Nampenda sana, sipendi afanye kazi.

Kosa kubwa sana umefanya, umemweka home?

Je anajua kama wewe una hizo insecurities? pomba mkeo asijue kama hujiamini siku akijua tu ujue watu wanaanza kukusaidia wanakula tunda lako hivi hivi utakuja kulia lia hapa MMU
 
Haya baba, siku unataka mke wa pili unistue nikuelekeze kwa mzazi wangu ukamalizane nae kabisaa nije mie kuangalia tv nyumbani kwako. Dstv unalipia premium eeh?
King'asti hata kama ungekuwa ni wewe ungekubaliana tu. Hakuna ubabe uliotumika bali ni compromise ya pande zote mbili. Tena ana-enjoy sana tu.
 
Kosa kubwa sana umefanya, umemweka home?

Je anajua kama wewe una hizo insecurities? pomba mkeo asijue kama hujiamini siku akijua tu ujue watu wanaanza kukusaidia wanakula tunda lako hivi hivi utakuja kulia lia hapa MMU

Atakayekula basi ujue na yeye analiwa.
 
Alikuwa na kazi yake nzuri.
Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu.

Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna majamaa kibao. Sikuwa na imani.
Nimemwachisha kazi sasa amepumzika nyumbani, nikirudi namkuta. Ndio furaha yangu.

we kweli bado unamambo ya kizamani, hebu jiamini wanaume kama nyie msiojiamini ndo huwa mnapigiwa kazi zenu, sasa subiri watu watakupigia hapohapo kwako ndo utaona kwamba huwezi mchunga mwanamke...acha mambo ya kizamani
 
Atakayepiga naye atapigwa
 
Back
Top Bottom