Mwanaume kujiliza liza kha!

Yaani hata ambao huwezi wadhania wamekuja juu kha hata siamini

hivi vitu watu hawajazoea kuvisikia.. Na kama kweli hii tabia inaongozeka kwenye jamii (kulingana na utafiti ulioufanya) ni dhahiri kwamba wanaume wa style hio umaskini unawatawala zaidi (uchumi mbovu)..
 
Kibatani cha senks hakuna leo wala cha like, leo wamekabwa koo inasikitisha inaonyesha wenye hiyo tabia ni wengi

Thanks my dear....nimeipokea bila kugongewa.....hiyo tabia ipo sana...hujaona hata kule kwa MJ1 mwanaume analia kusisitiza penzi? wapo wengi....ovyo sana,wakiwa nyuma ya key board wana guts kweli,ukiwafahamu vizuri, wengine ni watu wa kujilaza kifuani kulia...useless!
 
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati
tayari tumepata mwathirika no 1 wa mashaouharo:spy:
 
he he he....kwani we kuona kwamba ni crap hii thread inafutika? who are you kwamba ukiiona crap tujali? thread imejifunga au kupotea kwa wewe kuona crap???? kuzoea kulia lia ushamuona Sarafina nae analia....ujasiri si kumuambia yule alokosea tu bali kusema kwa wengine pia,haipendezi kulia lia ovyo.....kimekuuma sana naona...jibebe!!:yawn::yawn:

Jana tu nilikuwa na Demu, tumekaa nae vizuri tu, Mara kaanza kulialia ooh mara Kodi ya Nyumba sina, Nadaiwa maji,. Mara Betri ya Simu imekufa. Nikaamua kumuaga na kuondoka. Isije ikawa ndio huyu Sarafina1 kaamua kuja kulia humu. Pole sana mama jifunze kujitegemea.
Jua ya kwamba ukiomba na wewe utaombwa.!!!
 
Kumbe nawe kupasha unaweza eeeeh? Angalia hiyo midege hapo....mikuubwa hiyo

Kuzaliwa uswahilini Pwani kumeniharibu hata nielimike vipi mapenzi yangu kwa mipasho na ngoma hayapungui....ndo maana sina reference za RnB wala Country mi natoa mipasho tu.....ningependa kujua maoni yako kuhusu hili NN:A S 465:
 
Mpendwa acha kutuzuga eti hujawahi kusikia stori za hivi, wako wengi tena sana tu hawaoni hata aibu yani, jaribu kuuliza uliza utasikia yakayokushangaza zaidi ya hili
huyu ndio unaweza kukuta yuko mstari wa mbele kabisaa hahaha, ndio maana kujifanay hajawahi ona
Ndo maana nakupenda Ivuga, wape wape eeeeeeeeeee vidonge vyao,wakimeza wakitema ni shauri zao!!

Big Up Sarafina na Ivuga kwa kuunga mkono hoja!
hehehhe asante kwa kunipenda dear):):):)
 
Hivi Sarafina umemaanisha wanaume waliokimapenzi au hata mafriend kwa kawaida??

wote hakuna cha kuwagawa hapa, kuna kuna sheria ya kifamilia inasema kuwa mshahara wa mwanaume ni wa familia nzima lakini mshahara wa mwanamke ni wa mwanamke tu basi:
anayebisha aje hapa bila jazba lakini, mimi leo nawatetea wanawake tu, watu wamezidi kuwaonea sana ,mara ooo wanaua , wauaji oo sijui nini maneno kibao kila kashfa anapewa yeye mwanamke
 
Hao watakuwa mashabaro tu! Toka lini mwanaume akalia kisa eti hana hela, tena mbele ya mpenzi.....hatujafundishwa hivyo katika jamii yetu!
 
Jana tu nilikuwa na Demu, tumekaa nae vizuri tu, Mara kaanza kulialia ooh mara Kodi ya Nyumba sina, Nadaiwa maji,. Mara Betri ya Simu imekufa. Nikaamua kumuaga na kuondoka. Isije ikawa ndio huyu Sarafina1 kaamua kuja kulia humu. Pole sana mama jifunze kujitegemea.
Jua ya kwamba ukiomba na wewe utaombwa.!!!

he he he he wajiona wa maana sana kushindwa kumtimizia demu wako mahitaji yake? mwanaume suruali kweli wewe, unajiona ulifanya la maana sana kuondoka.....ungemwambia huna uwezo....inavyoonekana unapenda vya bure, nyie ndo wale mnataka hata hela ya kitanda guest na kondom mlipiwe na boxer mnunuliwe.....ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.....unalo!! Sarafina hajakataa mwanaume asiombe,ila kuwe na kiasi,si kila kukicha unaomba tu....heshima inashuka...ushalobaro umezidi,usitake kufananisha Sarafina na mlupo wako wa bei chee unaoomba hata betri....yeye Sarafina anaombwa na wanaume si yeye anaomba! Uache tabia hiyo!
 
