Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

Hakika bwana Nnauye Wazee kama Wassira kweli ni grease achana na wacheza pool wanaodhani kuna chama kitawaletea mmsosi badala ya kujituma na kukwamua maisha yao
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Lakini mkuu mambo kama haya ya kusifiana si CCM huwa ina utamaduni wa kuambiana na kusifiana ndani ya Vikao vya Chama?, sasa huoni kama vile huku umeingia Chaka?
 
Rudi shule ukajifunze stadi za mawasiliano. Cheo chako na maoni unayotoa havifanani. Ungenyamaza ingekuwa bora zaidi. Sasa unahamasisha matusi ili wajue na wewe ni nguli wa mipasho?
 
Achaneni nae huyu mpaka poda,. Mwisho wako kulopoka unaelekea mwisho nape,. Ebu jaribu kujirekebisha kabla hatujaja kukurekebisha,. Hivi hizo kebehi zako hizo unajua vijana wangapi wapo mtaani hawana kazi na washajua adui yao mkubwa ni ccm, na anaendesha upuzi wa ccm ni wewe na watoto wa vizito wengi,. Nape jivunie tu huo ulinzi unaopewa saizi siku watu wakija chafujwa na roho hakuna ulinzi tena zaidi utakimbilia mitaroni pamoja na watu wanaokupa kiburi,.
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Kisayansi bado maelezo hayo hayajajibu maswali ya msingi juu ya kero za wananchi. Vuta subira kabla ya kutoa maoni. Bungeni ni bungeni sio shule, nadhani wana semina zao ndio mahala pekee pa kutoa maelezo mengi. Uwiiiii madaktari wanagoma sjui niende kwa babu loliondo au ningojee nife? Wasira nisaidie
 
Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!

no comment with wasira's speech. ila huwa ninakuhurumia sana kila nikuonapo ukihangaika huku na kule na mikutano yako eti unajaribu 'kufuta nyayo za chadema'! loh! hivi miguu iliyokanyaga chuma/jiwe na kutia alama yaweza futwa kwa chelewa/brash ya choo? nilikwisha kushauri na ninakushauri tena - tafuta njia nyingine ya kutuliza upepo wa chadema (zidisha kuishambulia serikali yako ili ilete maisha bora kwa kila mtanzania).mkifanikiwa hilo, hautahitaji kupita kujidhalilisha kama unavyofanaya sasa. nawasilisha.
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Mkuu Nape,
Mbona unaanza kujihisi kwamba utatukanwa?Kwani ulichoandika ni uzushi?
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Nnauye Jr naomba sana please kama uko tayari basi nitumie email yako i have some very important message siyo kwako bali kwa chama kwa ujumla wake. nitumie kwenye pm. kama uko tayari na sipendi nikupm mimi manake waweza usiisome ikawa ni kazi bure.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa kuzaliwa mwanaume kamili,
nikisema kamili namaanisha ukamilifu.
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Weka mkanda mkuu.
 
Huyu naye anatujazia Srver kwanza ameshindwa kuchanguia JF hata buku 20 tu, kazi kutujazia server aaaahhhggg
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Mkuu Nape wakati mwingine ni vyema kutoa hoja kwa utulivu bila mpasho. Usisumbuliwe sana na wakinzani wako wa aina moja tu (mashabiki). Hao huwezi kuwashawishi kwa namna yoyote ile. Ndio maana wanaitwa mashabiki. Lakini wapo pia wanaopima hoja na kutaka kukupa heshima yako kwa uzito wake. Tatizo ni ukianza na mpasho basi hata mantiki ya hoja inapotea.
 
Nape umeandika thread yako kiufasaha na kiufundi! hongera sana. kutoa tahadhari kuhusu kutukanwa ni jambo la kawaida. uko sahihi kwa sbb hapa wa2 wanataka wasikie ukimsifia mnyika au mbowe.

Nimemshuhudia na kumsikia mwenyewe mzee wassira! siyo siri huyu MZEE NI HAZINA KUBWA YA TAIFA. ni mwalimu na anajua kudadavua mambo kisiasa.

Nawashauri chdm wawe wasikivu na wakubali pale mtu anaposema maneno yenye mantiki kama ya mzee wassira. mnyong mnyongeni lkn haki yke mpeni. CCM SAFARI HII WAMEIGARAGAZA KISHENZI CHADEMA BUNGENI. mbowe, lissu, zitto ulimi nje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! BIG UP CCM!!!!!!!!!!!!
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Sasa nawewe ungeongea nini kama kujisifia na kulala bungeni ngoja kwanza nikuzomee:sad:
 
Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!
Huwa nashangaa hata jambazi likifa kuna watu husikitika na kulia kweli kweli....labda ndiyo kifo cha CCM....
 
images
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom