Namrudisha Mke wangu kwao

Habari zenu waheshimiwa,nimeamua kumrudisha mke wangu kwao.
Sababu kuu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba mie ni mtu wa wanawake wengi nje,kula nyumbani ni kwa mbinde kulala nako kwa week naweza nikalala nyumbani mara moja na yeye kutonifanya chochote,namuonea huruma huyu binti wa watu,nataka nimrudishe kwao naona kama nambania kwa kuwa nami bora nimrudishe kwao anaweza akapata mume muadilifu atakayefanana naye tabia.
Ila mpaka sasa sijamwambia kitu,nataka jumapili hii nimwambie twende kwao tukawatembelee wazazi na ndio hapo nitakapolilipua hili bomu.Nalog off
Tatizo la washawasha anawashwa saaaaaaanaaa, ndo mana ana wanawake wasio na idadi. Afu washax2 kama kweli umeamua kumrudisha mkeo, sasa sikushauri nini?Me nilikwambia uyo shangazi yako uyo sio shangazi bali ni shanga hizi!!
 
Back
Top Bottom