Wanaoteseka zaidi katika mapenzi ni wanawake

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Nov 14, 2022
1,759
2,795
Mwanamke akiwa na mahusiano na wewe anataka ufanye vile yeye angependa (vya kumfurahisha tu).

Mwanamke akikupenda anataka nawewe umpende hivyo hivyo, ukimpotezea ANAKUCHUKIA!

Atajaribu kukutega usipoingia kwenye kamba zake anakuona ZOBA!

Ukistisha mahusiano nae anasema AMETENDWA na anauwezo wa kuchukua maamuzi ya kujidhuru yeye mwenyewe (sio kunywa sumu, anaweza akafanya mambo ya ajabu sana akijuwa anakukomoa kumbe anajiumiza yeye mwenyewe)

Ni wanaume wachache wanaoweza kusema kwamba "wametendwa" ukilinganisha na wanawake!

WANAWAKE mapenzi yanawatesa KwELI KWELI!
 
5CA3C883-75F2-47A8-BEB2-9838AE34740A.jpeg
 
Mke wa jamaa mmoja kule misri alimtamani yusufu (handsome boy) akafanya jitihada za kulala nae zikagonga mwamba! Yusufu alichofanyiwa...!
 
Back
Top Bottom