Natamani kumuuliza mume wa mchepuko wangu alitumia mbinu gani kufanya mke wake atulie ili nami mke wangu atulie

mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,019
1,945
Habari wa JF natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa .

Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani, sasa siku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza simu. Nilipofika pale wakati tuaendelea na mazungumzo akaja mdada fulani hivi yule mdada alikuwa anafahamiana na huju jamaa yangu na shida ya yule mdada ilikuwa ni kurekebisha setting ya simu yake tu. Jamaa baada ya kumrekebishia akaniambia mimi nimpigie maana yeye simu yake haikuwa hewani kwa muda ule, nikachukua namba za mdada nikapiga akaona tatizo limekwisha akaondoka nami baada ya muda nikaondoka zangu.

Usiku nataka kulala nikaikuta ile namba sasa nikawa nishasahau itabidi nimpigie akanikumbusha nani nikakumbuka nikamwambia kama hivyo nitabaki na namba yako tuweze kusalimiana nk. Tukawa tunasalimiana na mambo mengi lkn hatukuwai kukutana japo tulikuwa mji mmoja na alipokuwa anaishi na mimi ulikuwa hata kwa mguu unakwenda maana aliniambia mtaa anapokaa, Baadae akahamishwa kikazi na baadae akaolewa na kuamia mkoa wa mbali zaid lkn tukawa bado tunawasiliana kama kawa akapata mtoto wa kwanza akapata mtoto wa pili, nami nikaama ktk ule mji nikahamia Dar.

Siku moja ktk mazungumzo yetu nikamuulizia vipi ndoa yako akasema yaani inamsumbua sana tena sana na amechoka na hiyo ndoa anatamani hata arudi kwao mama yake ndio anamwambia avumilie mwisho wa siku nikamwambia anitumie picha yake aiseee kumbe ni kitu cha mjerumani mwanamke mzuri sijawahi ona mwembamba kiasi hata tako lkn ana macho ya goroli shingo kama twiga licha ya kwamba ana watoto 2 bado ziwa konzi hapo itabidi nami nimwambie kuhusu changamoto ya ndoa yangu ya kwamba imekalia kuti kavu muda wowote inaweza vunjika, basi tukafarijiana paleee nakumbuka ilikuwa mwezi wa 11 na aliniambia Desember anakuja Dar.

Ilipofika dasember akaja dar nakumbuka nilimfuta paleee Kigogo Landa Bar tukaenda ktk zahanati fulani kucheki afya baada ya hapo ilikuwa ni full mahaba nilifurahi sana yaani nilinenepa kihisia tulikula raha mwezi mzima akiwa Dar leo tumekwenda kule kesho tupo kule ni full kubanjuana tu muda ulipokwisha akarudi kwao kuendeleza ndoa yake. Mumewe ni mfanya biashara na anaweza safiri hata mwezi na anaweza kukaa nyumbani hata mwezi pia sasa mumewe ni mpenzi wa kuangalia tamthili anaweza lala saa 7 usiku , mwanamke akimaliza kula anaenda kulala, Siku moja wakati wanafanya yao ktk ya raha mwanamke akataja jina langu mumewe alimuuliza baada baada ya kupanda mlima Kilimanjaro

