Je, Mamlaka iliyomuhamishia Mwamposa nyuma ya Shule za Feza, Ukwamani Secondary na Kawe B ina Akili sawa sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
Hoja yenu Kuu ya kumuondoa Mwamposa hapo Tanganyika Packers Kawe aliko sasa kwakuwa wenye Eneo NHC wanataka kuanza Phase II ya Ujenzi wa Mall / Supermarket Kubwa nimeielewa 100% kwakuwa ina Mashiko na sahihi kabisa.

Ila GENTAMYCINE hadi sasa sijaielewa hiyo Taasisi na Mamlaka husika kuamua Kumhamishia Mwamposa aende kujenga Kanisa lake temporary katika Uwanja ulio wazi na ulio Jirani kabisa na Shule za Feza, Ukwamani Secondary na Kawe B wakati wakijua fika kuwa kwa aina za Kelele za Waumini wa Mwamposa na Mahubiri yake yenye Kelele haitokuwa salama Kitaaluma kwa Wanafunzi wa Shule tajwa na hata tu Kisheria hairuhusiwi ila nashangaa kwa Mwamposa kaelekezwa ahamie pale / hapo.

Na taarifa ambazo bado GENTAMYCINE naendelea Kuzifuatilia ( yaani sijazithibitisha bado ) zinasema kwamba baada ya Mwamposa kuelekezwa ahamie katika hilo Eneo jipya lililo Jirani na Shule tajwa ni kwamba tayari Mmiliki wa Shule ya Fedha ambaye ni Tajiri mara Saba ya Mwamposa na hata Serikali yake ya Uturuki nayo si tu ni Tajiri bali imeizidi kwa mbali sana Maendeleo nchi ya Birthday Party kwa Marais ( Tanzania ) amekataa Uamuzi huo na kusema kama Mwamposa atahamia hapo basi alipwe upesi mno Thamani yote ya Uwekezaji wake mkubwa alioufanya hapo baada ya Kuuziwa Eneo hilo na Godfather wa Chalinze Bagamoyo ili ahame au aambiwe hilo eneo la wazi ambalo Mwamposa anataka kupewa ili awe anawapigia Kelele na Mapepo yake ni Shilingi ngapi ili alinunue tu lote.

Kwa Masikini Wenzangu Shule za Ukwamani Secondary na Kawe B inasemekana walichoamua Wao kama kweli Mwamposa atahamia hilo eneo Jirani nao basi kwakuwa Wao Jeuri ya Hela kama aliyonayo Mmiliki wa Shule ya Feza hawana lakini watakachokifanya ni Kuwapopoa tu na Mawe ( Vitofa ) Waumini wa Mwamposa kila wakiwa wanaenda hapo Ibadani jirani nao ambako wameelekezwa wahamie / ahamie.

Na Wewe Mwamposa kuna muda unakuwa kama vile Roho Mtakatifu wako alikunyima Akili za Kufikiria vizuri ila za Kuagua Mapepo na kula Sadaka za Waumini wako na uwekeze katika Miradi na Biashara zako mbalimbali alikupa.

Hivi Wewe Mwamposa si una Eneo kubwa sana hapa Mbezi Beach Tangi Bovu jirani na kwa Marehemu Mzee Kitundu na Mita chache liliko eneo la Mama Maria Nyerere?

Hivi Wewe Mwamposa si una Eneo kubwa sana Sala Sala na Bunju ambako yanatosha kabisa Kujenga Kanisa na ukaachana na huku kila Siku tu kupewa Notisi na NHC na Mamlaka kuwa uhame hapo Tanganyika Packers Kawe?

Mara kadhaa Mwamposa umesikika ukiwaambia Waumini wako kuwa utahamia hapo Tangi Bovu Mbezi Beach au kule Sala Sala sasa mbona bado tu unang'ang'ana na Kawe ambako Mamlaka zimekuchoka kwakuwa unawapa sana Usumbufu na Kero hasa Kipindi hiki wanaendelea na Ujenzi hapo?

au na Sisi wengine sasa ( akina GENTAMYCINE ) tuanze kuamini haya tunayoyasikia kutoka kwa baadhi ya Watendaji wako kuwa unapapenda hapo Tanganyika Packers Kawe kwakuwa ni karibu na Baharini ambako yale Madude yako Manne pamoja na haya Manne uliyoyachukua kwa Yule Marehemu wa Nigeria ndiko huwa yanalala na kuja Kuwapumbaza Wanaokuamini na wanakupa Pesa zao zote ili uendelee Kutajirika kisha Wao wanaendelea kuwa Masikini na hata Wengine sasa kuugua Ukichaa?
 
Hawa wanaojiita wahubiri wakubwa hawapendi kuwa na maeneo yao yaani wapo juu juu tu.

Huyo ni niguse ninuke maana bahasha huwa zinaelekezwa kwake.

Hata huyu msafisha jiji ni mwanakwaya wake.

Ngoja tuone.

Waalim vipi, ume surrender?
 
Alafu uyu jamaa waumini wake wengi wanatoka mikoani, kwanini asitafute eneo lake hata kibaha uko au chalinze ili kuwarahisishia wasafiri wasiwe wanafika mpaka mbezi uku kwa magufuri
Pesa anayo ahamishe mikoba tu

Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
 
Nasikitika nto maada anazungumza haya akiwa hana ushahidi wowote , naikimbuka Jamii Forums ya kipindi cha nyuma kipindi najiunga nayo, uzi nyingi ziliketwa zikiwa na ushahidi hata wa nyaraka muhimu kuthibitisha kilichoandikwa, lakini sasa hv ni mkusanyiko wa watu wanasema nini ; wazungu wanasema ni “hear say”

Ni vema kufanyia utafiti na sio kila kitu unachokihisi basi unaandika humu wazungu wanamsemo wao kuwa “No research no right to speak!”
 
