Mwanamke akikupenda...

Love rollercoaster: Kuna wanawake wengine wakipenda basi wanapenda sana ila ukiamua kuwapenda zaidi ya wanavyokupenda wanakugeuzia kibao na unakuwa msukule wa mapenzi (source: Mbu JF).

Warning: ogopa mwanamke mwenye mapenzi sana, kwani akizuzuliwa na akapenda nje ya ndoa yako basi hapo ndo utajua kwanini kikwete anaitwa rais!

Nimemaliza
Utajuaje kama huyu anakupenda nusu

kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?

pretaaaa,hata njiwa hukorofishana mama,,,,,,,ila mwanamke akipenda,,,,,,,,,,

Nami nahitaji kupendwa ili nije kureply hii topic maana wengne hatujui ht kupendwa kukoje

BAK, hebu tafadhali nishushie lyrics za 'strength of a woman' na 'when a woman is fed up', za zamani bt nadhani was shaggy boy!

unajua hata mi nashangaa where the heck do i get all the energy to love and serve a man diligently,lol!

ila akikukorofisha, hata kumtabasamia unaskia exhausting!
<br
r kelly,when a woman fedUp

kinda strange reverend, lakini eti mi hudhani the less the money a man has, the more loving he can be! na staki kusahihishwa! mkpataga hela u play hard to get!

Unaishi wapi wewe! Pesa ni sabuni ya roho, ukiwa nazo basi mapenzi hunoga zaidi.....kama wewe ni Kapuku basi kubali kumegewa na wenye nazo and .............malizia

symptom number 1: Mwizi wa mapenzi siku zote anajichekesha chekesha mchana na kuleta viromance uchwara, ikifika usiku wakati wa gemu anajifanya anaumwa na kichwa.

Dahhhhhhh
Utabidi ubadulishe music
Sasa hivi ni mchana tu ...
Usingoje usiku maana wajua ataumwa..

symptom number 1: Mwizi wa mapenzi siku zote anajichekesha chekesha mchana na kuleta viromance uchwara, ikifika usiku wakati wa gemu anajifanya anaumwa na kichwa.
Basi wewe hujakutana na majambazi ya mapenzi, na usiku yana perform tu they dont give a damn
kuna wanawake wamepinda hapa mjini, ukiwa masalon na sehemu za kusukia ndio utajua kwamba
wamepinda.kwa mtaji huu unaeza ishia umzanie sie ndie

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom