Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
Hakika bwana Nnauye Wazee kama Wassira kweli ni grease achana na wacheza pool wanaodhani kuna chama kitawaletea mmsosi badala ya kujituma na kukwamua maisha yao
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!

Nnauye Jr naomba sana please kama uko tayari basi nitumie email yako i have some very important message siyo kwako bali kwa chama kwa ujumla wake. nitumie kwenye pm. kama uko tayari na sipendi nikupm mimi manake waweza usiisome ikawa ni kazi bure.Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Huwa nashangaa hata jambazi likifa kuna watu husikitika na kulia kweli kweli....labda ndiyo kifo cha CCM....Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!