Mwanaume kuomba Msamaha kwa mwanamke

livewise1

JF-Expert Member
May 25, 2019
837
952
Shout out kwa wale wote ambao bado wana imani katika mapenzi ya kweli!

Katika mahusiano au ndoa kuna ups & downs ambazo huja na kupita. Impact za hizi ups & downs inategemea na stability ya washirika. Kila jinsia ina namna ya kuomba radhi/ msamaha pindi anapomkosea mwenzake.

● Kwa upande wa mwanaume inapasa aombe msamaha kwa mwenza wake kwa namna ambayo sio ya kujiliza liza. Mfano, "niwie radhi nimeteleza kwa hilo mamy" kisha anaweza kumpa zawadi kama vito au nguo nzuri ama pesa kama kukazia msamaha wake.

● Kwa upande wa kike wao wanajua wenyewe wanavyotakiwa kuomba msamaha.

--->> Maswala ya mwanaume kuomba msamaha kwa kujiliza liza sio vizuri. We omba msamaha kikawaida kuonesha kuwa umeteleza na umejutia hilo kosa kisha ongeza kamkazo ka msamaha kwa kumpa Gifts a.k.a zawadi.

Akigoma kukusamehe mpe muda wa kuwa peke yake wala usimuongeleshe maana utampandisha hasira azidi kukuchukia. Wakati unampa muda wa kukufikiria jaribu kuepusha mazingira tatanishi ambayo yatampa room of doubt kwamba bado unamkosea.

Ukiona bado ha respond +ve endelea na maisha mengine moyo uta heal tu pole pole.

Epuka sana kujilizaliza unapoomba msamaha... wanawake wa ukweli hawapendi wanaume wa kujilizaliza.
Kujilizaliza sana hakumfanyi mwanamke aone huna hatia bali anakuona we unatia huruma tu.

Hii njia imewasaidia wengi kubaki na wanawake wao baada ya kuwakosea.

NB: Kwa vi slay queen hii njia haifanyi kazi nadhani, ndio maana nikaongelea wanawake walio katika mahusiano serious au wanandoa.

JPEG_20220615_084028_4316754408701096036.jpg

Pia soma:

1) Ukimkosea Mwanamke usimwombe msamaha, piga kimya. Ukiomba msamaha ndio umeanzisha vita
 
Kikubwa kataa hata kama kakushika. Na ushahidi we kataa.

Mfano umemuinamisha house girl akikufuma kataa kwamba ulikua unamtapisha kama mlikuwa uchi usingizie hata uchawi mwambie sijui imetokeaje upo hapo
 
Dah... Noma sana
 
Hahah
 
Ngoja sasa waje wale wakata tamaa na wanaojifanya manunda wa jf!! Ila huko chobisi wanajiliza balaa

Wafunde wafunde ndugu yangu, hata wakikataa hadharani ila sirini watatekeleza.
 
Hao mbwa hawana formula ya kuishi nao, ishi kutokana na hali yako. Hao Mbwa hawajawahi kueleweka vizazi na vizazi.
 
Ngoja sasa waje wale wakata tamaa na wanaojifanya manunda wa jf!! Ila huko chobisi wanajiliza balaa

Wafunde wafunde ndugu yangu, hata wakikataa hadharani ila sirini watatekeleza.
Siku hazifanani, nawao watabadilika
 
Back
Top Bottom