Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

Nape una safari ndefu sana ya kuwa kiongozi mzalendo na msema kweli. Unafahamu ubaya wa bajeti ya chama chenu lakini mnadanganya umma wa watanzania. Hii ni dalili mbaya kwa kijana kama wewe, ukiwa mnafiki ukiwa kijana, ukiwa mzee utakuwa mchawi.
 
Hichi ndo kitu ulichokiwaza muda wote hou wa bajeti kweli! Kweli ni afadhali kuishiwa fedha sio kuishiwa fikra, haya bana tumewazoea ndo zenu yaleyale ya wakubwa zenu ya arumeru mpaka sasa kama kuna mtuatawashangaa ujue sio mtanzania
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013.

Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!

Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Bwana Nepi Nauye,

Ni bora ukakaa kimya maana huna hoja ya mashiko.Haya Maneno ambayo viongozi wa Chama Cha Magamba-CCM mnapaswa kuambiwa ni: RAIS KIWETE DHAIFU,WASSIRA DHAIFU,NEPI DHAIFU,CCM DHAIFU,BUNGE DHAIFU na SERIKALI DHAIFU!

Kwa kumpongeza Wassira DHAIFU, Waziri anayelala karibu 80% ya vikao vyote umeonyesha ukomavu wa udhaifu wako. Sijui ni kipi hasa amabacho Wassira ameongea mpaka kikakuwasha na kuanza kumpongeza pasi sababu yoyote. Watanzania wote wameona,wamesoma,wamesikia kuwa BAJETI YA SERIKALI YA CCM NI DHAIFU KWA VILE RAIS WAKE NI DHAIFU. Udhaifu mdogo tu ambao naweza kukuonyesha Bwana Nepi ni huu: Kwamba Waziri wenu wa Fedha Mgimwa,ingawa tunajua kuwa Bajeti ya 2012 ilishaanza kuandaliwa na Waziri Mkullo DHAIFU aliyetimuliwa kwasababu ya UDHAIFU Mgimwa na Mkullo kwa pamoja wameonyesha UDHAIFU mkubwa sana kwenye Bajeti hii! Kwamba kwa uwezo mdogo walionao sehemu ya kuweza kupata MAPATO YA SERIKALI NI POMBE NA SIGARA TU! Huu ni udhaifu. Hivi kama viwanda vya SIGARA na POMBE vikifungwa Tanzania ina maana Serikali ya CCM haiwezi kupanga BAJETI!!!Huu ndiyo tunauita upuuzi wa CCM!

Iweje kila mwaka sehemu ya kuongeza KODI ni kwenye POMBE na Sigara peke yake? Je,CCM mnataka kuwahadaa Watanzania kuwa nchi hii haina vyanzo vingine vya mapato kweli????Jibu ni hapana hata wewe unajua hivyo.

Inakuwaje SERIKALI INAWEZA KUMPA TAXI HOLIDAY YA 5 YEARS MWEKEZAJI MWENYE MTAJI KWENYE MADINI YA DHAHABU,ALMASI,TANZANITE,GAS NA MAKAA YA MAWE lakini SERIKALI HII HII INASHINDWA KUPUNGUZA P.A.Y.E. YA MFANYAKAZI WA CHINI AMBAYE SERIKALI HAITAKI KUMWONGEZEA MSHAHARA??? Huu tunaweza kuuita ni UJINGA AU UDHAIFU MKUBWA. Kwamba mtu mwenye mtaji,mwenye pesa anasamehewa kodi lakini mtu mwenye mshahara kiduchu hawezi hata kupunguziwa mzigo wa kodi achilia kufuta kodi kabisa!!! Kuna misamaha kibao inayopigiwa debe eti ni kuwavutia wawekezaji ambao wanazidi kupora uchumi wa nji hii mchana kweupe!!

Kuendelea kuongea pumba zako hapa ni kuzidi kuwachefua Watanzania ambao wako tayari kuihukumu CCM wakti wowote maana imewachosha.
 
Naomba maneno haya yafunge mjadala maana yametosha kutoa shule kwa MDHAIFU Nape na CCM yake DHAIFU

Nnauye Jr naomba sana please kama uko tayari basi nitumie email yako i have some very important message siyo kwako bali kwa chama kwa ujumla wake. nitumie kwenye pm. kama uko tayari na sipendi nikupm mimi manake waweza usiisome ikawa ni kazi bure.

Yaani inasikistisha sana,tunaacha kujadili hoja ilikuwa nini tunaanza kurusha Vijembe,nilidhani mtu mmoja angechambua vizuri hapa kwa mzee wetu Wassiraa amesema nini na ule mpango wenyewe ukoje na Bajeeeti imesema nini ili tuweze kujadiliana HOJA hapa si Vijembe,inakuwa Forum ya watu wajinga tusio kuwa na akili bwana,tujadili Hoja hapa kuna watoto wadogo wameanza kutembea Forum hii tutawajenga vipi kama hatujadili HOJA?

Huu sio wakati wa kushambuliana kwa itikadi za Vyama,Taifa letu bado ni maskini sana,tujadili mambo ya msingi kulikomboa Taifa letu,angalia USA jinsi Republican na Democrats wanavyoshirikiana kuijenga USA,tuige mfano huo na sisi ili tupate maendeleo.Kama unaona mwenzako anakosea chambua anachofanya na useme anakosea wapi na ulete mapendekezo yako ya mbadala ndipo Taifa letu litajengwa,ukiwa na Hoja kila mtu ataiona,hata kama mtaikataa lakini ukweli utaonekana Jamani,shime Watanzania wenzangu tujenge nchi yetu Pamoja.

Kwa maoni yangu mimi,tujenge HOJA badala ya kurushiana Vijembe.Njoo na Hoja,tuambie na mpinge mwenzako kwa Hoja kama huna Hoja usije hapa Jamii Forum sio mahala pa Majungu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013.

Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!

Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Bwana/Dr/Prof/Engnr/ Nape,
Hizi lugha nyepesi unazotumia zinafanya wanaJF kwa ujumla tukuchukulie hivyo...Mwepesi!
Lugha au maneno kama hayo kwenye wekundu yanatumika sana Twanga Pepeta au FM Academia. Unapowakilisha wakilisha mada au kuleta ukumbi kwa watu makini kama humu JF inatakiwa uzingatie na contents pia.

Kwa kiongozi wa Chama Kama wewe inatakiwa ujiamini na kusimamia kwa dhati Imani na Itikadi za Chama chako.
Kila muda ukiwa unajihami na kukaribisha Matusi Kama hapo kwenye BLUE....utatukanwa na kupoteza uzito kwa Wanachama na wafuasi wako. Wanasema mdomo huumba...kuwa mwangalifu nini kinatoka kinywani Kwako.

Tatizo kubwa ni kwamba Viongozi wa Chama tawala mnachukulia vitu kwa Wepesi sana. Wananchi wamechoka..kwa hiyo mkiambiwa ukweli, kwenu inakuwa ni MATUSI. Hii ni 2012...Amkeni.
Natumaini sijakutukana Bwana Nape..Ila Kama umehisi au kujisikia hivyo naomba uende pale American chipsi wakupe sahani ya chipsi na mshikaki mmoja nakuja kulipa.

Tafakari Nape.
 
Sasa umeongea nini cha Kujenga nchi yetu ya Tanzania hapo?Kwakweli hii Forum inaharibiwa sana,Moderator upo?
 
Inatokana na level yako ya kuelewa unachokisoma! Au ulitaka nilete Mchanga na Cement ndio uone najenga Taifa!!??
Wewe Huyo unayetaka tuige mfano kutoka "USA" ndio mjenga nchi!!! R u kidding me!!? Kajipange urudi upya...Wassira mkubwa wee:frusty:
 
Yaani inasikistisha sana,tunaacha kujadili hoja ilikuwa nini tunaanza kurusha Vijembe,nilidhani mtu mmoja angechambua vizuri hapa kwa mzee wetu Wassiraa amesema nini na ule mpango wenyewe ukoje na Bajeeeti imesema nini ili tuweze kujadiliana HOJA hapa si Vijembe,inakuwa Forum ya watu wajinga tusio kuwa na akili bwana,tujadili Hoja hapa kuna watoto wadogo wameanza kutembea Forum hii tutawajenga vipi kama hatujadili HOJA?

Huu sio wakati wa kushambuliana kwa itikadi za Vyama,Taifa letu bado ni maskini sana,tujadili mambo ya msingi kulikomboa Taifa letu,angalia USA jinsi Republican na Democrats wanavyoshirikiana kuijenga USA,tuige mfano huo na sisi ili tupate maendeleo.Kama unaona mwenzako anakosea chambua anachofanya na useme anakosea wapi na ulete mapendekezo yako ya mbadala ndipo Taifa letu litajengwa,ukiwa na Hoja kila mtu ataiona,hata kama mtaikataa lakini ukweli utaonekana Jamani,shime Watanzania wenzangu tujenge nchi yetu Pamoja.

