Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,114
- 2,534
Mwanamke akikupenda amekupenda kweli, ukimkorofisha tu, tayari anakuwa mnyama!
mwanamke akikupenda kweli na wewe kama unampenda
hata kama nchi ina vita, we utakuwa kutwa unatabasamu tu lol
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?</span></font></font>
Mkaishi kama kwenye location yangu kule, hakuna wa kuwagusa, kila kitu ni kwa ajili yenu tuHivi inakuwaje unampenda mtu mpaka unatamani mkaishi porini huko, watu wasiwaone, hakuna kuibiana penzi, just me and him
Pole sanaBado sijawahi kupendwa
Jamani ukipendwa raha
<br /hapo unataka kuvizia penzi la wa2 te te te.porini wanyama hawana akili kama za binadamuMkaishi kama kwenye location yangu kule, hakuna wa kuwagusa, kila kitu ni kwa ajili yenu tu
BAK, hebu tafadhali nishushie lyrics za 'strength of a woman' na 'when a woman is fed up', za zamani bt nadhani was shaggy boy!
unajua hata mi nashangaa where the heck do i get all the energy to love and serve a man diligently,lol! :A S kiss:
ila akikukorofisha, hata kumtabasamia unaskia exhausting!:A S-omg::boom:
kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?
Location yangu ni porini pia tena kisiwani mkuu, nitawapisha tu,mi nitaondoka na meli walokuja nayo<br /hapo unataka kuvizia penzi la wa2 te te te.porini wanyama hawana akili kama za binadamu
<br />