Mwanaume kujiliza liza kha!

wanaume kama mabinti....utoto wa mama unaendelea hata akishaoa.....misukosuko kidogo tu,machozi...ovyo sana....!!!
bora umesema,wenye tabia hiyo wajifunze kujikaza na kupambana kiume si kulia lia!
Maneno ya shombo hayo,umbea 2.
 
Nimeipenda hii ,wakisemwa wanaume huwa
Ni wakali kweli kweli hawakubali kabisa.
 
Sio wanaume wote ila, limeanza kuibuka kundi la wababa kazi yao akiwa na mpenzi basi kazi yake ni kupiga mizinga tu bila aibu, na hii tabia inaonekana kukua sana

Una bahati mbaya sana, una mibaba mingapi ambayo imekufanya ukawachukia wanaume. Kwanza hujatulia, ungekua umetulia ucngeweza kuleta hii maada hapa coz ungekua na heshima. Nakushauri uolewe ili uepukane nao. Uclete vitu kama hivi tena, na punguza mi2hasuko.
 
Sasa na wewe kama shepu yako ni kama sanamu la michelin unategemea utampata mwanamume wa namna gani? ni lazima umpate huyo malioo ambaye yuko na wewe kwaajili ya visenti vyako vya ofisini na si vinginevyo. mademu wote bomba hapa mjini hawana malalamiko kama yako, wanabadilishiwa tu aina ya magari kila baada ya miezi kadhaa.
 
hehehehe masharobaro wanaboa jamani, bora huyo kaanza mizinga mmeshazoeana, wengine date ya kwanza tu anaomba umpe hela ya tax ya kumrudisha alikotoka khaa
 
unahisi mwanaume haswi kulia shida????. Shda hazina jnsia?????
 
Unapotaka kufanya jambo flani, lazima uchague pa kuanzia kwa muda huo. Kwa maana CHADEMA waliamua kwanza kuanza na list of shame kabla ya kuendelea na sehemu ya nyingne, (hilo si la kubeza kwan matunda yao yameonekana).
CCM imechafuka sana, haina uwezo wa kujisafisha kiasi cha kuipoteza CHADEMA,,ikifanikiwa basi itakuwa ni kizazi kingne si hiki tulichoncho leo.Hakuna mbinu za kimafia za kuisafisha CCM, bali wana mbinu a kimafia za kuibomoa CCM. CCM imechafuka kuanzia ngazi ya shna had kamati kuu, nani wa kumsafisha mwenzake????.
Vilevile kama CCM wakijirekebisha ndio furaha yetu, lengo ni viongozi wasafi. HATUANGALII CHAMA
 
mkuu hapa hutuzungumzagi mambo hayo
 
Haya nazo hizi habari zenu za mahusiano hazitusaidii ktk hili jamvi letu.Ila nakushauri tu :alien:dume likilialia lifunge kanga then likalishe sebuleni then waite mashoga zako,mbele ya mashoga mpe hela ya bia na buku akatafute nazi ya kuungia mboga.Hatorudi tena huyo mwanaume machozi ombaomba.
 
Unapotaka kufanya jambo flani, lazima uchague pa kuanzia kwa muda huo. Kwa maana CHADEMA waliamua kwanza kuanza na list of shame kabla ya kuendelea na sehemu ya nyingne, (hilo si la kubeza kwan matunda yao yameonekana).
CCM imechafuka sana, haina
uwezo wa kujisafisha kiasi cha kuipoteza
CHADEMA,,ikifanikiwa basi itakuwa ni kizazi kingne si hiki tulichoncho leo.Hakuna mbinu za kimafia za kuisafisha CCM, bali wana mbinu a kimafia za kuibomoa CCM. CCM imechafuka kuanzia ngazi ya shna had kamati kuu, nani wa kumsafisha mwenzake????.

Vilevile kama CCM wakijirekebisha ndio furaha yetu, lengo ni viongozi wasafi.
HATUANGALII CHAMA

Mhhh..... ww umepotea njia lol....nimechekaaaaa....
tunaongelea huyu Sarafina kapigwa mizinga either hajalipwa au kakopwa au kalipwa kidogo then mwanaume akawa anapiga sound coz hana enough money, ila Sarafina hajionyeshi moja kwa moja kutuambia ukweli. Next time Sarafina mshiko kwanza kabla ya huduma, wakopaji wengi
.......
 
Unapotaka kufanya jambo flani, lazima uchague pa kuanzia kwa muda huo. Kwa maana CHADEMA waliamua kwanza kuanza na list of shame kabla ya kuendelea na sehemu ya nyingne, (hilo si la kubeza kwan matunda yao yameonekana).
CCM imechafuka sana, haina uwezo wa kujisafisha kiasi cha kuipoteza CHADEMA,,ikifanikiwa basi itakuwa ni kizazi kingne si hiki tulichoncho leo.Hakuna mbinu za kimafia za kuisafisha CCM, bali wana mbinu a kimafia za kuibomoa CCM. CCM imechafuka kuanzia ngazi ya shna had kamati kuu, nani wa kumsafisha mwenzake????.
Vilevile kama CCM wakijirekebisha ndio furaha yetu, lengo ni viongozi wasafi. HATUANGALII CHAMA

Kha??????? Wapi hapa nilipo?? Au sioni vizuri???
 
Haya nazo hizi habari zenu za mahusiano hazitusaidii ktk hili jamvi letu.Ila nakushauri tu :alien:dume likilialia lifunge kanga then likalishe sebuleni then waite mashoga zako,mbele ya mashoga mpe hela ya bia na buku akatafute nazi ya kuungia mboga.Hatorudi tena huyo mwanaume machozi ombaomba.

Kwa hiyo unataka habari za kisiasa au????
 
we umepata choko cyo mwanaume''we dada vipi kwani wote tupo kama hyo bwabwa wako???
 
Back
Top Bottom