USHAURI: Vipimo vya UKIMWI kupitia mdomo vinaonesha mmoja wetu ameathirika, sasa hataki tena kunipa unyumba

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja.

Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa pakiti kumi kama zawadi tu nikawa nimezitunza ndani.

Mimi huwa sina tabia za umalaya malaya halafu najiamini sana, ila sasa mwenzangu ndio nilikuwa simuamini sana kulingana na urembo wake na hata aina ya style yake ya maisha. Tukiwa katika utani kitandani tukaamua kupima, mimi ndio nilikuwa namlazimisha yeye japokuwa alikuwa hataki.

Ile tumepima tu tunasubiria majibu mimi nikatoka kwenda chumba cha watoto, dakika kumi nimerudi namkuta analia na ameshikilia vipimo vyote viwili anasema wewe umeathirika, kuangalia kipimo kimoja kinaonyesha positive na kingine negative, mimi nikawa sijui kipi ndio changu ila yeye amekomaa kwamba kile chenye ngoma ni changu.

Nikamuuliza kwa nini umevichanganya na hatukuviwekea alama? Ameweka msimamo kwamba mimi ndio muathirika, nimemuomba twende hospitali hataki, turudie kupima hataki, kunipa mapenzi hataki, muda wote anashinda amelala na hana amani kabisa, mimi najikuta mwenye furaha kama hakuna kilichotokea.

Kinachonipa tabu ni kunyimwa unyumba miezi mitatu na sijui nifanyeje!
 
Endelea kuongea nae tena na tena...sasa wewe mume bora maana kama unaenda nje na condom wewe ni bora....mpe muda ila watch her out wajinga hulipa kisasi kibaya...ataenda kuliwa hadi Tigo atahama nyumba kbs.....ongea nae makini akuelewe....plus stua kidogo....kuwa with time utaondoka abaki alone....maana haelewiii
 
Nampenda sana mke wangu inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke ! Nimezaa naye mtoto mmoja ,miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana ,mimi nilikuja na vipimo vya hiv vile vya kuweka mdomoni kuna jamaa yangu ni doctor alinipa tu kama zawadi ,pakiti kumi,nikawa nimezitunza ndani na mimi sinaga tabia za umalaya malaya alafu najiamini sana ,ila sasa mwenzangu ndio nilikuwa simuamini sana kulingana na urembo wangu na hata aina ya style yake ya maisha ,tukiwa katika utani kitandani tukaamua kupima ,mimi ndio nilikuwa namlazimisha yeye japokuwa alikuwa hataki, ile tumepima tu tunasubiria majibu mimi nikatoka kwenda chumba cha watoto,dakika kumi nimeludi namkuta analia na ameshikilia vipimo vyote viwili anasema wewe umeathirika ,kuangalia kipimo kimoja kinaonyesha positive na kingine negative,mimi nikawa sijui kipi ndio changu ila yeye amekomaa kwamba kile chenye ngoma ni changu ,nikamuuliza kwa nini umevichanganya na hatukuviwekea alama? Ameweka msimamo kwamba mm ndio muathirika ,nimemuomba twende hospitali hataki ,turudie kupima hataki ,kunipa mapenzi hataki ,muda wote anashinda amelala na hana amani kabisa ,mimi najikuta mwenye furaha kama hakuna kilichotokea, kinachonipa tabu ni kunyimwa unyunyu ,miezi mitatu na sijui nifanyeje!
Kama uliyo elezea ni ukweli basiii kuna walakini huyu dada ndio kaungua chakufanya nenda ww peke yako hospital kapime ukikuta negative rudia three times different hospitals then njoo muoneshe majibu halafu weka msimamo kiume lazima na yeye apime tena hospital kabisaaa
 
Umeshasahau kuwa ulipewa vipimo pakti 10 na umetumia vipimo viwili bado una vipimo vingine vya kujitest

Kabla hujaleta mada za kufikirika jitahidi uongo wako uendane na ukweli, usikute na wewe huwa unawakosoa bongo movie jini akiwa anavuka barabara
 
Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja.

Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa pakiti kumi kama zawadi tu nikawa nimezitunza ndani.

Mimi huwa sina tabia za umalaya malaya halafu najiamini sana, ila sasa mwenzangu ndio nilikuwa simuamini sana kulingana na urembo wake na hata aina ya style yake ya maisha. Tukiwa katika utani kitandani tukaamua kupima, mimi ndio nilikuwa namlazimisha yeye japokuwa alikuwa hataki.

Ile tumepima tu tunasubiria majibu mimi nikatoka kwenda chumba cha watoto, dakika kumi nimerudi namkuta analia na ameshikilia vipimo vyote viwili anasema wewe umeathirika, kuangalia kipimo kimoja kinaonyesha positive na kingine negative, mimi nikawa sijui kipi ndio changu ila yeye amekomaa kwamba kile chenye ngoma ni changu.

Nikamuuliza kwa nini umevichanganya na hatukuviwekea alama? Ameweka msimamo kwamba mimi ndio muathirika, nimemuomba twende hospitali hataki, turudie kupima hataki, kunipa mapenzi hataki, muda wote anashinda amelala na hana amani kabisa, mimi najikuta mwenye furaha kama hakuna kilichotokea.

Kinachonipa tabu ni kunyimwa unyumba miezi mitatu na sijui nifanyeje!
Hii story ya ovyo kwa hiyo umeshindwa kupima tena wewe au kwenda hospital na kwann umeridhika sasa ?
 
Hivyo vipimo vya mdomoni sio vya kuamini sana, nliwahi kupima mwaka jana kikaonesha Positive nkachanganyikiwa kwakuwa nlikuwa navyo vinne nkarudia kikaonesha negative. Nkaenda Hospital sas kutumia cha Damu kikaonesha Negative pia. Vina errors japo sometimes kikionesha Positive ujue ni kweli, it's better kurudia.
 
Asante.

kermit.gif

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja.

Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa pakiti kumi kama zawadi tu nikawa nimezitunza ndani.

Mimi huwa sina tabia za umalaya malaya halafu najiamini sana, ila sasa mwenzangu ndio nilikuwa simuamini sana kulingana na urembo wake na hata aina ya style yake ya maisha. Tukiwa katika utani kitandani tukaamua kupima, mimi ndio nilikuwa namlazimisha yeye japokuwa alikuwa hataki.

Ile tumepima tu tunasubiria majibu mimi nikatoka kwenda chumba cha watoto, dakika kumi nimerudi namkuta analia na ameshikilia vipimo vyote viwili anasema wewe umeathirika, kuangalia kipimo kimoja kinaonyesha positive na kingine negative, mimi nikawa sijui kipi ndio changu ila yeye amekomaa kwamba kile chenye ngoma ni changu.

Nikamuuliza kwa nini umevichanganya na hatukuviwekea alama? Ameweka msimamo kwamba mimi ndio muathirika, nimemuomba twende hospitali hataki, turudie kupima hataki, kunipa mapenzi hataki, muda wote anashinda amelala na hana amani kabisa, mimi najikuta mwenye furaha kama hakuna kilichotokea.

Kinachonipa tabu ni kunyimwa unyumba miezi mitatu na sijui nifanyeje!
Wewe ni mpuuzi sana
 
Back
Top Bottom