Nampenda sana, sipendi afanye kazi.

Alikuwa na kazi yake nzuri.
Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu.

Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna majamaa kibao. Sikuwa na imani.
Nimemwachisha kazi sasa amepumzika nyumbani, nikirudi namkuta. Ndio furaha yangu.

Halafu akianza kukutumia text 24/7 useme anakuna na hakupi space. Tena come to think of it, umempa good 6-9 free hrs ambazo aweza zitumia apendavyo!
 
Kuna wivu na wivu mkuu
Sio kila wivu unaousema wewe ni wa maana
Mwingine haufaai
Maana kiwango cha kumchunga mkeo unachotumia ungekitumia kuzalisha ungekuwa mbali sana
Kama unampenda shinda nae nyumbani kutwa, sokoni nenda nae, Kanisani/msikitini nenda nae, salon nenda naye na hata kokote anakotaka we nenda nae usimwachie nukta ya kusogeza mguu bila wewe hapo utasema kweli umelinda
Ila hiyo ya kwamba anashinda mchana nyumbani na anaenda sokoni na kwingine akiamua kukucheat atafanya tuu
Kumbuka kwa mwanaume hahitaji siku nzima kukaa na mkeo mpe dakika kumi tuu ashamaliza mambo yake na mkeo hata kama ni washroom

Ananipenda na kuniheshimu sana hawezi kufanya hiyo kitu.
 
Huna lolote mitishamba tu wewe! Ungekuwa unajiamini ungemuachisha kazi? Na umemkuta haswaa!

King'asti hata kama ungekuwa ni wewe ungekubaliana tu. Hakuna ubabe uliotumika bali ni compromise ya pande zote mbili. Tena ana-enjoy sana tu.
 
wivu ninao but not to this extent......hata home atatafunwa tu kma ni kicheche
 
Majamaa yakitaka na kutakwa hata kitandani kwako yatalala na chakula chako yatakula.
Ila we Lizzy ni kiboko. Mwabalishe huyo,kuna jamaa aligongewa mke wake huku akishuhudia pasipo kujua nini kinaendelea,mpaka baada ya game kuisha yule mke akamwambia nini kilikuwa kinaendelea pale,jamaa aliapa kutomchunga mkewe.
 
Kalaghabaho
Wakati wewe unajua huku wenzako washajua kule
Eti msichana wa kazi na majirani
Duh mkuu funguka macho na masikio sikia la kuambiwa
Ni majirani haop hao watakaokuw awanashinda kwako na house gal huyo huyo atakayekuwa anawapikia chakula wale wapendwa mauncle wa mkeo
Yaa wala hakuna tatizo ni vzr kuheshim hisia zake ili awe na aman,tatizo lenu nn? wao walishakubaliana wakafanya maamuz ,so what! hata mie nshamkataza wangu kufanyakaz or biashara,so acha afanye kaz ya kulea watoto taifa la kesho wawe na maadili mema,big up jamaa yangu usirud nyuma
 
Yaa wala hakuna tatizo ni vzr kuheshim hisia zake ili awe na aman,tatizo lenu nn? wao walishakubaliana wakafanya maamuz ,so what! hata mie nshamkataza wangu kufanyakaz or biashara,so acha afanye kaz ya kulea watoto taifa la kesho wawe na maadili mema,big up jamaa yangu usirud nyuma

Nashukuru kwa kuwa pamoja nami.
 
ila ninakushauri usiwe na wivu uliopitiliza ambao hauna maana coz maisha nikusaidiana sasa unapomuachisha kazi ndo solution? alafu kingine mtu mzima achungwagi hata kidogo,na pia inaonekana kuwa ww haujatulia hautaki mamaa ajue njia zako thus y unamwambia akae hom!
 
Back
Top Bottom