Kwa maoni yangu mimi,tujenge HOJA badala ya kurushiana Vijembe.Njoo na Hoja,tuambie na mpinge mwenzako kwa Hoja kama huna Hoja usije hapa Jamii Forum sio mahala pa Majungu.

mkuu saggy binafsi nilimandikia Nnauye kwamba anipe e-mail yake kwasababu kuu moja kwamba yapo mamabo ambayo nayaona ni kama vile changamoto kwake so nilipenda sana kmwambia yeye kama katibu wa chama ajue na nilijua kuziandika hapa zitakosa maana manake watakuja kila mtu na na mtazamo wake.

Binafsi napingana sana na wote wanaoona udhaifu wa Nape na kuutafsiri kuwa ni wa chama ingawa anawakilisha chama. mATHALANI JINSI ALIVYOANDIKA HII THREAD kakosea sana. Yeye kama katibu ndiye anayehusika na swala azima la ustawi wa chama hivyo alitakiwa kila anachokiadress akiangalie na akipime. mimi kauli ya kusema tu ngombe hazeeki maini naitafsiri kama mipasho ya Hadija Kopa ambayo anayaimba kwenye nyimbo zake.

kwani kulikuwa na ugumu gani wa kutuletea hiyo shule Wassira aliyoitoa kama ilivyo ili tuijadili? Pia yeye kama katibu kuonyesha kuwa weakness ya kutukanwa hadharani ni makosa manake kwanini alaete hoja ambayo anaitafsi majibu yake kuwa ni matusi? Je kwa sisi tunaoipenda CCM unafikiri tusemeje?
 
Last edited by a moderator:
Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Kama unauhakika wengi watakutukuna je hii maana yake ni nini kwa kiongozi mkubwa wa chama kilichoko madarakani? Ukiona katibu mwenezi wa chama anakiri hadharani watanzania wametukataa then una expect nini? Kama huelewi basi kwa kauli yako hii umesha toa takwimu ya kuwa majority hawaikubali CCM the reason why una expect wengi watakutukana hasa ukizingatia forum kama hii imesajili watu randomly na bila criteria yeyote!

Basi my young implication yake kama huijui ni kuwa kunguru waogo wote watakimbiza mbawa zao... Upo hapo? Asante sana kuingiiza CDM king ili tulambe kete nyingi zaidi kwa faida ya taifa letu na vizazi vyetu! Panic mbaya nyie msipime!
 
mkuu saggy binafsi nilimandikia Nnauye kwamba anipe e-mail yake kwasababu kuu moja kwamba yapo mamabo ambayo nayaona ni kama vile changamoto kwake so nilipenda sana kmwambia yeye kama katibu wa chama ajue na nilijua kuziandika hapa zitakosa maana manake watakuja kila mtu na na mtazamo wake.

Binafsi napingana sana na wote wanaoona udhaifu wa Nape na kuutafsiri kuwa ni wa chama ingawa anawakilisha chama. mATHALANI JINSI ALIVYOANDIKA HII THREAD kakosea sana. Yeye kama katibu ndiye anayehusika na swala azima la ustawi wa chama hivyo alitakiwa kila anachokiadress akiangalie na akipime. mimi kauli ya kusema tu ngombe hazeeki maini naitafsiri kama mipasho ya Hadija Kopa ambayo anayaimba kwenye nyimbo zake.

kwani kulikuwa na ugumu gani wa kutuletea hiyo shule Wassira aliyoitoa kama ilivyo ili tuijadili? Pia yeye kama katibu kuonyesha kuwa weakness ya kutukanwa hadharani ni makosa manake kwanini alaete hoja ambayo anaitafsi majibu yake kuwa ni matusi? Je kwa sisi tunaoipenda CCM unafikiri tusemeje?
Very well articulated. That was my point exactly. Jamaa(Saggy) analeta zilee zilee za kuiga USA(Slave mentality at work)
 
Nape nipe jibu basi,nimekufikia bei.AU bado unanifikiria sina nia ya kukuchezea nnampango wa kukuchukua jumla ehee mtoto.
 
This is a proof that you are a faithful watch and attack DOG of CCM.
Nape, when it comes to this U rock.
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013.

Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!

Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013.

Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!

Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Hapa sioni chenye "mashiko", naona kilichokosa mashiko tu.

Nacho ni kuja hapa JF na claim kubwa Mzee Wassira katoa darasa, watu tunafungua tupate darasa, tunaona claim tu, hata muhtasari wa habari haupo.

No research, no data, no right to front.
 
Back
Top Bottom