Mwanaume kujiliza liza kha!

wanaume kama mabinti....utoto wa mama unaendelea hata akishaoa.....misukosuko kidogo tu,machozi...ovyo sana....!!!

bora umesema,wenye tabia hiyo wajifunze kujikaza na kupambana kiume si kulia lia!
 
Mwambie straight aliyekupiga mzinga, sio unakuja hapa JF, una uhakika huyo bwanako anakuja hapa?
After all si mnapendana...iweje utafute usuluhishi kwetu, si myamalize chumbani kwenu?

mmmhhhh, wanaokuja na thread wanawake wote wasomi ni wauaji wao wanahakika gani hao wanawake wauaji wako JF?? same applies here,kwa wanaolia lia kama wako JF waache,haipendezi....katoa kero yake,hayo ya chumbani yametoka wapi??
 
Ulivyokuwa mkali umenishangaza sana, anyway mjue tu kama mpo na humu jf kwamba mwanaume kulalamika shida hovyo kwa mwanamke haipendezi sometimes inabidi kujikaza, haijalishi mnapendana au hampendani.

Wewe mwenyewe ukipata mwanamke wa kukupiga mizinga hovyo utakubali?
 
wanaume kama mabinti....utoto wa mama unaendelea hata akishaoa.....misukosuko kidogo tu,machozi...ovyo sana....!!!

bora umesema,wenye tabia hiyo wajifunze kujikaza na kupambana kiume si kulia lia!

Nashangaa walivyokua wakali mwanaume unatakiwa upambane kiume sio kujibweteka tu ukisubiri uletewe na mwanamke ni aibu
 
mmmhhhh, wanaokuja na thread wanawake wote wasomi ni wauaji wao wanahakika gani hao wanawake wauaji wako JF?? same applies here,kwa wanaolia lia kama wako JF waache,haipendezi....katoa kero yake,hayo ya chumbani yametoka wapi??

Wanawake wa Bongo wengi ombaomba lakini wakiombwa wao Keleleeeeeeeee. Kazi kweli kweli. na nyie mjitegemee kazi si mnafanya.?
 
duh,mipasho ya facebook ime hamia JF,....
Huu sio mpasho , hapa kasema ukweli kabisa na ukweli unauma hahahahah
Mbona Thread imekaa kishari sana?
si ukweli unauma jamani? ppha hah ahaha
Ujio wa Feb na March huo umesahau Speaker?
Yaani sijui Mod watadhibiti vip hizi craps,
Zinaidharirisha sana JF yetu!!
I hate this kind of craps!
hii ni sawa kabisa au nyie mnafurahia madongo kama haya wakipigwa wanawake tu? tusikimbie vivuli vyetu.
utoto unakusumbua sarafina.:hat:
kawashika watu pabaya sio?
Unayemwambia yupo humu JF??Nakama kakulilia sinikwamba anakutegemea umfute machozi sasa wewe baada ya kumfuta machozi unamwanika huku JF??!!Vihoja kweli haya nadhani kasikia!
hapa anawasilisha meseji kwa mijitu yenye hii tabia
We mtoto koma kabisa. Shida haina mwanaume au mwanamke.
ila mwanaume anatakiwa agangamale sio kulia lia jamani
wanaume kama mabinti....utoto wa mama unaendelea hata akishaoa.....misukosuko kidogo tu,machozi...ovyo sana....!!!

bora umesema,wenye tabia hiyo wajifunze kujikaza na kupambana kiume si kulia lia!

duh!!!
 
mmmhhhh, wanaokuja na thread wanawake wote wasomi ni wauaji wao wanahakika gani hao wanawake wauaji wako JF?? same applies here,kwa wanaolia lia kama wako JF waache,haipendezi....katoa kero yake,hayo ya chumbani yametoka wapi??

Yaani bora useme wewe mpenzi wakisema wao wanageneralize wanawake wote hata hatutoi kashfa za hovyo, na nimeshangaa mtu kama pakajimy kuropoka hivyo, inashangaza sana
 
Wanawake wa Bongo wengi ombaomba lakini wakiombwa wao Keleleeeeeeeee. Kazi kweli kweli. na nyie mjitegemee kazi si mnafanya.?

Tunarudi kule kule wanaume mnatakiwa kututunza sisi wanawake lakini mkiombwa ombwa mwakerekwa. Sasa inakuwaje dume zima kuwa omba omba
 
mmmhhhh, wanaokuja na thread wanawake wote wasomi ni wauaji wao wanahakika gani hao wanawake wauaji wako JF?? same applies here,kwa wanaolia lia kama wako JF waache,haipendezi....katoa kero yake,hayo ya chumbani yametoka wapi??

hapo nafikiri mleta thread alibagua kwa kusema wanawake wasomi, na sio wanawake wote.
Ila huyu mleta thread hii, anasema ni wanaume wote..tena hana hata ushahidi wa ku-support hoja yake.
 
Yaani bora useme wewe mpenzi wakisema wao wanageneralize wanawake wote hata hatutoi kashfa za hovyo, na nimeshangaa mtu kama pakajimy kuropoka hivyo, inashangaza sana

si umemshika pabaya, phahahaa !!wewe unataka mtu anyamaze ili hali dude limedirectiwa kwake? phahaha
 
Wanawake wa Bongo wengi ombaomba lakini wakiombwa wao Keleleeeeeeeee. Kazi kweli kweli. na nyie mjitegemee kazi si mnafanya.?

Siko katika hao wengi ila kwa niaba yao....ni vizuri kutokuwa tegemezi na omba omba,haipendezi mwanamke mwenye nguvu,uwezo na akili kuwa tegemezi.......:yawn::yawn:
 
Huu sio mpasho , hapa kasema ukweli kabisa na ukweli unauma hahahahah

si ukweli unauma jamani? ppha hah ahaha

hii ni sawa kabisa au nyie mnafurahia madongo kama haya wakipigwa wanawake tu? tusikimbie vivuli vyetu.

kawashika watu pabaya sio?

hapa anawasilisha meseji kwa mijitu yenye hii tabia

ila mwanaume anatakiwa agangamale sio kulia lia jamani

duh!!!

Thanks ivuga, na hii inaonyesha wanaume waliaji wako wengi sana na wanazidi kuongezeka kila kukicha ni aibu jamani kulia lia acheni. Mi nilishwahi pata mkaka hela yake anaitoa kwa nadra sana akiwa nayo. Ila hata siku moja haombi. Ni bora usiwe unatoa kuliko kuomba omba kama mwanamke.
 
uhusiano ni two-way direction..kwani itakuwa ni vibaya kumsaidia mwenzako kama hana kitu, kuliko kum-brand ombaomba ..

Ni bora aombe kwa nadra na wewe unakua unajua kabisa mwenzangu ana shida, lakini mwanaume haipiti siku mbili anaomba mara vocha mara nimeishiwa kha hata kama jamani . Wanawake wenyewe hatuko hivyo tunastahimili wakati mwingine
 
hapo nafikiri mleta thread alibagua kwa kusema wanawake wasomi, na sio wanawake wote.
Ila huyu mleta thread hii, anasema ni wanaume wote..tena hana hata ushahidi wa ku-support hoja yake.

Sijasema wanaume wote mpendwa soma vizuri, nimesema mwanaume kujiliza liza kama mwanamke inaboa. Uwe unasoma vizuri kabla hujachangia baba ee
 
hapo nafikiri mleta thread alibagua kwa kusema wanawake wasomi, na sio wanawake wote.
Ila huyu mleta thread hii, anasema ni wanaume wote..tena hana hata ushahidi wa ku-support hoja yake.

Usimsingizie mtoa mada....amesema WANAUME MNAOJILIZA,hiyo ina maana wapo wasiojiliza.....na mimi nawajua baadhi tu waliokuwa na tabia hiyo....hoja ya ku-support ya nini.....hivi vitu vipo,jibuni hoja kwa hoja si kutafuta mazingira ya ku under estimate hoja....hatuhitaji story ndefu wakati ujumbe ni ule ule.....HAIPENDEZI MWANAUME KUJILIZA.....PERIOD!
 
Back
Top Bottom