Mwanamke akikupenda...

<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?</span></font></font>

mmmh swali gumu kwa kweli.
 
Basi wewe hujakutana na majambazi ya mapenzi, na usiku yana perform tu they dont give a damn
kuna wanawake wamepinda hapa mjini, ukiwa masalon na sehemu za kusukia ndio utajua kwamba
wamepinda.kwa mtaji huu unaeza ishia umzanie sie ndie

Naongelea yule anaetaka kutoka ndani ya ndoa shantel! wale wanaojifanya kukupenda kumbe wanakuzingua tu ndani ya ndoa au mahusiano na hana feeling na wewe! Hao unaoongelea wewe ni wale wanaitwa "timed bomb"
 
Kwa hiyo kabla ya kumuoa unajuaje kwamba mapenzi hayajamkolea kwa saaana ili asiwe sawa na wale wenye kufall completely
 
Kwa hiyo kabla ya kumuoa unajuaje kwamba mapenzi hayajamkolea kwa saaana ili asiwe sawa na wale wenye kufall completely

Dah! Shantel una masuala makali kama mbunge wa viti maalum aisee! halaf bichwa langu sasa hv halichaji kabisa yaani, hapa naona avatars tu hata maandishi sioni vizuri.

Unajua hata mtu afall in love completely still kutakuwa na downtime kwenye mahusiano na hapa kwenye downtime ndio mara nyingi wale wenye mioyo myepesi wanajikuta wanatafta alternative ya kufarijiwa nje ya mahusiano whether kwa maneno au kwa vitendo kabisa. Sasa point yangu ni kwamba kama mdada mwenye mapenzi sana akifanya mistake ndogo ya kutaka kufarijiwa nje ya mahusiano yake basi msala wake usipime. ZINGATIA: Brand new love is always an innocent love, so nguvu zake zote za mapenzi anazielekeza kwa hawara wake mpya!
 
jamani mapenzi yanaanitatiza eeee*2
kulala siwezi
kusema siwezi
chakula sili nakiona sumu..........
 
Dah! Shantel una masuala makali kama mbunge wa viti maalum aisee! halaf bichwa langu sasa hv halichaji kabisa yaani, hapa naona avatars tu hata maandishi sioni vizuri.

Unajua hata mtu afall in love completely still kutakuwa na downtime kwenye mahusiano na hapa kwenye downtime ndio mara nyingi wale wenye mioyo myepesi wanajikuta wanatafta alternative ya kufarijiwa nje ya mahusiano whether kwa maneno au kwa vitendo kabisa. Sasa point yangu ni kwamba kama mdada mwenye mapenzi sana akifanya mistake ndogo ya kutaka kufarijiwa nje ya mahusiano yake basi msala wake usipime. ZINGATIA: Brand new love is always an innocent love, so nguvu zake zote za mapenzi anazielekeza kwa hawara wake mpya!
Oooooooooh haya nimekuelewa kloro, ngoja nirudi kwa likaka
 
Love rollercoaster: Kuna wanawake wengine wakipenda basi wanapenda sana ila ukiamua kuwapenda zaidi ya wanavyokupenda wanakugeuzia kibao na unakuwa msukule wa mapenzi (source: Mbu JF).

Warning: ogopa mwanamke mwenye mapenzi sana, kwani akizuzuliwa na akapenda nje ya ndoa yako basi hapo ndo utajua kwanini kikwete anaitwa rais!

Nimemaliza

salute mkuu, Kuogelea raha saaaana, tatizo ni pale unapokunywa vikombe
 
kujisahau tu unajua ukipendwa sana unahisi mwanamke huyo hapindui kwako na wala hamna mwanaume mwingine anayemtaka!sasa mkibadilisha kibao ndo tunajua umuhimu wa uwepo wenu!.....
<br />
<br />

Kweli wewe ni Muuza Sura!

.
 
Mwanamke ana vikolombwezo vingi sana, ukimfanyia atakultea kile, ukimwongeza lingine akifurahi basi atakuongezea vilivyo zaidi ya mwanzo. Mwanamke hakika ni mtamu akikupenda vizuri na kumpa heshima yake. Ukiweka acid korofi baaaaaasi, ile neno NAMPENDA SANA PRETA kunapungua(Preta samahani sana kwa kutumia jina lako,hata hivyo nakupenda sana aisee).
 
Back
Top Bottom