Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

Hii ndo kazi ya Nape na hiyo ndo hoja pekee aliyopata baada ya kufikiri saaana yeye ameshindwa kabisa kupata hoja yenye maana kiuchumi,kisiasa na kijamii.Matatizo ya dawa,usafiri wa majini,ukosefu wa nyumba za walimu,mfumuko wa bei n.k Nape hajaona hayo,yeye alichoona ni SHULE ya Wassira.Hana tatizo na mikataba ya madini wala vitalu vya uwindaji na yuko sahihi.Ahsante kwa kazi nzuri Katibu Mwenezi wa Majungu na Fitina wa chama cha zamani.
 
Hakuna linaloniuma sana kama unayedhani kuwa timamu anakuangusha baada ya kugundua kuwa, uwezo wake wa kufikiri uko chini sana ya kiwango cha mtu wa kawaida!!!!!!
 
Toka uwape wale jamaa siku 90 ukashindwa kuvua gamba ni kajua kuwa wewe mbabaishaji ? anyway wamekufikisha kileleni kwakukupatia hicho cheo. lakini siamini ni yule Nape ninayemsikia kuwa ameandika utumbo huu nahisi Id ya Nape kama imeibiwa.
 
Nasikitika kuona jinsi nape unavyo zeeka vibaya yan ata kufkiri umeshindwa?

Najua lazima umsifie huyo mzee maana,wewe kama wewe huna hoja zaidi ya kudandia za wenzako.

Me ninachojua shule nzuri imetolewa na BEATRICE SHELUKINDO! Kwani kawa kumbusha kukubali nchii hii iko hapa sababu ya watu wachache na wewe umeshindwa kuwa vua gamba hadi sasa hasa lowasa unamuogopa sana.
 
Mzee unayemsifia kuwa katoa shule labda katoa kwako tu, sie tunaona kalikoroga, mzee huyu hajawahi kuwa na busara ndio maana kaitwa tyson, huwa anakurupuka, kwanza huwa ni kapi la NCCR hivyo hana jipya. Nakusangaa kukali gamba hili badilika kijana
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

najua nape siku hizi si katibu mwenezi , bali ni mtendaji mkuu wa serikali,kama nilivyokuona kwnye majukwaa ukitoa amri mbalimbali kwa watendaji wa serikali.Mi binafsi nimemsikiliza sana;mzee wasira si kweli unayosema katoa darasa, bali katambua wabunge waliochangia na kumponda NCHEMBA, lakini pia hakutoa ufafanuzi wa mzee mkono kuhusu kuuzwa mgodi wa kiwira na kwanini utengewe fedha ya kulipa malimbikizo ya madeni.sasa kwa kuwa yeye alisahau kama kawida yake kwa sababu alikuwa na usingizi , je wewe mtendaji mkuu unatoa ufafanuzi gani?
 
nape jaman nenda vituo vya polisi uone unakwenda kufungua kesi unaambiwa kanunue karatasi au kutoa copy za karatasi za kufungulia kesi, nenda vituo vya polisi uone njaa zinavyo sumbua askali na wanavyoiba pesa na vitu vidogovido vya watuhumiwa au jinsi askali wanavyotumia mwanya wa watuhumiwa kujipatia pesa pale wanapokuwa wamewekwa lockup sasa wanahitaji kuwasiliana na ndugu zao wengin e wanaokuwa na pesa basi askali utumia nafasi hiyo kujichukulia pesa za watuhumiwa na ndipo utoa msaada wa mawasiliano kwa ndugu wa mtuhumiwa yan hizo zote ni njaa kwa kuwa na vipato vidogo ni mengi tu nape anatakiwa aangalie alafu akishapata majibu ndo aje hapa jf na kujadili maswala ya taifa hili,
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Hata mimi nilikuwa naangalia hiyo asubuhi. Kama kweli pamoja na majukumu yako ya chama kitaifa umeona Wassira katoa shule, kiasi cha wewe kuja kuanzisha thread hapa kumsifia au kushare na wengine, basi nasikitika kusema kuwa uwezo wako intellectually ni finyu mno, unless kama unapiga propaganda
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Dogo kweli wewe kichwa maji,usitake nikaamini mambo tunayoyasikia kwamba wewe ni bwabwa!!
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Tuwekee mkanda tafadhali.
 
Kinachokusikitisha ni nini?, ka sio nafiki?!!!!!

Mkuu, you are a high profiled CCM cadre, whom none could expect to see being engaged in such low profiled sort of gossip discussions.
With all due respect, could you please try to act, think, speak and live as person whom your chama depends much on issuing strong and constructive statements.
Sorry if I annoyed you, but a person of your status shouldn't be issuing such
dubious statements that make people have a ground for attacks to you.
 
Nape nasikitika kwa cheo chako hiki ndicho unachoweza kuandika, inasikitisha and it also show how not serious you are.Please stay away kwenye hii mitandao ya jamii nafikiri una namna bora ya kutoa maoni yako than what you have just done.Kama mwana CCM inanisikitisha
Du kwa nini Nape ajitenge na watanzania wengine?
Si kawaida ya chama chake kukaa mbali na watu, kuna viongozi wangapi humu hawajitokezi ila kusemea pembeni.
Naona kuna kaubaguzi kwani wakichangia wengine, haina noma ina mshiko lakini wengine wasiwepo, toka mwanzo tunasisitiza hapa jamvini sio mahali pa chama kimoja tu
mwacheni ajimwage kwani keshakubali yoyote yatokee
 
agh Nape wa kutukana nani..Kibajaji si ndo specialist ila Wassira alivyokuwa anachekacheka inaonekana alikuwa ametoka kuchangia budget ya pombe usiku uliopita..
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Laana ya watanzania maskini at its best! - endelea tu na maneno yako, bahati nzuri Mungu huwa halali na sala za watanzania zinaendelea, ipo siku utarudi kumeza maneno yako. Ubarikiwe sana...
 
nape najua wewe ni mchapakazi mzuri sana lakini nashindwa kuelewa kwanini wewe sio muumini wa ukweli! nilitaka niseme njaa inakusumbua lakini najua uko vizuri. acha kuusaliti ukweli! tunaoipinga ccm hatuna maana kwamba cdm ni wazuri sana la asha! tunaipinga kwasababu imepanda mfumo mbaya kwenye nchi! ngoja nikupe mfano wa jeshi la polisi,kuna askkari wamepele au kuingizwa upolisi na wakubwa sasa askari huyo akikosa anaogopwa kuwajibishwa na mkubwa wake kwasababu tu alipelekwa na mkubwa.nape nakuambia hali ni mbaya kila secta! nakuomba kubali mabadiliko
 
Maskini Nape, yaani kile alichozungumza leo Wassira aka Mzee wa Gombe ndo umeona shule, maskini CCM hakuna cha maana kimebaki huko, ni laana tu na wizi. Lini mtaacha kuiba mali ya UMMA?
 
Back
Top Bottom