Hoja yenu Kuu ya kumuondoa Mwamposa hapo Tanganyika Packers Kawe aliko sasa kwakuwa wenye Eneo NHC wanataka kuanza Phase II ya Ujenzi wa Mall / Supermarket Kubwa nimeielewa 100% kwakuwa ina Mashiko na sahihi kabisa.

Ila GENTAMYCINE hadi sasa sijaielewa hiyo Taasisi na Mamlaka husika kuamua Kumhamishia Mwamposa aende kujenga Kanisa lake temporary katika Uwanja ulio wazi na ulio Jirani kabisa na Shule za Feza, Ukwamani Secondary na Kawe B wakati wakijua fika kuwa kwa aina za Kelele za Waumini wa Mwamposa na Mahubiri yake yenye Kelele haitokuwa salama Kitaaluma kwa Wanafunzi wa Shule tajwa na hata tu Kisheria hairuhusiwi ila nashangaa kwa Mwamposa kaelekezwa ahamie pale / hapo.

Na taarifa ambazo bado GENTAMYCINE naendelea Kuzifuatilia ( yaani sijazithibitisha bado ) zinasema kwamba baada ya Mwamposa kuelekezwa ahamie katika hilo Eneo jipya lililo Jirani na Shule tajwa ni kwamba tayari Mmiliki wa Shule ya Fedha ambaye ni Tajiri mara Saba ya Mwamposa na hata Serikali yake ya Uturuki nayo si tu ni Tajiri bali imeizidi kwa mbali sana Maendeleo nchi ya Birthday Party kwa Marais ( Tanzania ) amekataa Uamuzi huo na kusema kama Mwamposa atahamia hapo basi alipwe upesi mno Thamani yote ya Uwekezaji wake mkubwa alioufanya hapo baada ya Kuuziwa Eneo hilo na Godfather wa Chalinze Bagamoyo ili ahame au aambiwe hilo eneo la wazi ambalo Mwamposa anataka kupewa ili awe anawapigia Kelele na Mapepo yake ni Shilingi ngapi ili alinunue tu lote.

Kwa Masikini Wenzangu Shule za Ukwamani Secondary na Kawe B inasemekana walichoamua Wao kama kweli Mwamposa atahamia hilo eneo Jirani nao basi kwakuwa Wao Jeuri ya Hela kama aliyonayo Mmiliki wa Shule ya Feza hawana lakini watakachokifanya ni Kuwapopoa tu na Mawe ( Vitofa ) Waumini wa Mwamposa kila wakiwa wanaenda hapo Ibadani jirani nao ambako wameelekezwa wahamie / ahamie.

Na Wewe Mwamposa kuna muda unakuwa kama vile Roho Mtakatifu wako alikunyima Akili za Kufikiria vizuri ila za Kuagua Mapepo na kula Sadaka za Waumini wako na uwekeze katika Miradi na Biashara zako mbalimbali alikupa.

Hivi Wewe Mwamposa si una Eneo kubwa sana hapa Mbezi Beach Tangi Bovu jirani na kwa Marehemu Mzee Kitundu na Mita chache liliko eneo la Mama Maria Nyerere?

Hivi Wewe Mwamposa si una Eneo kubwa sana Sala Sala na Bunju ambako yanatosha kabisa Kujenga Kanisa na ukaachana na huku kila Siku tu kupewa Notisi na NHC na Mamlaka kuwa uhame hapo Tanganyika Packers Kawe?

Mara kadhaa Mwamposa umesikika ukiwaambia Waumini wako kuwa utahamia hapo Tangi Bovu Mbezi Beach au kule Sala Sala sasa mbona bado tu unang'ang'ana na Kawe ambako Mamlaka zimekuchoka kwakuwa unawapa sana Usumbufu na Kero hasa Kipindi hiki wanaendelea na Ujenzi hapo?

au na Sisi wengine sasa ( akina GENTAMYCINE ) tuanze kuamini haya tunayoyasikia kutoka kwa baadhi ya Watendaji wako kuwa unapapenda hapo Tanganyika Packers Kawe kwakuwa ni karibu na Baharini ambako yale Madude yako Manne pamoja na haya Manne uliyoyachukua kwa Yule Marehemu wa Nigeria ndiko huwa yanalala na kuja Kuwapumbaza Wanaokuamini na wanakupa Pesa zao zote ili uendelee Kutajirika kisha Wao wanaendelea kuwa Masikini na hata Wengine sasa kuugua Ukichaa?
Kwani wewe una akili sawasawa?
 
MWAMPOSA MNAMUOTA NA KUMJADILI USIKU NA MCHANA, UZURI MAMA ZENU WAKE ZENU DADA ZENU HAWAACHI KUHUDHURIA IBADA ZAKE...
NA WAKIRUDI NYUMBAN MNAPAKA MAFUTA YA UPAKO NA KUNYWA MAJI YA UPAKO 😃😂
HUMU JF MNAJIFANYA KUPIGA KELELE KUMBE MTAANI MSHIKISHWA UKUTA 🏳️‍🌈
 
Nasikitika nto maada anazungumza haya akiwa hana ushahidi wowote , naikimbuka Jamii Forums ya kipindi cha nyuma kipindi najiunga nayo, uzi nyingi ziliketwa zikiwa na ushahidi hata wa nyaraka muhimu kuthibitisha kilichoandikwa, lakini sasa hv ni mkusanyiko wa watu wanasema nini ; wazungu wanasema ni “hear say”

Ni vema kufanyia utafiti na sio kila kitu unachokihisi basi unaandika humu wazungu wanamsemo wao kuwa “No research no right to speak!”
Hopeless.
 
Back
Top Bottom