Kuzaliwa uswahilini Pwani kumeniharibu hata nielimike vipi mapenzi yangu kwa mipasho na ngoma hayapungui....ndo maana sina reference za RnB wala Country mi natoa mipasho tu.....ningependa kujua maoni yako kuhusu hili NN:A S 465:

Mipasho ndo yenyewe....tena ukipasha kwa kujishaua na kujishebedua ndo hunoga zaidi.

Kwa kweli sina hata la kusema kwenye hili. Nimekuwa najitegemea mwenyewe tokea umri wa miaka 18 na niko mwajibikaji na ninaishi ndani ya uwezo wangu. Ila nadhani kulialia au kulalama kuhusiana na ugumu wa maisha halafu kuishia kusumbua wenzio si uzuri. Na hili halina jinsia lakini baadhi ya watu wanapenda kuingiza jinsia. Sijui kwa nini tu.

Licha ya hivyo, aso na haya wala haoni ubaya kupiga watu mizinga. Si tabia nzuri na wewe kama unayo iache Michelle lol...tena ukome kabisa.
 
he he he he wajiona wa maana sana kushindwa kumtimizia demu wako mahitaji yake? mwanaume suruali kweli wewe, unajiona ulifanya la maana sana kuondoka.....ungemwambia huna uwezo....inavyoonekana unapenda vya bure, nyie ndo wale mnataka hata hela ya kitanda guest na kondom mlipiwe na boxer mnunuliwe.....ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.....unalo!! Sarafina hajakataa mwanaume asiombe,ila kuwe na kiasi,si kila kukicha unaomba tu....heshima inashuka...ushalobaro umezidi,usitake kufananisha Sarafina na mlupo wako wa bei chee unaoomba hata betri....yeye Sarafina anaombwa na wanaume si yeye anaomba! Uache tabia hiyo!
halafu wewe,mbona umezichunia zile huduma zangu tuliongea?imekuwaje?
 
Nilifikiri kujiliza liza wakati wa mechi............. kweli nimeamini kujiliza ina maana nyingi...........
Ahahahaaah!! Mkuu unaua, hata mimi nilipoona taito nilidhani ni hivyo na nilitaka niipotezee, lakini kufungua ndani kumbe anawaongelea masharobaro.
 
Mipasho ndo yenyewe....tena ukipasha kwa kujishaua na kujishebedua ndo hunoga zaidi.

Kwa kweli sina hata la kusema kwenye hili. Nimekuwa najitegemea mwenyewe tokea umri wa miaka 18 na niko mwajibikaji na ninaishi ndani ya uwezo wangu. Ila nadhani kulialia au kulalama kuhusiana na ugumu wa maisha halafu kuishia kusumbua wenzio si uzuri. Na hili halina jinsia lakini baadhi ya watu wanapenda kuingiza jinsia. Sijui kwa nini tu.

Licha ya hivyo, aso na haya wala haoni ubaya kupiga watu mizinga. Si tabia nzuri na wewe kama unayo iache Michelle lol...tena ukome kabisa.

Nimeacha na kukoma kabisaaaa,wala sitarudia tena hiyo tabia....l.o.l.....ukweli na uwazi sio NN?

Nami nimekuwa kama wewe MWAJIBIKAJI NA NINAISHI ndani ya uwezo wangu....si kuishiwa hadi unakuwa kero kwa kuomba omba!!!
 
Sio kuwa tumekuja juu, toa ushahidi kidogo japo kidogo. Kwetu mwanaume kulialia ni mkosi tena mbele ya mwanamke.....lol!!
ushahidi huu hapa jamaa kaja nao hapa tena hjana tu u hahahaaaaa
Jana tu nilikuwa na Demu, tumekaa nae vizuri tu, Mara kaanza kulialia ooh mara Kodi ya Nyumba sina, Nadaiwa maji,. Mara Betri ya Simu imekufa. Nikaamua kumuaga na kuondoka. Isije ikawa ndio huyu Sarafina1 kaamua kuja kulia humu. Pole sana mama jifunze kujitegemea.
Jua ya kwamba ukiomba na wewe utaombwa.!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom