CCM watakuwa na vichaa na hofu kubwa sana juu ya chadema.Huwa ktk masikio yao hoja za chadema zikisema wanazisikia kwa sauti kubwa sana.Inaelekea hawajui tofauti ya nguvu ya hoja na nguvu ya sauti.Poor akili ndogo inayotaka tawala akili kubwa
Mkuu hebu jaribu kureason kidogo!
CDM wanafadhiliwa na Conservatives huko majuu,hel ya bajeti wameipunguza sana kwa nji hii.
Sasa pengine utueleze kuwa kila trip ya JK ni ya kwenda kuomba msaada, sioni uhusiano wa mashambulizi ya kustukiza , kama ya Mnyika na kuomba misaada toka kwa wahafidhina.
Hivi inakuwaje mapato yako kwa mwezi ni Tsh 100,000 lakini matumizi yako kwa mwezi ni 200,000??
Hii ndiyo Tanzania ya ccm, Mapato ya ndani kwa mwezi Trillion 8 matumizi Trillion 10. Tunaishi kwa kukopa mpaka kwenye matumizi yatu ya ndani.
Hata uwe na uwezo mdogo kiasi gani wa kupambanua mambo huwezi kushiba kiasi kwamba ukasahau kuona huu upunguani wa chama tawala, CCM wapi mnatupeleka?? Shame on you.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.