Kausha damu wamehalalisha udangaji na ukahaba kwa kigezo kwamba mwanaume ana jukumu la kumhudumia mwanamke

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,417
9,806
Inashangaza sana kuona vibaka wanachomwa moto mtaani huku kausha damu wanaachiwa tu wakati demage inayosababishwa na kausha damu kwenye jamii ni kubwa kuliko ya hawa vibaka. Kwa sasa ni ngumu sana kuanzisha mahusiano ya maana kwa sababu wanawake wamekua kausha damu wanachokitafuta kwenye mahusiano ni kupewa hela tu.

Kausha damu ni kero kwenye jamii. Wanawake mmekua ombaomba na matapeli. Mnajidhalilisha na kujishusha utu wenu kwa ajiri ya vitu vidogo sana. Hivi ukiwa na appointment ya kukutana na mpenzi wako kweli hata hela ya bodaboda itakushinda, kiasi kwamba unataka na hiyo atoe mwanaume?

Ishini life style mnayoimudu kulingana na vipato vyenu. Hauna kazi wala biashara iliyosimama baki nyumbani kwa wazazi wako subiri kuolewa sio unapanga chumba halafu unategemea hela ya kodi, luku, gesi ipatikane kwa kudanga. Nawaambieni ukweli nyie kausha damu hakuna ombaomba anaeheshimika.

Kausha damu wamehalalisha udangaji na ukahaba kwa kigezo kwamba mwanaume ana jukumu la kumhudumia mwanamke. Sikatai mwanaume kumhudumia mwanamke lakini kuna namna ambayo itamlazimu mwanaume akuhudumie. Kwanza uwe mke wake mnaishi pamoja, pili usiwe na shughuli ya kukupa kipato la sivyo unatakiwa kujihudumia mwenyewe kama hauna kazi basi jukumu la kukuhudia ni la wazazi wako.

Na nyie wanaume wajinga mnaojikuta gentlemen na kuingia gharama kuwafurahisha hawa indirect prostitutes nawaambieni ukweli hawa kausha damu wanawaona mafala tu na wataendelea kuwatumia kwa masilahi yao kwa sababu ya ujinga wenu. Mwaka 2024 badilikeni mnatuabisha sana, wanaume wote tunaonekana idiots and pussy driven kwa sababu yenu.

Kausha damu wote nawapeni makavu live, sex ni mutualy pleasure sio biashara. Mkitumia kigezo cha kugawa mbususu kama justification ya kupewa hela au matunzo kutoka kwa mwanaume ambae sio mmeo basi nyie ni makahaba tu.
 
Mwanamke ndoto yao kubwa ni kuolewa na kujenga familia

Wanaume wengi sisi ni waongo na hatuna mpngo wa kuoa , sasa wanawake na wao wameamua wasikose vyote, pesa ama ndoa.

Wanachofanya ni sawa kabisa na sisi ndio tumetaka iwe hivyo ,cha muhimu apo tafuta pesa ,malalamiko hayatasaidia tena .
 
Shida sio kausha damu, shida ni wao na tamaa zao, kutaka kuishi maisha kuliko uwezo wao, ndio hapo wanapoliwa, mbona kausha damu imekuwa kama mvua tu, wanawake wengi toka kitambo walikuwa wakilika kwa vihela vidogo vidogo, mtu ukimpelekea kilo ya nyama na mchele, anakuwekea mguu bara mguu pwani.
 
Wewe ni mmoja kati ya wanaume wajinga niliowasema hapo juu.
 
Shida sio kausha damu, shida ni wao na tamaa zao, kutaka kuishi maisha kuliko uwezo wao, ndio hapo wanapoliwa, mbona kausha damu imekuwa kama mvua tu, wanawake wengi toka kitambo walikuwa wakilika kwa vihela vidogo vidogo, mtu ukimpelekea kilo ya nyama na mchele, anakuwekea mguu bara mguu pwani.
Zamani wanawake walikua wanaongozwa na upendo mambo ya kupewa mahitaji na vizawadi vya hapa na pale zilikua kama hamsha hamsha tu za kunogesha mapenzi hawakuchukulia kama ni mambo ya lazima kupewa na boyfriend ila kwa sasa wanawake wameyafanya mapenzi kuwa ajira na wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate.
 
Wanawake wa sasa wengi wao ni malaya wa kimnya kimnya na haijalishi ni mke wa mtu, dada yako, mama yako, bibi au shangazi zako. Na yote haya ni kupitia hii ndoto yao ya kumchuna mwanaume hadi kumfilisi kwa kisingizio cha kumpa mbususu kama kigezo cha kupata huduma za hapa na pale
 
Unetoa hujalazimishwa, kama huwezi acha tafuta mwingine.

Usiwafananishe wanaotupa uroda na hao vibaka mkuu. Kibaka anakukwapua au hata kukudunga visu bila sababu za msingi.

Umemtongoza wewe ukijua hana kazi na anaishi mwenyewe, unaomba mbususu unasusiwa yote, ukiambiwa utoe pesa unang'aka.

Hutaki muache.
 
Mwaka uishe mapema yote hii
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
Mwaka
Zamani wanawake walikua wanaongozwa na upendo mambo ya kupewa mahitaji na vizawadi vya hapa na pale zilikua kama hamsha hamsha tu za kunogesha mapenzi hawakuchukulia kama ni mambo ya lazima kupewa na boyfriend ila kwa sasa wanawake wameyafanya mapenzi kuwa ajira na wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate.
Ukijifanya mgumu utaishia nyetoni kama drone, 😁😁😁
 
Wanawake wa sasa wengi wao ni malaya wa kimnya kimnya na haijalishi ni mke wa mtu, dada yako, mama yako, bibi au shangazi zako. Na yote haya ni kupitia hii ndoto yao ya kumchuna mwanaume hadi kumfilisi kwa kisingizio cha kumpa mbususu kama kigezo cha kupata huduma za hapa na pale
Wakishampukutisha mwana pesa yake ya kubet aliyompiga mhindi wanahamia kwa mwingine sasa huo kama sio umalaya ni nini? halafu midomo mirefu eti mwanamke anatakiwa kuhudumiwa. Yaani malaya anataka apewe huduma za hadhi ya mke, this is total bullshit.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom