Neva...!
Atazitumia apendavyo ila kwa maelekezo yangu.
LOVE is acceptable but OBSESSION is a madness with no cure. Humuonei huruma bali you are obsessed.
Alikuwa na kazi yake nzuri.
Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu.
Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna majamaa kibao. Sikuwa na imani.
Nimemwachisha kazi sasa amepumzika nyumbani, nikirudi namkuta. Ndio furaha yangu.
Its ril gud to b positive-minded ila isizidi sana kiasi cha kuwa care-free haswa katika mambo kama haya, najua kwa sasa hautanielewa bz u a obsesed..Kwa nini mnapenda kufikiria mambo katika negative side? Always be positive.
Naona mnamlaumu na kumshtumu jaama,mwenyewe niko mbioni kumwachisha wa kwangu kazi!msicheze na hisia na mioyo ya watu.
Alikuwa na kazi yake nzuri.
Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu.
Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna majamaa kibao. Sikuwa na imani.
Nimemwachisha kazi sasa amepumzika nyumbani, nikirudi namkuta. Ndio furaha yangu.
Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna majamaa kibao. Sikuwa na imani.
Nimemwachisha kazi sasa amepumzika nyumbani.
tatizo lako ni kutokujiamini tu, unajiona wa thamani ya chini ukijilinganisha na wanaume wengine
Mkuu, hilo jambo hata sikuungi mkono. Kwanini umwachishe kazi mwenzio, Je umemwandaaje kwa maisha ya badae? hatuombei mabaya, ghafla Muumba amuue kukurudisha kwake, mwenzio utamwacha anaendeshaje maisha yake? fikiria uamuzi wako tena
..hata kwako tutamjia tu na utamu tutaufaidi,mara watu wa hisia kali dizaini yako wengi wenu mlichelewa sana kujihusisha na mambo ya kimapenzi na mahusiano ndo mawivu hadi kwenye kucha..
Its ril gud to b positive-minded ila isizidi sana kiasi cha kuwa care-free haswa katika mambo kama haya, najua kwa sasa hautanielewa bz u a obsesed..
Mkuu sidhani kama suala la kumuachiza lilikuwa ni jambo la busara sana especially kama yeye mwenyewe hajaridhia. Natambua wivu ni kitu cha kawaida katika mahusiano especially kama unmpenda kwa dhati lakini wivu ukipitiliza mipaka unaweza ukaleta madhara kama hayo ya kumuchisha mke wako kazi. Embu jiulize swali hili kama mke wako angekuambia uache kazi halafu ukae nyumbani ungejisikiaje?? ungekubali??
kwani hapo nyumbani unashinda nae???unaamini vip kumuacha peke yake mchana kutwa.heheheheheh.... pole sana
Bado SIWEZI na wewe HUWEZI.
Siku yakikukuta hurudi hapa hapa ili kutu uptodate.
Hongera kwa kufanikiwa kumwachisha kazi
Na kutujuza kuwa ni wa kiwango hicho hadi kuhofia mijanaume ya ofisini kwake
Sasa basi, lini tuje kumzindua kama albam ya diamond?
wewe mwenyewe utatuletea feedback hapahapa.
Halafu nie ndio mnaowasabishiaga wake zenu matatizo, nw ndg zako wanajua mkeo hafanyi kazi, siku ukifa mkeo ananyanganywa kila kitu na nduguzo, saa hii unajifanya unampenda, unampenda unamuandalia matatizo.
Hebu mie nijiindee zangu home