sababu kuu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba mie ni mtu wa wanawake wengi nje,kula nyumbani ni kwa mbinde kulala nako kwa week naweza nikalala nyumbani mara moja na yeye kutonifanya chochote,namuonea huruma huyu binti wa watu,nataka nimrudishe kwao naona kama nambania kwa kuwa nami bora nimrudishe kwao anaweza akapata mume muadilifu atakayefanana naye tabia.
Ila mpaka sasa sijamwambia kitu,nataka jumapili hii nimwambie twende kwao tukawatembelee wazazi na ndio hapo nitakapolilipua hili bomu.Nalog off
 
washawasha una dhambi wewe! Khaaa, yaan umenkera sio siri...au ndio umefuata maneno ya shangazio kuwa mkeo ana sura mbaya kama bundi?

Hapana bi dada sijafuata maneno ya Shangazi ila mie namuonea huruma huyu binti wa watu kwa kweli,naomba unisamehe kama nimekukera Sweet lady,mie naona kama vile namzibia rizki na pia naogopa nisije nikamwambukiza nami nikiambukizwa huko nje ninakokwenda.Nalog off
 
Sasa kwa nini unaenda huko nje wakati mke unae?
 
kulikuwa na jamaa fulani akizunguka huko akipewa gono anamrudisha mkewe nyumbani...akihakikisha amepona anamrudia basi shughuli
 
kwanza alikufuma unafua chupi ya jirani,then shangazi akamfananisha na bundi.leo unakuja na story ya kumrudisha kwao kwa sababu unamuonea huruma...mmmhhh nalog off
Ni kweli aisee kama nilivyoeleza hapo juu,sasa hivi na mie nimeanza kuwa na roho ya utu,kwahiyo naona bora akapumzike binti wa watu.Nalog off
 
Umeamua uamuzi wa busara; kuliko kumletea magonjwa bora umrudishe akiwa mzima wa afya. Na ni kweli, anastahili mume bora zaidi!

umeona eh! bora nilivyofanya hivi aisee :poa.Nalog off
 
Afu washawasha mi napenda swagger zako hasa hiyo kofia na "na logg off"

Tukirudi kwenye topic; sasa washawasha unataka tukupe michango umsindikize mamaa na matarumbeta kama ulivyomchukua au ...?

Hapana bi dada sijafuata maneno ya Shangazi ila mie namuonea huruma huyu binti wa watu kwa kweli,naomba unisamehe kama nimekukera Sweet lady,mie naona kama vile namzibia rizki na pia naogopa nisije nikamwambukiza nami nikiambukizwa huko nje ninakokwenda.Nalog off
 
kulikuwa na jamaa fulani akizunguka huko akipewa gono anamrudisha mkewe nyumbani...akihakikisha amepona anamrudia basi shughuli

mie sitaki hayo yanitokee kwa kweli ndio maana naona bora nimrudishe tu aisee.Nalog off
 
Afu washawasha mi napenda swagger zako hasa hiyo kofia na "na logg off"

Tukirudi kwenye topic; sasa washawasha unataka tukupe michango umsindikize mamaa na matarumbeta kama ulivyomchukua au ...?

Nashukuru mkuu kwa kunipa moyo.
Kuhusu mchango kama unao hutokosea sana ukinipa unaweza ukanisaidia kuwaambia waandae bonge la jogoo kwa ajili yangu tu siku hiyo ikifika ili tuachane kwa furaha.Nalog off
 
Ukweli umalaya unasafari ndefu kuisha, ama utamalizwa pale ukimwi utakapo hitimisha kazi.
Fungua sana Zip, utakapoanza kuharisha jumlajumla usumbue ndugu zako na sio huyo dada wa watu
 
Kama hapo mnapokaa ni nyumba yenu na si ya kupanga, ilikuwa uondoke wewe na umwache yeye hapo.

ni kweli kabisa bi dada ila kwasababu ni nyumba ya kupanga sintomwacha hivi hivi bila ya kumpa chochote bali nitampa mpunga wa nguvu ili aanze maisha mapya.Nalog off
 
Ukweli umalaya unasafari ndefu kuisha, ama utamalizwa pale ukimwi utakapo hitimisha kazi.
Fungua sana Zip, utakapoanza kuharisha jumlajumla usumbue ndugu zako na sio huyo dada wa watu

na ndio maana nikachukua uamuzi huu.Nalog off
 
Back
Top Bottom