Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hahahhahah, hawa hata lotion zenu mkiziweka pabaya wanazipiga ,marioo tena wa lubumbashi.
hahahhahah, hawa hata lotion zenu mkiziweka pabaya wanazipiga ,marioo tena wa lubumbashi.
Yaani hata ambao huwezi wadhania wamekuja juu kha hata siamini
Kibatani cha senks hakuna leo wala cha like, leo wamekabwa koo inasikitisha inaonyesha wenye hiyo tabia ni wengi
tayari tumepata mwathirika no 1 wa mashaouharo:spy:Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati
he he he....kwani we kuona kwamba ni crap hii thread inafutika? who are you kwamba ukiiona crap tujali? thread imejifunga au kupotea kwa wewe kuona crap???? kuzoea kulia lia ushamuona Sarafina nae analia....ujasiri si kumuambia yule alokosea tu bali kusema kwa wengine pia,haipendezi kulia lia ovyo.....kimekuuma sana naona...jibebe!!:yawn::yawn:
Kumbe nawe kupasha unaweza eeeeh? Angalia hiyo midege hapo....mikuubwa hiyo
huyu ndio unaweza kukuta yuko mstari wa mbele kabisaa hahaha, ndio maana kujifanay hajawahi onaMpendwa acha kutuzuga eti hujawahi kusikia stori za hivi, wako wengi tena sana tu hawaoni hata aibu yani, jaribu kuuliza uliza utasikia yakayokushangaza zaidi ya hili
hehehhe asante kwa kunipenda dear)Ndo maana nakupenda Ivuga, wape wape eeeeeeeeeee vidonge vyao,wakimeza wakitema ni shauri zao!!
Big Up Sarafina na Ivuga kwa kuunga mkono hoja!
Wewee shika adabu yako, nani anajibaraguza?? Ngoja niulize kama nami huwa najiliza.....lol!!Aah!, Sarafina leo umewapatiaaa!!!! Check wanavyojibaraguza! Heheheheh!
Hivi Sarafina umemaanisha wanaume waliokimapenzi au hata mafriend kwa kawaida??
huyu ndio unaweza kukuta yuko mstari wa mbele kabisaa hahaha, ndio maana kujifanay hajawahi ona
hehehhe asante kwa kunipenda dear)
Jana tu nilikuwa na Demu, tumekaa nae vizuri tu, Mara kaanza kulialia ooh mara Kodi ya Nyumba sina, Nadaiwa maji,. Mara Betri ya Simu imekufa. Nikaamua kumuaga na kuondoka. Isije ikawa ndio huyu Sarafina1 kaamua kuja kulia humu. Pole sana mama jifunze kujitegemea.
Jua ya kwamba ukiomba na wewe utaombwa.!!!
Sio kuwa tumekuja juu, toa ushahidi kidogo japo kidogo. Kwetu mwanaume kulialia ni mkosi tena mbele ya mwanamke.....lol!!Yaani hata ambao huwezi wadhania wamekuja juu kha hata siamini
Kuzaliwa uswahilini Pwani kumeniharibu hata nielimike vipi mapenzi yangu kwa mipasho na ngoma hayapungui....ndo maana sina reference za RnB wala Country mi natoa mipasho tu.....ningependa kujua maoni yako kuhusu hili NN:A S 465:
halafu wewe,mbona umezichunia zile huduma zangu tuliongea?imekuwaje?he he he he wajiona wa maana sana kushindwa kumtimizia demu wako mahitaji yake? mwanaume suruali kweli wewe, unajiona ulifanya la maana sana kuondoka.....ungemwambia huna uwezo....inavyoonekana unapenda vya bure, nyie ndo wale mnataka hata hela ya kitanda guest na kondom mlipiwe na boxer mnunuliwe.....ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.....unalo!! Sarafina hajakataa mwanaume asiombe,ila kuwe na kiasi,si kila kukicha unaomba tu....heshima inashuka...ushalobaro umezidi,usitake kufananisha Sarafina na mlupo wako wa bei chee unaoomba hata betri....yeye Sarafina anaombwa na wanaume si yeye anaomba! Uache tabia hiyo!
Ahahahaaah!! Mkuu unaua, hata mimi nilipoona taito nilidhani ni hivyo na nilitaka niipotezee, lakini kufungua ndani kumbe anawaongelea masharobaro.Nilifikiri kujiliza liza wakati wa mechi............. kweli nimeamini kujiliza ina maana nyingi...........
Mipasho ndo yenyewe....tena ukipasha kwa kujishaua na kujishebedua ndo hunoga zaidi.
Kwa kweli sina hata la kusema kwenye hili. Nimekuwa najitegemea mwenyewe tokea umri wa miaka 18 na niko mwajibikaji na ninaishi ndani ya uwezo wangu. Ila nadhani kulialia au kulalama kuhusiana na ugumu wa maisha halafu kuishia kusumbua wenzio si uzuri. Na hili halina jinsia lakini baadhi ya watu wanapenda kuingiza jinsia. Sijui kwa nini tu.
Licha ya hivyo, aso na haya wala haoni ubaya kupiga watu mizinga. Si tabia nzuri na wewe kama unayo iache Michelle lol...tena ukome kabisa.
halafu wewe,mbona umezichunia zile huduma zangu tuliongea?imekuwaje?
ushahidi huu hapa jamaa kaja nao hapa tena hjana tu u hahahaaaaaSio kuwa tumekuja juu, toa ushahidi kidogo japo kidogo. Kwetu mwanaume kulialia ni mkosi tena mbele ya mwanamke.....lol!!
Jana tu nilikuwa na Demu, tumekaa nae vizuri tu, Mara kaanza kulialia ooh mara Kodi ya Nyumba sina, Nadaiwa maji,. Mara Betri ya Simu imekufa. Nikaamua kumuaga na kuondoka. Isije ikawa ndio huyu Sarafina1 kaamua kuja kulia humu. Pole sana mama jifunze kujitegemea.
Jua ya kwamba ukiomba na wewe utaombwa.!!!