Mwanamke akienda kulala huwa yupo whatsapp anachati sasa kuna muda huwa anacheka si unajua mambo ya kwenye simu, mumewe yupo sebuleni anangalia tamthilia sasa mumewe anajua anachekwa yeye akiingia kulala anakagua sana simu ya mkewe, mwammke akitoka kazini akiweka simu mezani jamaa anachukua na kuanza kukagua hali hii ilimchosha sana mwanamke, siku moja jamaa akawa anataka kusafiri kibiashara kama kawaida yake, mwanamke ktk kupanga nguo za mumewe akamuwekea na simu yake jamaa bila kujua akaondoka huku ndani ya beg kukiwa na simu ya mkewe, alipofika jamaa itabidi ampigie simu mkewe nimefika cha ajabu simu inaita ndani ya begi jamaa kufungua nakuta simu ya mkewe itabidi apigige simu nyumbani kwa kaka yake ambapo sio mbali sana na kwao mwanamke akapelekewa simu jamaa kumuuliza mkewe mbona simu yako ipo ktk begi langu akajibiwa nilikuwa nakuona jinsi ulivyokuwa unaishika simu yangu nimeamua kukuwekea ili uitumie maana nahisi bado unamatumizi nayo, jamaa akawa hana jibu akakaa na simu kulee mpaka aliporudi sasa kipindi hiki hakusema kwangu kama hayupo karibu na simu mimi nikawa napiga hapokei natuma sms za kawaida hajibu natuma sms whatsap kimyaa mpaka mumewe aliporudi ndio akaniambia kila kitu, nilikuwa mkali sana nikamwambia mumeo atakuwa amesoma sms zangu, akasema ndio akome.

Sasa baaada ya tukio hili siku zinavyozidi kwenda yule mwanamke amepunguza mawasiliano na mimi kabisaa yaani mpaka sasa amekuja Dar kama mara 3 na wala hajanitafuta na mumewe hakumfanya jambo lolote lile.

Ile ndoa yangu mimi ilivunjika na nikabahatika kuowa mwanamke mwingine ila sasa huyu mwanamke ana mdomo sana, jumatatu nilitoka home saa 11 asubui na sio kawaida yangu kutoka muda huo, nikamwambia leo siendi lazini nitarudi hapa muda sio mrefu, mimi sikurudi ilipofika saa tisa akapiga simu nikamwambia niliamua kwenda kazini baada ya kufeli kile nilichofuata asubuhi, nilirudi nyumbani kama saa 5 usiku mwanamke anakasema sana juu ya hili, jambo, jumanne nilirudi home saaa 4 usiku manamke akasema sana kwa sabababu nguo nilizobadilisha nimewela kwenye enga baada ya kwenye kapu la nguo chafu ilihali nikitambua nguo hizo ni chafu na mengine mengi, kilichonileta hapa nataka nimwambie ule mchepuko wangu wa mbali aniunganishe na mumewe nimuulize alitumia njia gani kufanya nyumba yake akarejea amani mke akatulia na mpaka sasa wameongeza falimia, je nitakuwa sahihi kufanya hivyo?

Hii nimesimuliwa na rafiki yangu wa karibu nami nimeamua kuileta huku kupata ushauli zaid, mawazo yenu wajumbe tafadhali
 
Kaa nae, mzungumze, umwambie bado unampenda na unataka kurekebisha kila ambacho hakiko sawa.Muonyeshe kwamba unapenda, the one and only, muheshimu, mpe mahaba, mjali, m contact mara kwa mara( ukiwa kazini). Muwe mnatoka out pamoja.
 
Habari wa Jf natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa .

Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani ,sasa cku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza cm. Nilipofika pale wkt tuaendelea na mazungumzo akaja mdada fulani hivi yule mdada alikuwa anafahamiana na huju jamaa yangu na shida ya yule
Utakuwa unakosea maana huyo mwanamke wala hajatulia sema kapata mwanamume mwingine wa kumbandua akakupiga chini wewe, kwa hiyo mume wake bado anapigiwa kama kawaida.
 
Habari wa Jf natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa .
Akikwambia mwachie mkeo simu akae nayo ndani ya mwezi mzima utaweza? au ndo utakuwa huyu
FB_IMG_16453822795926911.jpg
 
Aliyeelewa atupe summary tafadhali.
Mtoa mada kaandika speed speed sana

Ila kaeleweka Kia's chake Japokua USHAUR anaoutaka nahsi hauna mantiki,kutokana na maelezo yake mwnyw.

Vinginevyo atwambie kayachoka Malinda yake
 
Back
Top Bottom